Upi ni umri sahihi wa mtoto kuacha kuingia chumbani kwa wazazi wake?

napiga hodi, chumba Cha wazazi unataka kwenda kufanya Nini?
K2qni haiwezekani mzazi akakutuma ukamchukulie kitu chumbani kwake pale ambapo yeye ana kazi zingine ?

Au unadhani unaingia tu unapojiskia mtoto ?
Kuna mahitaji gani muhimu unahitaji kwenye chumba Cha wazazi?
Kama mzazi kakutuma ukamchukulie kitu chumbani hilo sio hitaji la muhimu ?
Chumba Ni faragha
Hata choo ni faragha lakini watu wanaingia kwa haja maalumu.

Sehemu kuwa faragha haina maana hakuendeki bali mwana yake kunaendeka kwa haja maalumu.
 
Me mpk sasa naingia chumban kwa wazaz wangu, na stegemei kuacha teh teh.

Huku kwetu hakuna hizo mila potofu, hicho chumba kina nn hata nisiingie 😏
 
Siku ntayokufa ndo ntaacha ingia chumbani kwa wazazi.
 
Baada ya balehe..zaidi ya hapo unaingia Kama mzazi amekutuma uingie.
 
Tabia ya kupiga hodi Chumba Cha wazazi haiko Sawa sana, maana endapo kama utapiga hodi na ukaona wamekausha basi kichwani mwako Kuna mawazo utayapata kuhusu kinachoendelea humo ndani

Sidhani kama ni sahihi kuwafikilia wazazi wako kuwa muda huo wananyanduana waga kuna heshima flani hivi inapungua endapo mtu unaemuheshimu ukijua siku/muda flani alikuwa ananyanduana

Kwa watoto let's say wa miaka 7 kurudi chini kuingia Chumba za wazazi ni sahihi muda wowote wanaojiskia na mara nyingi Asubui wakati wanajiandaa na kwenda shule unajua tu hawa lazima wataingia tu kutusalimia

kwahiyo ukiwa na watoto wadogo mnapaswa kusitisha shughuri zote za kunyanduana/kulala vibaya/kukaa vibaya/kuweka nguo za ndani vibaya na wakishaenda shule basi na mlango unaufunga kabisa, ila siku za weekend ambazo wapo nyumbani hufungi mlango kabisa na unakuwa wa kwanza kuandaa mazingira coz unajua Leo itakuwa ni ingia Toka

Me nadhani ukisha balehe issue ya kuingia au kuomba ruhusa ya kuingia pale ambapo wazazi wako nje au mmoja wao yupo nje, Kwa Wakati huo waga wanakuwa wamekiandaa Chumba kwa ajili ya wavamizi, na ukiwa mkubwa ata kama unaondoka me nadhani ni Bora kusema tu Kwa sauti, MAMA/MZEE MI NATOKAAAA
 
Mimi kwenye chumba cha wazazi nimeingia sana nikastaafu mwenyewe nilipoanza form 1.

Tena kama nikiwa na hela enzi zile nilikuwa naenda kuficha kwenye chumba cha mama, hapo najua usalama 100%.
 
Mtoto wa kike muda huwa mrefu kidogo kuliko mtoto wa kiume....

Numbers sijui
 
Chumba Ni faragha jamani, hebu kuweni serious!
Si ndo niliko toka kuna ubaya gani kwenda kupa salimia??? wajameni hivi roho mbaya mpaka mliko toka! mweee! hata ukikuta wana fanya si wao! kwani wanakufanya wewe??…...waambie tu sorry pesa ya shule imeisha!

Then aga ndeleeni!! Binti yangu aliingia ghafla siku moja wkt nafanya!1 wala hata sikuacha niliendelea tu wkt anaongea na mamake huko!! tena ana miak 25 hivi!
 
Hiii ni tea
 
Ila kiarabu bana eti "kubaaalighi".
 
Well understood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…