Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Simba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
Yanga ndo kuna beki mbona mnyama alikupasua goli nne
 
Simba akuna tatizo la beki kwasasa.
Iyo kasi unayosema labda kushauri benchi la ufundi pamoja na ao wachezaji waongeze zaidi juhudi ya kutafuta kasi na wepesi wanapo train.
Kasi huwa haifundishwi mkuu, hiyo kitu ni natural.. unaweza kuwa mwepesi na usiwe na kasi
 
Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi

Yanga wamemsajili Dickson Job
Sio kweli embu fatilia Tena takwimu halafu ujilizishe
 
As Vita wepi ao,waliopigwa na Simba mwaka juzi au wengine?
Huu sio mwaka juzi, na mwaka huu Simba inabd ajiandae sana mkuu, team zote alizonazo kwenye group lao wanamfahamu vizuri... Hakutakuwa na game rahisi
 
Yanga ndo kuna beki mbona mnyama alikupasua goli nne
Hii sio Yanga ya Luc mkuu, wachezaji zaid ya 8 waliocheza hyo game ya 4-1 hawakucheza game ya 1-1 msimu huu
 
Mwamnyeto & Lamine hamna kitu mkuu?
Mwamnyeto wa kawaida huyo Moro kidogo ila shida yake majeraha ya kudumu kwaio mnajikuta mna mwamnyeto peke yake Mara nyingi
 
We beki Kama onyango east Africa unamtoa wapi mwingine? Utopolo mnashindwa kujua statistics beki gani imeruhusu goli chache? Yanga inawachowabeba ni form na Spirit ndomana beki inaonekana nzuri ila beki hamna mle
Sasa kama mchezi hana morali na spirit ya ushindi huyo so takataka
 
Na yanga tatizo lao ambalo wachambuzi hawazungumzi ni kutokua na kiungo mchezeshaji Yani mukoko,fei toto,zawadi wote wanakaa kwenye half yao na ndomana inawezekana sarpong akalaumiwa lakini yanga hawapo imara katikati sehemu inayohitaji ubunifu.Niyonzima hapew nafasi,carinho nae haeleweki ila Hawa wangewasaidia Sana.
 
Mwamnyeto wa kawaida huyo Moro kidogo ila shida yake majeraha ya kudumu kwaio mnajikuta mna mwamnyeto peke yake Mara nyingi
Beki gani bongo wa kumfananisha na Mwamnyeto

Note1: hata VVD beki Bora ulaya anachoma, hamna beki asiefanya makosa, najua utakuja mtetea Wawa au Onyango hata hao wanachoma

Note2: Yanga wameongeza beki mwingine Job.. inshu ya Moro kuumia ishakuwa solved
 
Hilo tatzo lilikuwa zaman kwa sasa sidhani Saido, Sogne wanatengeneza nafasi nying tu

Game ya juzi Yanga vs Simba
Shots on target Yanga zilikuwa 5
Sarpong alipata big chances 2 na akakosa

Rejea game na Mwadui sarpong kichwa chake hakijatulia

Hyo ni mifano michache tu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ kishacheza south,algeria tena vilabu kama mamelod na ajs kabyirie kwa mafanikio makubwa hadi kufikia al ahly kumtaka mwaka juzi,leo unacomment kiutelembwe kuwafurahisha nyau wenzako πŸ˜ƒ
Mafanikio ya striker yanaambatana na statistic.
Weka statistic za huko alikotoka kama kashinda magoli mangapi katika ngazi ya club?
 
Kwani kati ya yanga na simba Nani ana shida ya beki?

Moro na mwamnyeto

Wawa na onyango

Wapi unaona wamekamilika...prone injuries za Moro ambae hawezi cheza hata mechi 5 mfululizo!
Yanga wamesajili Beki toka Mtibwa Dickson Job
 
Kwani nyie bodaboda/mikia hamkumpeleka Onyango saloon afinyangwe aonekani kijana pili msikie baba yake Kagere anavyosema mwaka Kagere aliozaliwa hapo msimbazi imekuwa kituo cha kulelea wazee mwisho tunataka Mo aweke B20
 
Plateu & Platinum sio sawa na Al Ahly & AS Vita mkuu.. bookmark my words
Ulitaka tumsajili mchezaji wa viwango gani? Hizo clud ulizozitaja unfotunately zipo rank ya juu kuliko hata Yanga. Unaongelea AS Vita ambayo mchezaji akitemwa simba au yanga kwao anageuka lulu? Kiwango cha AS vita kina utofauti gani na simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…