Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Huo mpira wa kupiga mbele alafu mnaanza mbio kuufukuza ni wa Utopolo pekee kule mambele hayo Mambo ya riadha Kwenye football hayapo wewe Utopolo!
Kukaba ma forward wenye nduki
 
Huo mpira wa kupiga mbele alafu mnaanza mbio kuufukuza ni wa Utopolo pekee kule mambele hayo Mambo ya riadha Kwenye football hayapo wewe Utopolo!
unafuatilia mpira vizuri? hiyo kupiga mbele na kufukuzia wazungu wanaita counter attack nitajie timu ambayo haitumii counter attack hata mara 2 kwa game 1 nikupe video yao ya counter attack....

manchester united wanatumia counter attack na imewapa mafanikio makubwa hasa kipindi cha babu fergie, inter millan ya mourinho ilikuwa inatumia Counter ikachukua Uefa pia hata inter ya sasa wanatumia counter na wanapata matokeo.....

Umeangalia bayern munchen ya sasa ya Hans Flick na iliyopita ya babu Jupp Haynkes wote walitumia counter attack na wakapata matokeo......

Goli la 3 la simba dhidi ya platnums lilikuwa ni counter attack kutokea left wing chama akapokea akaingia nayo ndani then the rest happened....
 
Utopolo bhana, counter attack sio hayo mariadha ya kisinda wewe!
 
Wote wawili ni wachezaji wazuri.
Ushindani kama huu wa kusajili vifaa vya maana utazisaidia sana timu zetu na ligi yetu kuwa Bora Africa.
 
1610813897924.png
 
Tatzo akili ndogo. Simba anaviporo vitatu ni kweli, vipi ukijumlisha na mechi nne alizocheza kimataifa?. Ongelea mechi zote jumla alizocheza Yanga ziwe za ndani na nje afu nenda kwa Simba ufanye hvyo then jumlisha magoli aliyofungwa Yanga na Simba afu jiulize beki mbovu ni ipi. Vp Yanga angecheza kimataifa angehimili kufungwa goli moja tu kama Simba katika mechi nne. Ujuaji mwingi hata hujawahi kuwa kocha wa timu ya kijiji.
utopolo nje amecheza mechi gani au unamanisha za nchi ya zanzibar?
 
je kuna counter attack bila riadha mkuu? Hamna counter attack isiyohusisha kukimbia kama ipo itaje hapa
Utopolo bhana, counter attack sio hayo mariadha ya kisinda wewe!
 
Kwa sasa sio muda sahihi kusema mchezaji gani ni bora kati ya Razak wa Yanga na Chikwende wa Simba. Kuna kuzoea mazingira, mifumo ya uchezaji, vyakula, lugha, kuzoeana na wachezaji wenzake, uhitaji wa timu iliyomsajili, benchi la ufundi, n.k. Mpira ni mchezo unaochezwa hadharani tusubiri tuwaone tusiwe wapiga ramli kwani miguu yao itaongea. Mpira ni mchezo wa ajabu sana kwani mchezaji anaweza kuwa bora kwenye timu A lakini akaenda kuwa kichekesho kwenye timu B. Na mifano ipo mingi sana duniani Mateja Kezman, Shevechenko, Hazad, Donald Ngoma, na wengineo
 
Kwa Simba ya sasa aina shida ya beki,beki wa kati kijana uliempendekeza ni Ibrahim Amme.
Onyango ni kijana sema mnahofu umri wake kwasababu ana uso wa mbuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Deal lilibuma akaenda timu nyingine huko huko egypty,but sio mchezaji mdogo kwa ukanda wa afrika mashariki,Yanga inafanya usajili wake kwa kutulia na ndio maana azam na nyau uwa wanasikilizia Yanga wanamtaka nani halafu wanamuwahi,hii ni sajili bora kabisa katika ligi yetu
Unamaanisha jamaa ni bora kuliko hata Salah? [emoji23][emoji23] afu mbona takwimu mnaweka za mashindano ya Afcon tu ? Ina maana huyu mchezaji kwenye timu alizocheza alikuwa hafungi?
 
Shida sio kijana tunajua kuwa onyango ni mdgo wetu ana 27, shida ni kasi.. shida ya Wawa ni kasi, nyoni ni kasi rejea tuisila vs joash, chikwende vs nyoni & onyango kule Zimbabwe
Tuisila alifunga magoli mangapi kwa kasi yake hiyohiyo dhidi ya Onyango?

By the way kasi ya nini hujui mpira ni methods tu ? Hivi ushajiuliza kwa nini Chama hana spidi kama Tuisila ila anaweka kambani mara nyingi kuliko huyo Tuisila!?
Mpira maarifa ,mbio nenda kwa Bolt
 
Uto wanaogopa sana waarabu, Histolia inaontesha hakuna mwarabu aliyetoka salama Tz kwa simba. Wanamfunga yanga tu. Sasa uoga wenu kwa waarabu msituambukize.
Ushindi wa Simba Ni goal 1 Taifa wakati hao waarabu wakiwa kwao Ni mwendo wa hamsa hamsa uoni utofauti hapo
 
Back
Top Bottom