Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

Waseme kupitia platform ipi ?
1.Bungeni ?(mmewaengua 'walituchelewesha' )
2.Mikutano ya hadhara ? (Muda wa siasa umeisha 'ni muda wa kuchapa kazi' )
3.Mtandaoni ? (Serikali haifanyii kazi mambo ya mitandaoni)

Kuwa CCM ni kuwa mchawi asiyerasimishwa.
Hahahahahaaa
 
Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.

Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?

Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?

Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.

Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambao hamjui kesho yenu kisiasa.

Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
Acha wee! Tunajua janja yenu. Buku saba zimekata.
 
Ningependa kutoa ushauri kwa watanzania wote, tusijaribu kusherehekea siasa kama ushindani wa mpira. Kuwepo kwa political balance kwenye vyombo vya kutunga sheria ni suala muhimu kwa afya ya taifa lolote. Nadhani hii ndio motivation ya mataifa wahisani kutusukuma kwenye demokrasia wakiamini bila yake hatuwezi kufika.

Kuna haja ya kutafakari ni kwanini political balance imekosekana. Tukishafahamu tatizo lilopelekea hapo tulipo, ndio tujaribu kutoa suluhisho. Ninachokusudia kusema hata kama bunge la sasa lingekuwa na +90% ya CHADEMA/CUF/ACT bado kwa aliemakini hatopendelea hali hio. Na sio hapendelei kwasababu yeye ni CCM/NCCR bali imekosekana balance ambayo ni muhimu kwa afya ya taifa.

Unapokuja kusema kwamba serekali ya sasa imekamilika na haina makosa. Nadhani wengine hatukufuhamu, ikiwa serekali hata za nchi zilizoendelea bado kuna mambo mengi ya kutafakari na kuboresha. Wakati wao wako mbele na wametuzidi kwa miaka mingi katika maendeleo, ulitaka tukufuhamu vipi ?

Maeneo haya naweza yatolea mfano ambapo nina uhakika kuna mambo mengi yanahitaji uboreshaji:
  1. Elimu haizalishi majembe/vichwa
  2. Afya
  3. Haki za binadamu na utawala bora / uhuru wa kujielezea
  4. Ajira
  5. Sheria nyingi chakavu na zina upungufu mkubwa wa kukabailiana na hali halisi
  6. n.k
Maasalaam
 
Wakikaa kimya unateseka sana? Nawewe kaa kimya.

Back
Top Bottom