Leo 29/10/2020 ilikua siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad Swallalaah Alayh Wassallam..
Utaratibu kila mwaka kunakua na baraza la maulid kitaifa na bakwata ndio waandaaji.
Vipi mbona kama sikusikia chochote? Au bakwata ndio hivo tena walikua busy na uchaguzi, maulid yakawekwa pembeni?
Miaka iliyopita 👇👇👇
BAKWATA: Maadhimisho ya Maulid kufanyika Novemba 09, Mwaka huu
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa mnamo Novemba 09, 2019 yatafanyika maadhimisho ya Kitaifa ya Maulid katika Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Aidha, Baraza hilo limesema kuwa Baraza la Maulid litafanyika Kitaifa mnamo Novemba 10, 2019 katika Ukumbi wa Benki Kuu... www.jamiiforums.comwww.jamiiforums.com
Baraza la Maulid Tanga lampongeza Rais Magufuli. Mufti Mkuu akemea masuala ya ushoga
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi ametumia Baraza la Maulid kuwataka Masheikh wa mikoa nchini kukemea vitendo vya ushoga ambavyo vinaharibu sifa ya Uislamu. Mufti amesema hayo leo Jumanne Novemba 20, 2018 alipokuwa akiwahutubia wananchi katika kumbukizi hiyo ya kuzaliwa Mtume Muhammad... www.jamiiforums.comwww.jamiiforums.com
Mkuu nimegundua wewe sio objective ni subjective. Haihitaji rocket science kujua hili suala hata layman wa mtaan huku wanafahamu.
Haya endelea na mada yako, mimi niishie hapa.
Mimi siku zote ni objective ila wewe ni subjective.
Ndo maana mnashindwa kuwa hoja za CCM kwamba wameona yalofanywa na serikali yake kwa miaka mitano ilopita.
Kama kawaida mtu objective pia ni lazima asikilizwe kwamba Tundu Lissu asiwe mgombea labda mnaenda kinyume na mtarajio ya wanachama walo wengi.
Lakini kwa kuwa Chadema ni subjective mnaishia kuchagua hoja ambazo hazina substance mbele ya electorate.
Pia kwa kuwa ninyi ni subjective, kuchagua kutohudhuria bungeni imekuwa ni pigo kwenu kwani eletorate wamewaona hamna maana kwa kuendelea kuunguza public funds kula posho bila kuhudhuria bungeni.
Hivyo wewe ndie subjective.
Mimi ni Objective kwa kuwa naangalia zaidi facts mezani.
watanzania hawaipendi CCM bali wanaipenda Amani, ndio maana hawako mabarabarani sababu bado wanamtaka Amani wao. CCM wanalijua hilo na ndio mana wanawafanyia watanzania hila za wazi wazi, ili wavuruge amani, ila bado wanaienzi Amani waliyoachiwa na baba wa Taifa, tutamuenzi baba wa Taifa kwa kutuachia amani, na tutahuzuni
ka kwa baba wa taifa kutuachia CCM

Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku.
Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi John Magufuli na serikali yake kwa miaka mitano ilopita na ntaendelea kumuunga mkono kwa yale yote mema anayoyatendea nchi hii.
Tuwe wakweli hata wewe ukiwa na mipango yako wataka uifanye na waona kabisa kuna "obstacles" au vipingamizi ambavyo vipo kwa ajili ya kukukatisha tamaa na kuvuruga ni hatua zipi utachukua?
Ndio, hii yaitwa "obstacles to progress" yaani mtu kwa makusudi kabisa apingaaa kila kitu!
Upinzani watakiwa kuwa objective yaani uwe wapinga lakini hapohapo kwenye masuala ya kuhusu maslahi ya taifa waonekana waunga mkono asilimia 100.
Nchi zote zilizoendelea na zinazoendela wanafanya hivyo na tumeziona hata katika suala la COVID-19 wapinzani wameunga mkono jitihada za serikali na penye kupinga wamepinga na kutaka ufafanuzi.
Lengo lao la kupinga ni kuitaka serikali ifanye marekebisho ya sheria zake kuhusiana na ugonjwa huo na mengine yanayobaki kama kuunga mkono "lockdown" wameunga mkono serikali zao.
