Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Sawa. Uache ku post ujinga humu. Kutwa mathreads ya kipuuzi tu, kwani lazima uanzinshe threads humu! Mmevuruga jukwaa na maujinga yenu humu, hamnaga kazi ya kufanya? Kero tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Uache ku post ujinga humu. Kutwa mathreads ya kipuuzi tu, kwani lazima uanzinshe threads humu! Mmevuruga jukwaa na maujinga yenu humu, hamnaga kazi ya kufanya? Kero tu.
Lipeni kodi kwanza kelele za nini?Acha kubwata hovyo . upinzani kwasasa sio ajenda nenda kavae barakoa na ufuate masharti mengine ya WHO.
Hao wameshaunga juhudi,achana na hao dogo.
Unajua maana ya registered opposition party?
Wewe ni tabularasa kweli.Unajua maana ya registered opposition party?
Ahaaaa. Uko sawa kamanda. Lakini umekurupuka kunikosoa.Wewe ni tabularasa kweli.
Hakuna "registered opposition party" .
Kuna "Registered Political Party".
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kama mnatapatapa kama mnakufa vile ...nini shida
Ndio ni kipimo tosha kabisa kisicho na utata ... na kama si kipimo basi nipe jibu kwanini yaliondolewa na sasa mmeyarudisha kimyakimya ?Maji tiririka ni kipimo cha Covid 19?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ccm wamemumisi shetani wao chadema,wanakosa wakumsingizia makosa...
Waseme kupitia platform ipi ?Kumbuka mnakula ruzuku ambazo ni kodi za wavuja jasho, lazima mseme lolote kwa mustakabali wa taifa.
Una ujinga na utoto mwingi ndani yako jitahidi kuondoa huenda ccm wakakupa unachokisaka!Nani asiye wajua jinsi mlivyo na shobo za kisiasa? Jinsi mnavyojua kuyavalia bango makosa ya CCM na serikali yake.
Eti mnazuga mmeamua kukaa kimya baada ya kuona mlidhurumiwa uchaguzi mkuu! Mlidhulumiwa nini?
Nirudi kwenye hoja kuu, ninyi wapinzani njaa mpate skendo ya kweli ya ufisadi ambayo mnajua itawabeba kama Escrow au list ya mafisadi papa ilivyowabeba,mtakaa kimya?
Kwa ufupi hamna mikakati ya siasa ya kupambana na Ccm sababu sasa hivi hamna watu makini wa kuwapa mbinu na mikakati chanya.
Mmebaki kuwa watu wa kunug'unika kama vile machokoraa wa kisiasa ambao hamjui kesho yenu kisiasa.
Msidanganye watu eti kuwa mmeamua kukaa kimya eti kisa hamtaki kusema lolote,ukweli ni kuwa hamna cha kukosoa kama huko nyuma maana kwa sasa mmebaki hamna mtaji wa kisiasa.
HahahahahhahaaKwani sisi tunavujaa chawa sio
Daah? Safisana yn umemjibu kiustaraabu kituambacho mudawote nilikua nafilikia nitamjibu kinamna gani Asante kwamsaadawakoBuku 7 hazilipiki au?
Ona we jamaa, upinzani sio lazima utoke chadema au eisitii. We anza kumpinga hata Gambo tu kwenye mitandao.
Uliongea sana wakati wapinzani wanakujibu mitandaoni ukasema hawana hoja sasa wamekuelewa, wamejiona hawana hoja wameamua kukaa kimya badala ufurahi umeshinda unajikuta unaweweseka. Shida yako nini kwani?
Hebu tuachane na wapinzani, hawana hoja wamejifia. Hawana wabunge na mgombea wao kakimbia nchi. Hebu sisi tuliobaki tujenge nchi.
Hahahahahahahhaaha haooooo wanatafuta uchochoro hawana pakutokeaHivi unajielewa kweli?
Mara wamezimishwa, mara siyo kwamba hawataki kusema mara lazima waseme kwa mustakabali wa taifa.
Sasa waliozimishwa wanasemaje? wanatoka wapi na umesema wamezimishwa??
Anyway mmeachwa mchape kazi, hakuna kutafuta watu wa kuwatupia lawama...CHAPENI KAZI UCHAGUZI UMEISHA.
Wameacha kizazi Chao hahahahahahahha[emoji15][emoji15][emoji15] ... Ama kweli nimeamini ujinga ni adui mkubwa wa maendeleo ya utu wa mtu
Hivi dunia hii ya leo kizazi cha karne ya ishirini na moja bado tuna watu wa aina hii ambao angalau wanajua kusoma na kuandika na kuweza kuanzisha uzi kama huu du!!!!
Duuuuuu!!! ... nilidhani watu wa aina hii tulisha waacha miaka ya tisini huko ambao wengi wao kwa wakati huo walikua na umri wa kati ya miaka 60 - 70
Watu hao kwa sasa 2021 hii wengi wao ni marehem au hawajiwezi wanatembea kwa kushikiliwa mikono ambao utakuta wana umri wa miaka 80 - 90
Kaazi kwelikweli