Upigaji wa honi za Magari wakati wa kuingia Majumbani

Mkuu umechanja?
Jamani tunapangiana hata namna ya kufunguliwa geti majumbani mwetu?
Tozo tumekubali sasa hadi honi nisipige getini kwangu?
 
Wengine kwenye magari yao kuna kua na kiasi kikubwa cha pesa ,haswa wafanyabiashara wa kariakoo,hautakiwi kuremba get,ni mwendo wa honi chap ufunguliwe
 
Kero nyingine ni school bus ahsubuhi saa 11 zinapiga honi sana kwenye point zinapowachukulia watoto
sasa mkuu unataka tuanze kuita kwa mdumooo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji419]
 
uko sahihi sana, kwenye jambo la ulinzi umesema kweli kabisa.
Na ili elimu hii iweze kupita na kupokelewa vizuri ni lazima matukio kadhaa yatokee watu wapigwe vitasa akili zikae sawa. kwa wale wazee wa fursa, wakati ni huu huu wa kuonyesha uzalendo
 
na huwa wanahasira hao wajinga hasa mwanafamilia anapochelewa kufungua geti.

Afu msiwe mnakuwa na hasira za kijinga kwa watu wanaobaki nyumbani,na wao ni wa muhimu
 
Kweli kabisaa wengine wanazidisha mnoo,hii ni kero kubwaa😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…