Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kwa nini asiingiee?Kwa sisi makabila ya kusini mara tu mtoto (wa kike na kiume) anapopitia jando na unyago,hua ndio tiketi ya kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wetu,kulingana na mafundisho kwa wazazi wake?
Jiulize mwanao wa kiume anaikuta Pichu ya Maza halafu IMETOBOKA!Chumbani Kuna nini sasa hata pesa hamna au mnaficha chupi
Ukikuta dingi yako kaganda kifuani kwa maza ako anasukuma moja moja utajiskiaje? (samahani kwa mfano mbaya)kwamba wazazi ni waganga wa kienyeji au? Marufuku ya nini tena?
Mimi paka leo hii nikienda home chumbani naingia bila marufuku yeyote na nina miaka 28.
Kwahiyo (kulingana na maandishi yako)watoto wadogo ndio wanafaa kushuhudia? Hii sio hoja, otherwise familia iwe na watu wasio na utashi.Ukikuta dingi yako kaganda kifuani kwa maza ako anasukuma moja moja utajiskiaje? (samahani kwa mfano mbaya)
Wazazi wetu walitufundisha kupiga hodi kabla ya kuingia chumbani.Ukikuta dingi yako kaganda kifuani kwa maza ako anasukuma moja moja utajiskiaje? (samahani kwa mfano mbaya)
[emoji1787][emoji1787] Dah. jibu sahihi mujarab kabisaChumbani Kuna nini sasa hata pesa hamna au mnaficha chupi
Unapiga hodi, chumba Cha wazazi unataka kwenda kufanya Nini?Wazazi wetu walitufundisha kupiga hodi kabla ya kuingia chumbani.
Hawakuishia hapo,walitufundisha pia kuingia endapo utaruhusiwa kuingia.
Hivyo mfano wewe wazazi wako wanapigana miti alafu ikaingia bila hodi basi ni halali yako kuwakuta hivyo.
Ila mtoto muungwana atapiga hodi,wazazi kama wanapigana miti hawatomruhusu mtoto aingie na hivyo haiwezekani mtoto kuwafuma wazazi wake katika tendo.
Kwa mantiki hiyo adabu ya hodi inazingatiwa kabla ya kuingia chumbani kwa wazazi.
Lakini pia katika hali nyingi watoto tunaingia chumbani ikiwa tumetumwa na wazazi wetu kwamba safuher kanichukulie kitu fulani chumbani kwangu,so kama mzqzi kakutuma ndani na yeye yupo nje sio rahisi kuwafuma wazazi wako wakiwa faragha.
Kiufupi mkuu ukizingatia kitu "hodi" huweI kuweka hoja kama hiyo uliyoiweka