Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika fundi huyu ni mzalendo wa kweliHapo maji na mchanga na misumari ;fundi kajitolea
Hivi anayehujumiwa ni Rais ama nchi kutokana na fedha za kodi zinazotengwa kwa shughuli kama hiyo kutumiwa kinyume cha sheria. Hivi hawawezi kujenga hoja bila ya kutaja jina la Rais??“Sitamvumilia yeyote atakayemuhujumu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, watafutwe na wachukuliwe hatua.”
Hizi tunaitaga serikali ya kijambazi,yaani ikikuona una hela basi baadhi ya viongozi wasio waaminifu watakutengenezea mazingira ya kukudhulumu mali zako kwa mgongo wa serikaliHilo la kudhulumiwa liko sana. Wanakukopa wanachelewa kukulipa miaka kadhaa wakijua umefilisika na kampuni haiko wanakuja wanakuambia wanataka kukulipa ulete leseni ya sasa na address ya ofisi wakati wanajua fika hunavyo.. Serikali inanjia nyingi za kudhulumu basi tu.
“Sitamvumilia yeyote atakayemuhujumu Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, watafutwe na wachukuliwe
Hao wote ni mchwa!Lakini hizi pesa hadi kumfikia mkandarasi si huwa kuna mlolongo kwa mujibu wa sheria ya manunuzi ya umma? Consultant alikuwa wapi?