Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.

Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?

Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?

Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.

Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambpao hamjui kesho yenu kisiasa.

Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
Peleka ujinga huko, sasa ulitaka waseme nini labda? Kubwa zima kutwa kukicha kuandika ujinga humu. Punguani wewe.
 
Buku 7 hazilipiki au?

Ona we jamaa, upinzani sio lazima utoke chadema au eisitii. We anza kumpinga hata Gambo tu kwenye mitandao. Kama unawashwa sana kupingana.

Uliongea sana wakati wapinzani wanakujibu mitandaoni ukasema hawana hoja sasa wamekuelewa, wamejiona hawana hoja wameamua kukaa kimya badala ufurahi umeshinda unajikuta unaweweseka. Shida yako nini kwani?

Hebu tuachane na wapinzani, hawana hoja wamejifia. Hawana wabunge na mgombea wao kakimbia nchi. Hebu sisi tuliobaki tujenge nchi.
 
Kumbuka mnakula ruzuku ambazo ni kodi za wavuja jasho, lazima mseme lolote kwa mustakabali wa taifa.

Hivi unajielewa kweli?

Mara wamezimishwa, mara siyo kwamba hawataki kusema mara lazima waseme kwa mustakabali wa taifa.

Sasa waliozimishwa wanasemaje? wanatoka wapi na umesema wamezimishwa??

Anyway mmeachwa mchape kazi, hakuna kutafuta watu wa kuwatupia lawama...CHAPENI KAZI UCHAGUZI UMEISHA.
 
Sawa. Uache ku post ujinga humu. Kutwa mathreads ya kipuuzi tu, kwani lazima uanzinshe threads humu! Mmevuruga jukwaa na maujinga yenu humu, hamnaga kazi ya kufanya? Kero tu.
Najua limekuingia vizuri🖕
 
Hivi unajielewa kweli?

Mara wamezimishwa, mara siyo kwamba hawataki kusema mara lazima waseme kwa mustakabali wa taifa.

Sasa waliozimishwa wanasemaje? wanatoka wapi na umesema wamezimishwa??

Anyway mmeachwa mchape kazi, hakuna kutafuta watu wa kuwatupia lawama...CHAPENI KAZI UCHAGUZI UMEISHA.
Punguza jazba,opposition parties must work my bro. Sio lazima wapate wabunge.
 
Fu..ck off cretin. Mnatuchafulia jukwaa pimbi nyie.
Mmeshinda kwa 84% na bunge mna 99% sasa haya manyuzi ya nini? Kuku nyie!
Tuliza moyo kijana,acha hasira. Ulitaka Ccm ishinde kwa asilimia ngapi?
 
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.

Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?

Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?

Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.

Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambao hamjui kesho yenu kisiasa.

Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
[emoji15][emoji15][emoji15] ... Ama kweli nimeamini ujinga ni adui mkubwa wa maendeleo ya utu wa mtu

Hivi dunia hii ya leo kizazi cha karne ya ishirini na moja bado tuna watu wa aina hii ambao angalau wanajua kusoma na kuandika na kuweza kuanzisha uzi kama huu du!!!!

Duuuuuu!!! ... nilidhani watu wa aina hii tulisha waacha miaka ya tisini huko ambao wengi wao kwa wakati huo walikua na umri wa kati ya miaka 60 - 70

Watu hao kwa sasa 2021 hii wengi wao ni marehem au hawajiwezi wanatembea kwa kushikiliwa mikono ambao utakuta wana umri wa miaka 80 - 90

Kaazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom