Hahahha... Kipimo cha ushindi wa Lisu hakipatikani jf!Page za BBC ambazo Gwajima na polepole wameelekeza watu wakajitoe ufahamu kumtetea magufuli????
Mnafikiri CCM hamjajulikana mbinu zenu mwaka huu???
Mnafikiri hatujui huko pages za VOA na BBC wamejaa wapwa tuinuane???
Hakuna Rangi CCM mtaacha ona mwaka huu. Jiandaeni tu kuwa Chama pinzani baada ya October 2020!
Vipi zanzibar nako uchaguzi mwepesi baada ya cuf kujifia?Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Endelea kujifariji mkuu.Tunachojua October tutakutana na polisi tu sio ccm..ccm kwisha kwisha kabsa View attachment 1534435
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
Mbona ccm ikijaza watu hamuandiki haya?Katika hii mikutano, iwe ya CCM, CHADEMA, HASHIM RUNGWE, n.k - wanaenda watu wa tabaka za vyama mbali mbali na wengine hawana vyama! Hivyo mkiona watu wamejazana, siyo kwamba ni wa chama husika! Wengine ni watoto na wengine ni wapenda shughuli tu. Na usikute wanachama wakawa wachache mno.
Aisee!Nahisi unazungumzia jeshi la mtandaoni la MATAGA na System wanaotumwa mitandaoni ili kushape public opinion in favor ya CCM na serikali.
Achana na zile comments, zipo. kwa lengo maalum
Lisu atashangaa sana akipata si zaidi ya 20 asilimiaLowassa alishinda 2015 kwa 62% mkaiba ila kwa Lissu maji mtaita mma
JF ni sehemu ya mawazo huru. Humu ndo sehemu pekee waweza pima mawazo huru ya watu maana identity ya mtu haijawa revealed.Hahahha... Kipimo cha ushindi wa Lisu hakipatikani jf!
Ona ACT ni ya juzi tu lakini imewapiga bao kule Zanzibar,Hiyo nyingine. Endelea kupata doziView attachment 1534569
Lakini ata hivyo mkubali tu lisu anampa hofu sana rais wenu huyoLisu anapendwa hapa jf pekee!
Tena kuna id hazizidi 50 ndio zinampigania hapa jf.
Lisu akipata asilimia zaidi ya 20 nahama nchi
Subiri oktoba ndio utajua mimi ni mschana au babaako!Comments hazipigi kura wewe msichana mzuri
Kule inajulikana, ni eneo la kimkakati na Seif asifikiri atapata kitu!Vipi zanzibar nako uchaguzi mwepesi baada ya cuf kujifia?
Hapa ndio mnadhihirisha hampendwi bali ni mabavu tu, kama ccm inaweza kupendwa bara kwani inashindwa kufanya ikapendwa znz na hayo mambo ya kimkakati yakaisha?Kule inajulikana, ni eneo la kimkakati na Seif asifikiri atapata kitu!
Hata akishinda, kwakuwa ni eneo la kimkakati hapati kitu.
Ungeweka na picha angalau iendane na ubachokiandika ili ueleweke vizuriWasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
Degedege imewakamata na hapo bado, lazima mrudi kwenu koromitdje na BurundiTukutane October 28
Huku wengi ni ushabiki usio na mashiko!JF ni sehemu ya mawazo huru. Humu ndo sehemu pekee waweza pima mawazo huru ya watu maana identity ya mtu haijawa revealed.
Dhambi hii January Makamba hutaa usamehewe na Mungu, wewe ni Muislamu ukaiba kumpa kafiri ushindi.Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa...
Mkuu Zanzibar ccm haishindagi uchaguzi na sababu zinajuliakana Wazaznzibar wanamtaka Seif ili awatoe kwenye muungano!Hapa ndio mnadhihirisha hampendwi bali ni mabavu tu, kama ccm inaweza kupendwa bara kwani inashindwa kufanya ikapendwa znz na hayo mambo ya kimkakati yakaisha?
Kwanini znz hawatutaki kwenye huu muungano? Kwanini tusijiunge na comoro?Mkuu Zanzibar ccm haishindagi uchaguzi na sababu zinajuliakana Wazaznzibar wanamtaka Seif ili awatoe kwenye muungano!
Sasa kwa kuwa bara ndio tunaotaka mungano Seif asahau kuwa rais.