Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

Watz ni watu wanaopenda amani na hilo linawapa furaha. Kwao amani kwanza mengine baadae. Hata ukiwakera vipi watatafuta namna wafurahi kwa uliyowafanyia.
 
Angalia ujinga ulioandika hapa! Hebu twambie huko Ulaya ni Nchi gani inafanya maovu ya kutisha kama maccm halafu inakaa madarakani miaka 59? Tafakari kwa kina kabla ya KUKURUPUKA na kuandika upuuzi.
Kwa Afrika ubadhilifu na uchotaji wa rasilimali za umma au chama ni vitu vinavyotokea.

Lakini hata huko Ulaya na marekani kwenye vyama vya siasa upo wizi wa kughushi na kujipatia viposho kwa njia za udanganyifu.
 
Nacheka kama mazuri hivi Robert amsterdam anatusaidia nin sas [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
 
Wewe bogus naukumbuka ule uzi wako wa kutaka jiwe awe Rais wa maisha, hujielewi.
Ndio

Naamini Mungu kanipa kipawa cha kuangalia masuala fulani kwa upana wake.

Nikiandika ni kielelezo.
 
Angalia ujinga ulioandika hapa! Hebu twambie huko Ulaya ni Nchi gani inafanya maovu ya kutisha kama maccm halafu inakaa madarakani miaka 59? Tafakari kwa kina kabla ya KUKURUPUKA na kuandika upuuzi.
Kuna anchi fulani ya Ulaya leo mtu kaamua kuingia kanisani na kuchinja watu.

Ni kutokana na yeye kuamini kwamba kuna ukandamizaji wa aina fulani kwa watu wa aina fulani.
 
Don’t change the subject please! What happened in France does not justify what is going in our country . Stop this stupidity please!

Siasa ni sayansi.

Mimi ningekuwa Tundu Lissu tangu alipopitishwa kuwa mgombea wa CCM angejipanga kukabiliana na sera zote za CCM na ilani yake ya Uchaguzi.

Kisha ningetafuta makosa na udhaifu wote wa CCM na serikali yake.

Halafu hapo unapata wapi pa kuanzia strategically.

Lakini si njia ambayo Tundu Lissu amepitia tangu achaguliwe kuwa mgombea wa Chadema.

Amekosea sana kimkakati na kuieledi.

Yaani ni afadhali na uchaguzi wa 2010 a 2015 ambapo Dr Sla na Edward Lowasa waliweka hekaheka.
 
Kwa Afrika ubadhilifu na uchotaji wa rasilimali za umma au chama ni vitu vinavyotokea.

Lakini hata huko Ulaya na marekani kwenye vyama vya siasa upo wizi wa kughushi na kujipatia viposho kwa njia za udanganyifu.
Dawa ya wanaccm ni kuanza kuwapoteza mmoja mmoja
 
Kwa hio umeprove Rais na serikali yako aliposema msipomchagua fulani (CCM) maendeleo hayaji jimboni kwenu na wewe unaona ni sawa?
Usikimbie ukweli kuwa halmashauri ya jiji iliyotawaliwa na upinzani haikufanya lolote kuboresha miundombinu kwa miaka mitano. Sasa yamewakuta.
 
Dawa ya wanaccm ni kuanza kuwapoteza mmoja mmoja
Siamini katika violence bali fairness pale palipo na subastance katika arguments za wapinzani.

Kuwapoteza kisiasa yatosha.

Na imani hili ni funzo kwao kujipanga upya.
 
Upuuzi mtupu! Eti siasa ni sayansi! Lakini hapo hapo unaukwepa ukweli kwamba tume haikuwa huru, uchaguzi ulijaa wizi, vitisho, mawakala wa Chadema kufanyiwa kila aina ya uhuni ili kurahisisha wizi na pia polisiccm kutumia mtutu wa bunduki Bara na Visiwani ili kukamilisha ujambazi wa huyo anayejiita mwendawazimu kuiba chaguzi ili ang’ang’anie madaraka! Hebu tumia akili japo kiduchu ili kuuona ukweli badala ya KUKURUPUKA na kuandika PUMBA.
 
Kwa hio umeprove Rais na serikali yako aliposema msipomchagua fulani (CCM) maendeleo hayaji jimboni kwenu na wewe unaona ni sawa?
Boniface Jacob akiwa meya amefanya nini kutatua matatizo ya mafuriko?
 
Hili genge lilijifanya ndio kila kitu,kumbe mapunguani matupu. Hongereni watanzania wazalendo, mnaoona mbali kwa manufaa ya taifa zima. Tanzania inahitaji maendeleo sio bla bla hapa, ikimpendeza mkuu apige marufuku siasa mpaka 2025 ili mpate kazi za kufanya maana wengine mlikuwa mmejificha kwenye kichaka cha siasa kumbe majizi.
 
''Sasa kibaya zaidi ni kitendo cha kuwashirikisha wageni kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na hata kufikia baadhi yao wageni hao khasa bwana Robert Amsterdam kuandika barua za vitisho na dhihaka kwa kiongozi wa Tanzania akidhani yeye ndie mahakama ya dunia!''

Thanks Richard, Ubarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…