Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniharibia siku😒Sasa mnabisha nini? Bati moja hapo 125,000
Mbao moja 65,000
Tofali moja 6,500
Dirisha moja 900,000
Rangi ndoo moja 450,000
saruji mfuko mmoja 85,000
Wakati mwingine ficha upumbavu wako[emoji706][emoji706][emoji706]Hii ndiyo furaha ya Lisu
Daah huku ni kutafuta sifa na kutrend.Gharama za ujenzi ziko Juu jamani
Watu ambao hawajawahi kujenga ndio watashangaa mimi nikikiangalia hicho kibanda mbona pesa hiyo ni halali!.Tozo ilivyojenga ofisi ya 11,000,000, unaambiwa ni ofisi ya kisasa zaidi.
-
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa ziarani Wilayani Uyui, Tabora amekagua ujenzi wa Chuo kipya cha VETA na ameonesha kutoridhishwa na gharama za ujenzi wa kibanda cha Mlinzi ambacho ujenzi wake ni Tsh. Milioni 11 “TAKUKURU chunguzeni gharama za ujenzi wa kibanda hiki”
View attachment 2350408
PICHA: Kibanda cha Mlinzi kilichojengwa kwa Tsh Milioni 11
Laki tano unaijua?Yaani ukisikia kula kwa urefu wa kamba yako ndio huku. Ni kujipakulia tu kama unapakuwq ubwabwa.
View attachment 2350427
Lisu amesema hana nauli ya kurudi Bongo !!Hii ndiyo furaha ya Lisu
Hata mil 2 ni afadhali lakini kwa mil 11 wanavyosema kama ni kweli basi hiyo ni kali ya mwaka !! Watu wanapiga sio mchezo !! Hala hala msipige matozo yetu !!Hicho kibanda kwa muonekano kinazidi laki 5.
Katiba mpya.Kwa hiyo Una shauri nini?
Kutwa unamuwaza Lissu kuliko hata unavyomuwaza mume wako.Hii ndiyo furaha ya Lisu