Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

Watanzania kwa kujifanya ni wajuaji wa kila kitu.
Hebu tueleze alikosea wapi na kipi angefanya ndio angepatia.
Usikute unakaa kwa shemeji yako then unakuja kukosoa mambo makubwa ya siasa za nchi hii.
 
Usikimbie ukweli kuwa halmashauri ya jiji iliyotawaliwa na upinzani haikufanya lolote kuboresha miundombinu kwa miaka mitano. Sasa yamewakuta.

Wewe ndio usikimbie ukweli miaka 60 ya liserikali lako mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko, kila mwaka matatizo ni hayo hayo, na bado serikali yako kimya, unafurahia flyover kwanza.. dah
 
Boniface Jacob akiwa meya amefanya nini kutatua matatizo ya mafuriko?

Wewe unadhani angefanya nini wakati kiongozi wako anatamka hadharani kuwa hatapeleka maendeleo jimboni endapo watachagua mpinzani, unafurahia maendeleo Chato na sio kijijini unakotoka sio??
 
Mkuu, nipe mfano wa tume yoyote huru katika nchi yoyote ile.

Na ni uhuru gani huo unaozungumzia?

Ule wa kuipa ushindi Upinzani hata kama umeshindwa?

Hizo irregularities zipo hata huko Marekani ambao kucha wazungumzia uchaguzi Tanzania.

Hata Donald Trump alipomteua mtu wake kuwa mkuu wa posta kusimamia upigaji kura kwa njia ya posta hakuna aliepinga hilo.

Pia Trump metua majaji wa mahakama kuu wapato 216 na kufikia siku ya uchaguzi majaji hao watakuwa 230.

Sasa hawezi kukataa kwamba uteuzi wake wa majaji hawa utaendana na hukumu watakazotoa dhidi ya mapingamizi yatakayotokana na matokeo ya uchaguzi.

Na tume ya uchaguzi ya Marekani inawasiliana na post office na mahakama.

Sasa uhuru wa mahakama upo wapi hapo?
 
Siamini katika violence bali fairness pale palipo na subastance katika arguments za wapinzani.

Kuwapoteza kisiasa yatosha.

Na imani hili ni funzo kwao kujipanga upya.
Kiroho safi nimeshaanza kutekeleza hilo. Nikimuona mwanaccm napata njaa ya kuua tena njaa kali sana! Kwa hakika lazima tuje na mbinu ambayo itawaumiza ili utu uwaingie.
 
Wewe unadhani angefanya nini wakati kiongozi wako anatamka hadharani kuwa hatapeleka maendeleo jimboni endapo watachagua mpinzani, unafurahia maendeleo Chato na sio kijijini unakotoka sio??
Hapana, Jacob alikuwa na uwanja wote wa kujimwambafwai kuhakikisha mapato ya jiji yanaboresha jiji bila shida.
 
Watanzania kwa kujifanya ni wajuaji wa kila kitu.
Hebu tueleze alikosea wapi na kipi angefanya ndio angepatia.
Usikute unakaa kwa shemeji yako then unakuja kukosoa mambo makubwa ya siasa za nchi hii.
Acha utoto wewe hunifahamu uzuri hivyo kaa kimya.
 
Acha utoto wewe hunifahamu uzuri hivyo kaa kimya.
Ni kweli sikufahamu lakini unapokuja kuchallenge mbinu walizotumia watu toa mbinu mbadala ambazo unaona ni suluhisho sio kuja na maneno matupu kama kasuku.
 
Ni kweli sikufahamu lakini unapokuja kuchallenge mbinu walizotumia watu toa mbinu mbadala ambazo unaona ni suluhisho sio kuja na maneno matupu kama kasuku.
Nimeongea mbinu nyingi tu mbadala tangu 2006 nikiwa na kina BAK, yeye anafahamu hilo.
 
Nimeongea mbinu nyingi tu mbadala tangu 2006 nikiwa na kina BAK, yeye anafahamu hilo.
Contents za uzi zinahusu uchaguzi mkuu wa 2020.
Na hapa ndio ulitakiwa uweke hizo mbinu mbadala acha ngonjera za 2006.
 
Kwa kukomesha kabisa Magu atateia viongozi wa upinzani kibao[emoji23][emoji23][emoji23] ili kuwatia hasira zaidi
 
Uzuri kwamba namba tutazisoma wote Kama Sasa mitandao imechezewa tuna athirika wote Hadi MATAGA ,endeleeni kushangilia utopolo.
 
Click to expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Reactions: BAK

Hukusikia upinzani kushinda Malawi baada ya miaka 25 kama sikosei ya hao waliokuwa madarakani? Kule Seychelles baada ya miaka 44 ya chama tawala last week upinzani umeshinda. Unadhani wangekuwa na UOZO kama huu wa kwetu pamoja na vyombo vya dola vifanye uhuni, vitisho na mauaji kama polisiccm unadhani upinzani ungeshinda!?
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Tutakavyoanza kuisoma namba watakuwa wanaangalia ulikuwa unashabikia chama gani au wote tutaisoma namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…