Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

Mnahamisha magoli mlisema CDM imekufa baada ya kuona nyomi la mikoani mmeanza kutafuta visingizio vingine,
Kwa taarifa yenu tume iwe huru! Isiwe huru! Lisu atashinda na kutangazwa
 
Jamaa zetu ccm wanachachawa [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo ni kahama tu ..bado mbeya...View attachment 1534433

Kama mmeshindwa kujifunza kwa NCCR, CUF TLP walivyowahi kuwa na mafuriko ya watu lkn walizoofika nisiseme kufa pia mkashindwa kujifunza mafuriko ya 2015 basi nyie ni zaidi ya sikio la kufa.
 

Nahisi unazungumzia jeshi la mtandaoni la MATAGA na System wanaotumwa mitandaoni ili kushape public opinion in favor ya CCM na serikali.
Achana na zile comments, zipo. kwa lengo maalum
 
Kama mmeshindwa kujifunza kwa NCCR, CUF TLP walivyowahi kuwa na mafuriko ya watu lkn walizoofika nisiseme kufa pia mkashindwa kujifunza mafuriko ya 2015 basi nyie ni zaidi ya sikio la kufa.
Hizo ni zama za mawe ..unaongelea vyama rafiki wa ccm unavifananisha na chadema?? Punguza kutukosea heshima mkuu
 
Lowassa alishinda 2015 kwa 62% mkaiba ila kwa Lissu maji mtaita mma
 
WAKIWA KIDUCHU MNASEMA WAMEFULIA WAKIJAZA UMATI WA WATU MNALETA HOJA KAMA HIZI.
HIVI MNATAKA HAWA WATU WAFANYAJE SIASA ZAO?
 


Watu wa usalama wote tunawajua fanyeni Kazi kwa nchi sio matumbo yenu 🤣
 
Kwa hiyo unataka kusema dalili ya kushinda ni kutokuwepo watu kwenye mikutano ya mgombea?

Lowasa hakushindwa uchaguzi bali hakutangazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
https://www.jamiiforums.com/threads...a-hata-kuchangia-mijadala-ya-kisiasa.1347881/
 
Kwa taarifa tu sasa hata mikutano yao imebuma Kuanzia ule wa kuchukua fomu Dodoma na kuendelea.

Kwa mfano ile mikutano ya Jana Kahama na Shinyanga walikosa watu kabisa ilawalazimu wapige picha sehemu yenye watu wenginili waonekane wanaungwa mkono.
 
Mbona ccm bado inajaza watu kwenye mafuso waende mkutanoni?
 
Unafikiri hatufahamu vijana wa CCM wengi Kwa sasa wameajiliwa kwenye hizo page kumchafua lisu
Lisu anapendwa hapa jf pekee!
Tena kuna id hazizidi 50 ndio zinampigania hapa jf.

Lisu akipata asilimia zaidi ya 20 nahama nchi
 
Mentality ya CCM iyo Lisu alipoenda kuchukua fomu
 
Comments hazipigi kura wewe msichana mzuri
 
Mkuu hata kura zikihesabiwa na Lisu mwenyewe, hapati zaidi ya asilimia 20
 
Hivi si tuliambiwa upinzani umekufa? Huo umati unatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…