Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Zitto unawazo zuri sana!Mkuu umenifungua vitu vingi sana leo kwenye sayansi za universe yetu..... Tukibakia kwenye mada ya teleportation hivi wormhole haiwezi kutumika kupunguza distance za hizo sayari na galaxy zingine na kuwezesha kufikika kirahisi bila kutumia miaka mingi kusafiri hata kma bila spidi ya mwanga au wormhole ipo kimakaratasi tu
View attachment 758341
Lakini kuna baadhi ya vitu Huwa haviwezekan
Siyo kama ni ngumu kufanyika hapana but
Kuna nguvu ambayo inazuia