Lakini upinzani wa Tanzania ni kupinga kila lililo jema na kibaya zaidi kuzungumzia upingaji huo mitandaoni kwa kukejeli na kukashifu vitendo ambavyo wananchi wameona na wamesikitishwa sana.
Kutohudhuria vikao vya bunge na kuendelea kulipwa fedha za vikao mmeliingizia hasara Bunge na taifa kwa ujumla maana fedha hizo ni bora zingeenda kushughulikia maendeleo ya huko vijijini na huduma zingine muhimu kwa nchi yetu.
Pia kutohudhuria vikao vya bunge mmewanyima wananchi haki yao ya kufikishiwa shida zao bungeni na badala yake mkampa kazi raisi Magufuli kuzunguka nchi nzima akishughulikia matatizo ya wananchi papo kwa hapo.
Matatizo ya wananchi kama kukosa huduma ya vyoo ni jukumu ya mbunge na jimbo jimbo lake kuhakikisha kuna vyoo vya umma katika maeneo kama masoko na vituo vya mabasi.
Sasa kibaya zaidi ni kitendo cha kuwashirikisha wageni kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu na hata kufikia baadhi yao wageni hao khasa bwana Robert Amsterdam kuandika barua za vitisho na dhihaka kwa kiongozi wa Tanzania akidhani yeye ndie mahakama ya dunia!
Wananchi wa Tanzania si wajinga ni watu waelewa sana na wapinzani wasidharau kauli hii.
Nilisema pia humu kuwa wananchi hawa walojitokeza kwenye mikutano yenu hawakufanya hivyo bila sababu, walitaka kusikia mnachosema majukwaani.
Mlichofanya mkaishia kumzungumzia raisi Magufuli na serikali yake badala ya kunadi sera zenu na ilani za vyama vyenu.
Niliwakumbusha hapa ndani kabisa ya kampeni baada ya kuona mnapotea lakini hamkusikia mkazidisha kuchukua picha za nyomi la watu na kutupa mtandaoni.
Ilani ya Uchaguzi au kwa kiingereza huitwa Election Manifesto ni kabrasha litolewalo na chama cha siasa ambalo limesheeni mawazo na sera zote. Mara nyingi chama cha siasa kikishinda uchaguzi huweza kupimwa mafanikio yake kutokana na utekelezwaji wa ilani yake ya uchaguzi. Kwa miaka mitano...
www.jamiiforums.com
Sasa hivi wanawachapa bakora khasa na kuwakumbusha kuwa upinzani ni kuwa objective unampinga mtu na hapohapo waonyesha unamsaidia katika baadhi ya mambo ambayo ni positive.
Kiukweli mnahitaji kujipanga uzuri na kuja kivingine mkipinga yanayostahiki na kuisaidia serikali kufanya shughuli zake bungeni na majimboni kwa ufanisi na huko ndiko kula na kipofu.
Sasa hata yule anefahamu kula na kipofu anawashindaaa!!
Hiyo ni kwasababu upinzani kuja kutawala nchi hii itachukua miaka mingi sana na sababu ni haohao wananchi mnaowadharau kwa kuwaita wajinga.
Lakini ni kheri mjinga asiefahamu na anaengojea kuelimishwa kuhusu sera mbadala, kuliko yule mpumbafu anaejiona afahamu kila kitu na hata kutumia mabeberu kutaka kuiuza nchi yake.
Tuendelee kushuhudia kichapo kutoka kwa wananchi na poleni wapinzani, poleni sana.
Hadi sasa kwa mwaka 2017 pekee, mambo yafuatayo yanaendelea kutekelezwa na serikali ya raisi John Magufuli: Tokea achaguliwe mwaka 2015 hadi sasa raisi John Magufuli amefanikisha kwa kiasi cha asilimia 100 mambo yafuatayo: Hadi mwaka 2016 Hostel za Chuo cha UDSM. Hostel za Askari Magereza...
www.jamiiforums.com
Naamini Mungu kanipa kipawa cha kuangalia masuala fulani kwa upana wake.

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.