Kuna vtu vingne haina ata maana ya kujua kwan havina msaada sana ktk maisha
Kla familia ina sheria na taratbu zake sa sizan km taratibu za nyumban kwenu ndo taratbu za nyumban kwetu
Mm nyumban kipnd tunakua kusalimiana na wazazi asubui ilikua haipo tulkua tunakutana mchana jion au usku ndo tunasalimiana ila eshima na maadili tunayo na tulifundisha na mengne tuliadapti kulingana na mazingira
Suala la mtoto kuingia chumban kwa wazazi wake ni mambo ya kifamilia haiusian na kabira, mira ukoo wala uwezo kipesa. Kuna nyumba zina swimming pool unakuta baba na mama wanaogerea na vijana wao acha watoto vijana wao wakija kusalimia au kuwatembelea
Vtu vingne tujifunze kupambana na maisha yetu na familia zetu ila mambo ya wengne na familia zao tuwaachie wao. Ww umeacha kuingia chumban kwa wazazi ukiwa na miaka 7 mwenzako yeye ataingia chumban kwa wazazi wake at akiwa na miaka 50
Ww umehama kwenu ukiwa na miaka18 mwenzako atahama kwao akiwa na miaka 50
Na mwingne ataoa na atazaa na wajukuu baba yake atasomesha akiwa kwao bla kuhama