Upinzani mmezimishwa sio kama hamtaki kusema

Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine tu huko CCM
 
We kamanda unao uthibisho wa kisayansi?
Ndio uthibitisho upo ...

Kwa mfano sasa hivi vituo vyote vya mwendokasi maji tirirka yamerudishwa kiaina baada ya kuondolewa miezi kadhaa iliyopita kabla ya uchaguzi wa Oct 2020

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soon barakoa nazo zitarudi kimyakimya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeandika nini?
 
Maji tiririka ni kipimo cha Covid 19?
 
Tuliza moyo kijana,acha hasira. Ulitaka Ccm ishinde kwa asilimia ngapi?
Mimi sio kijana, angalau kwa definition ya WHO! Sipendi ujinga tu, peleka upuuzi huko sio kutuletea threads za kipuuzi humu. Members wengi hawasemi humu ila mnakera sana!
 
Mimi sio kijana, angalau kwa definition ya WHO! Sipendi ujinga tu, peleka upuuzi huko sio kutuletea threads za kipuuzi humu. Members wengi hawasemi humu ila mnakera sana!
Umesoma ukaelewa kuna upuuzi hapa?
 
Wanaogopa kupewa Kesi kama ile ya AKWILINA
 
Ni kweli kabisa,wamejifia na nchi ni kijani na amani kubwa.Tunasubiri vikao vya bunge tuone wasomaji wazuri wa script zizoandikwa na naniii
 
Hata nyimbo za mapambio zimezima pia,kunanii
 
Sasa unawashwa nini?? Wakikaa kimya inaonekana unaumia, na utaumia kama muwashwa na mavi makalioni, maana unajikuna sasa na umeishia kunuka mavi wenzio wako kimya?? Na watakaa kimya mfanye siasa peke yenu 4ever.
 
Maalimi Seif mbona anazungumza sana,Zitto mbona ana tweet kila siku!
Kumbuka mnakula ruzuku ambazo ni kodi za wavuja jasho, lazima mseme lolote kwa mustakabali wa taifa.
 
Kwa mfano ungetaka waseme kitu gani?
Kwa sababu mnakiri hakuna cha kukosoa sasa wangepongeza jinsi serikali ya awamu ya tano inavyotekeleza miradi mikakati kwa kasi
 
Wakiongea mnalalamika,wakikaa kimya mnalalamika. Hii ndo akili ya MACCM ninayoifahamu. Hopeless kabisa! Pambaneni na kodi zilizoongezwa kila sehemu sio kujadili watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…