Upinzani bila kubadili siasa mtapata hasara kubwa Kwa Samia..

100 percent...

Kuna ups and downs za kawaida Ila long term
Utakuja thibitisha i was right
Yawezekana ulikuwa sahihi kwa kumpima Mama Samia kwa muda mfupi sana bila kuangalia kinachomzunguka Samia ni kitu gani ambacho ndiyo sababu ya CHADEMA kuwa na siasa namna hii.

Mimi naona mapungufu ya CHADEMA kwenye eneo la kushindwa kuhusisha vipaumbele vyao na matatizo ya wananchi this is a serious disaster hata huku kwenye mijadala wanatoa hoja bila kuhusisha na matatizo ya wananchi.

Lakini jambo la pili CHADEMA watawezaje kufanya nice politics wakati CCM wamezuia political platforms ya kufanya siasa ?

Kwa sababu sasa hivi CHADEMA hoja zao zinajibiwa kwa mabomu na kukamatwa wewe utajibu mabomu kwa siasa ?
 
The boss you made it. Short and clear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…