Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

Tetesi: Upinzani kusambaratika tena 2020

M4C yako wapi, mbwembwe zoote,mmeisoma, CCM kwa watanzania ni kama fenesi,kwa nje halina mvuto, utamu wa ndani, wabongo ndio waujuawo,pepooz wamepondwa na fenesi.hahahahaaaaaaaaaah 😀😀😀😀😀😀😀😀mautamu tuu.
 
Hakuna mtu mwenye ushawishi ambae ni mbunge na kijana, hakuna so far alievunja rekodi ya mvuto kwa wabunge vijana wa upinzani kama aloiweka zitto, kwa hiyo mleta uzi rudi kaandike tena🙁
 
Mchawi wa upinzani ni wapinzani wenyewe kuwekewa mamluki na Chama tawala bila kujielewa hatimaye anawavuruga, Mnyika kasemwa sana na huenda akawa kete baadae maana anakubalika sana lakini hata hivyo madhara yake yatakuwa madogo kuliko Slaa. Wamchukue Mbowe kumaliza kazi kabisa
 
hizi ni hesabu za makisio....
tulisoma zamani, ikifika 2020 hesabu hii wengi watakuwa hawaijui....
 
Hakuna mtu mwenye ushawishi ambae ni mbunge na kijana, hakuna so far alievunja rekodi ya mvuto kwa wabunge vijana wa upinzani kama aloiweka zitto, kwa hiyo mleta uzi rudi kaandike tena🙁
Haaaah[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Stori za kwenye kahawa, CCM hawahitaji mtu kutoka chadema ili kuwasambaratisha!Tunahitaji upinzani imara unaojengwa kwa misingi ya hoja na kuwajibika!Nasari na Mnyika ni mfano wa wapinzani safi!Itakuwa ni upuuzi wa hali ya juu wakiondoka na kujiunga na CCM kulikojaa magwiji wa siasa na hoja!
 
Kama wakina Nani magwiji ao taja 10
 
CCM huwezi kutaja 10 wako wengi sana hata kama hupendi huo ndio ukweli wenyewe
Haaah hao wa ndio wale wanaosimama bungeni na kupewa dakika 10 3 anashukuru familia yake,3 kumsifia magufuli,4 kuwaponda wapinzani na kumsifia sipika !!!
Anasai posho anaenda baa?
 
Wambie wakumbuka kuweka hazina na mbinguni pia. Au mnadhani mtaishi milele. Majonzi ya wengi mnasubiriwa mkalipe huko.... Watu wanalia maisha magumu nyie mnawafanya mitaji na ngazi ya kufikia malengo yenu
 
Back
Top Bottom