spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Hakuna cha kipindi cha corona wala nini, hakuna jema upinzani wanaweza kufanya kwani ukweli ni kwamba watanzania ni waoga wa mabadiliko ( fear of the unknown) na tumelemazwa na misemo ya kale eti zimwi likujualo, halikuli likakwisha[emoji57] ndio haya sasa tunaenda nayo.Uko sahihi kabisa. Wapinzani inabidi wajipange upya, tena waje na vijana wapya, na waache masuala ya kupinga kila kitu, Kuna kupinga lakini waangalie kwnaza wanapinga nini, na wapi. Kipindi cha corona ndio chadema walipoteza watu wengi sana.
Kunywa mchuzi , nyama zipo chiniIkibidi tuambiwe kabisa na time limit kwamba Tz inakwenda kuwa kama ulaya lini?.Isije ikawa Non stop future impossible tense.
Hao akina kagame na museveni wote wana soft stance kwenye mashoga yaani maneno tu apa Tanzania Makonda kafanya action na raia wakawa wanawanyanyasa dhahir. Na pia hakina maandamano ya watu, kuuliwa mmoja mmoja uku watu wamekaa majumbani wakiwa keyboard warriors bado haijawa sababu tosha ya wao kuanza kueka vikwazo na kuingilia.Hili nalo neno,mbona wakina museveni wanadunda tu?
Ulitakaje sasa mkuu?? Aongezewe tu miaka ili atawale milele.kinyongeee unacoment #sasabasi
Kama ndo hivyo waangalizi wa kimataifa wa chaguzi wana umuhimu gani?Hao akina kagame na museveni wote wana soft stance kwenye mashoga yaani maneno tu apa Tanzania Makonda kafanya action na raia wakawa wanawanyanyasa dhahir. Na pia hakina maandamano ya watu, kuuliwa mmoja mmoja uku watu wamekaa majumbani wakiwa keyboard warriors bado haijawa sababu tosha ya wao kuanza kueka vikwazo na kuingilia...
Wanatekeleza wajibu wao tu na kutoa ripoti. Hata wakisema haukuwa wa haki basi kikubwa watu wataambiwa wasuluhishwe. Kusuluhishwa huko maana yake alietangazwa mshindi abaki kuwa mshindi na alieshindwa labda apewe vitiKama ndo hivyo waangalizi wa kimataifa wa chaguzi wana umuhimu gani?
Wanatekeleza wajibu wao tu na kutoa ripoti. Hata wakisema haukuwa wa haki basi kikubwa watu wataambiwa wasuluhishwe. Kusuluhishwa huko maana yake alietangazwa mshindi abaki kuwa mshindi na alieshindwa labda apewe viti
Basi kama ni hivyo tutegemee sarakasi za kasi zaidi.Wanatekeleza wajibu wao tu na kutoa ripoti. Hata wakisema haukuwa wa haki basi kikubwa watu wataambiwa wasuluhishwe. Kusuluhishwa huko maana yake alietangazwa mshindi abaki kuwa mshindi na alieshindwa labda apewe viti
Kama hamna watu kuandamana hamna liwalo, maisha yatarudi kama kawaida tu. Mimi nataka CCM waache ujinga, watumie fursa hii walioipata kuelekea serikali moja kama walivotaka na zanzibar iwe mkoa yenye wabunge wa nne kutoka unguja na wanne kutoka Pemba, mkuu wa mkoa asitizamwe kwa kigezo kama ni mzanzibar bali atizamwe kama mtanzania kwaio ata we kutoka kagera anaweza kuwa mkuu wa mkoa Zanzibar yaani natamani CCM zanzibar wendelee kudhalilishwa na kukoseshwa nafasi ili sote tueleweBasi kama ni hivyo tutegemee sarakasi za kasi zaidi.
Kweli mkuu,muda wa siasa umeisha tuanze kupambanaTamko la nini?
Maisha baada ya uchaguzi yameshaanza...
Wanyamaze kabisaSina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.
Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo.
Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe.
Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure.
Msihangaike kuhamasisha maandamano maana police wakifyatua risasi na raia wakafa, mtalaumiwa bure!
Tuachieni miaka hii mitano tujihakikishie Kama kweli maana ya upinzani ipo kwenye vyama vya siasa au mioyoni mwa watu?
Kaeni pembeni tuone Kama kweli nyie ndio chanzo cha kukosekana kwa huduma za jamii huku kwetu?
Kaeni pembeni tuone Kama kweli nyie ndo mlikuwa sababu ya umasikini wa Watanzania wengi?
Kaeni pembeni ili wananchi waanze kufurahia maziwa na asali walivyovikosa miaka yote hiyo.
Nasema kaeni pembeni kwasababu mmejaribu kutusemea ila tumeshindwa kuwaelewa.
Haina haja ya Mmarekani na wa yuropa kuanza kutusemea! Waambieni nao watuache, tuna jambo letu miaka mitano hii.
Tena waambieni wawe wa kwanza kumpa kongole muheshimiwa kwa ushindi wake wa kishindo na madiwani na wabunge wote! Wasimseme wasije kumconfusi!
Kwa kweli mkijikalia pembeni mkaanza kufanya shughuli nyingine nje ya siasa kuanzia Leo mtakuwa mmetusaidia sana sisi wanyonge kuondoka kwenye unyonge wetu.
Mtakuwa mmetusaidia sana maana mishahara itapanda, huduma za jamii zitabireshwa, ajira zitapatikana, shule zitaboreshwa, uhuru na haki vitatamalaki na Mambo kede kede.
Msiandamane wala kulalamika lalamika ili msimconfyuzi mshindi akaanza kuloose focus na kugombana na nyie!
Muacheni na mtuache na sisi tuyaone wenyewe!
Ni hayo tu! Tanzania ni yetu watanzania, UN, USA na wengine hawawezi kutuonea huruma tusipoanza sisi kujionea huruma na hata wakituonea huruma watakuwa na jambo lao nyuma ya pazia!
Waambieni watuache tuyaone wenyewe!
Hili nalo neno,mbona wakina museveni wanadunda tu?
Asante jambo letu limeishaSina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Nakuunga mkono kwa asilimia zote mkuuSina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri.

Hujanielewa Ciril.Mtu kuanza kufanya jambo jipya wakati mwingine anaangalia kwanza anayelifanya jambo hilo anapata madhara gani.Akiona haathiriki kwa namna au nyingine na yeye anapata moyo zaidi wa kulifanya jambo hilo bila wasiwasi wowote.Kwa hiyo mmecopy n paste kutoka kwa Museveni sio ?.
Kama wapo wazee wenye hekima na viongozi wa dini halisia watashauri kitu. Vinginevyo tutaumia Watanzania wote mbali ya kuharibu umoja, tutatengwa na jumuia za kimataifa.