Kukaba ma forward wenye nduki
unafuatilia mpira vizuri? hiyo kupiga mbele na kufukuzia wazungu wanaita counter attack nitajie timu ambayo haitumii counter attack hata mara 2 kwa game 1 nikupe video yao ya counter attack....Huo mpira wa kupiga mbele alafu mnaanza mbio kuufukuza ni wa Utopolo pekee kule mambele hayo Mambo ya riadha Kwenye football hayapo wewe Utopolo!
Utopolo bhana, counter attack sio hayo mariadha ya kisinda wewe!unafuatilia mpira vizuri? hiyo kupiga mbele na kufukuzia wazungu wanaita counter attack nitajie timu ambayo haitumii counter attack hata mara 2 kwa game 1 nikupe video yao ya counter attack....
manchester united wanatumia counter attack na imewapa mafanikio makubwa hasa kipindi cha babu fergie, inter millan ya mourinho ilikuwa inatumia Counter ikachukua Uefa pia hata inter ya sasa wanatumia counter na wanapata matokeo.....
Umeangalia bayern munchen ya sasa ya Hans Flick na iliyopita ya babu Jupp Haynkes wote walitumia counter attack na wakapata matokeo......
Goli la 3 la simba dhidi ya platnums lilikuwa ni counter attack kutokea left wing chama akapokea akaingia nayo ndani then the rest happened....
utopolo nje amecheza mechi gani au unamanisha za nchi ya zanzibar?Tatzo akili ndogo. Simba anaviporo vitatu ni kweli, vipi ukijumlisha na mechi nne alizocheza kimataifa?. Ongelea mechi zote jumla alizocheza Yanga ziwe za ndani na nje afu nenda kwa Simba ufanye hvyo then jumlisha magoli aliyofungwa Yanga na Simba afu jiulize beki mbovu ni ipi. Vp Yanga angecheza kimataifa angehimili kufungwa goli moja tu kama Simba katika mechi nne. Ujuaji mwingi hata hujawahi kuwa kocha wa timu ya kijiji.
Beki ya timu gani haipitiki..?Subiri game dhidi ya waarabu ndio utajua tunabeki au Nini?
Utopolo bhana, counter attack sio hayo mariadha ya kisinda wewe!
Na kafunga goli nyingi kuliko timu yeyote Africa Mashariki (zinazoshiriki Luigi kuu) kwa mechi 15duh hadi takwimu mnachakachua hivi mna shida gani ?utopolo kafungwa goals 7 simba 5 au unahesabu kiyunani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
Uto wanaogopa sana waarabu, Histolia inaontesha hakuna mwarabu aliyetoka salama Tz kwa simba. Wanamfunga yanga tu. Sasa uoga wenu kwa waarabu msituambukize.Subiri game dhidi ya waarabu ndio utajua tunabeki au Nini?
Mapazia na mmeshindwa kuyafunga [emoji23][emoji23][emoji23]Simba aina beki yapo mapazia, ni swala la muda tu upepo wa goli tanotano utakapo vuma nyeti za Simba zitakua hadharani.
Unamaanisha jamaa ni bora kuliko hata Salah? [emoji23][emoji23] afu mbona takwimu mnaweka za mashindano ya Afcon tu ? Ina maana huyu mchezaji kwenye timu alizocheza alikuwa hafungi?Deal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetu
Tuisila alifunga magoli mangapi kwa kasi yake hiyohiyo dhidi ya Onyango?Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule Zimbabwe
Ushindi wa Simba Ni goal 1 Taifa wakati hao waarabu wakiwa kwao Ni mwendo wa hamsa hamsa uoni utofauti hapoUto wanaogopa sana waarabu, Histolia inaontesha hakuna mwarabu aliyetoka salama Tz kwa simba. Wanamfunga yanga tu. Sasa uoga wenu kwa waarabu msituambukize.