Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

Chawa wewe
 
mie siwezi konda wala kunenepa kwasababu yoyote ile..

ispokua nitasema kweli daima kila wakati nitakapoona inafaa kulingana na hali halisi ya kisiasa inavyokwenda πŸ’
Kuteka Vijana na kuwapiga Risasi ili kuwatisha hasiihoji Serikali ya CCM huo ndio ukweli.
 
Kuteka Vijana na kuwapiga Risasi ili kuwatisha hasiihoji Serikali ya CCM huo ndio ukweli.
hilo nimeshalitolea maelezo na ufafanuzi wa kina katika threads nyingine,

hata hivyo,
jambo hilo halihusiani na wala halitadhoofisha kwa namna yoyote ile jitihada za chama na serikali sikivu ya ccm, chini ya Dr.samia suluhu hassan katika kupinga uonevu wa aina yoyote ile na kuwaletea waTanzania maendeleo na amani ya kudumu
 
Mkiona Watu wako kimya msifikiri Mama yenu anakubalika Vijana wakiongea mnawateka.
 
Mnalazimisha sana mambo mpaka mnaonekana vituko, hivi vilemba vya ukoka vitawaponza CCM 2025
 
Mkiona Watu wako kimya msifikiri Mama yenu anakubalika Vijana wakiongea mnawateka.
ni vizuri kuepuka kumporomoshea mitusi mizoto mizoto au kumtukana mtu asieweza kudhibiti mihemko yake dhidi ya matusi yako kwake. ni vizuri zaidi kuheshimu na kujizuia kumendea ndoa na wachumba wa wenyewe, itakusaodoa sana,
huu ni ushauri wangu kwa vijana wanaojitafuta,

Dr.Samia Suluhu Hassan na serikali yake sikivu, ametengeneza mazingira mazuri sana kwa kila mtu kufanya kilicho halali kwa amani, mathalani ukitaka biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k unafanya kwa amani kabisa....

hii ya kutukana watu na kutamani vya watu haitakusaidia sana, tafuta kwa bidii yako kwa Neema na Baraka za Mungu utapata
 
wananchi wanahoji huko vijijini,
upinzani wanaenda kufanya nini kuwasumbua tu akati Dr Samia Suluhu Hassan anawafanyia mambo mazuri kijamii kisiasa na kiuchumi? πŸ’
Hao wananchi ni wap na hivyo vijiji ni vipi?
Maana vinavyoongelewa mtaani ni tofauti na ulichokiandika wewe. Maybe unalipwa kwa unavyoviandika that is for you lakini usilazimishe huu uongo ambao wewe mwenywe na Mungu wako mnajua sio kweli tuuamini
Bro tunajua what real people has been said about your presda behind uchawa
 
Huu mwandiko wa mwashamba
 
Nadhani wewe ni miongoni mwa wapotoshaji wakubwa ambao mmtengenezea shimo Dkt Samia kwa kumshauri vibaya halafu mnasubiri 2025 mumuambie eti ushahidi upepo upo vibaya akigombea CCM itashindwa.
 
Utakuwa umepata zile bodaboda zenye picha yake siyo bure
 
Una akili mgando mkuu, na pengine kichani ni sawa na empty bucket, utashangaa sana kama sio 2025 basi 30 wapinzani wanachukua nchi, ilitabiriwa jiwe atatawala kipinfi kimoja atakufa miaka mingi sana, na atakuja rais mwanamke, ndipo upinzani watavhukua nchi, hivi vitu vinaendelea kutokea kwa mpangilio sawa na aliotsja mtabiri. Afu wewe unakuja na ramli chonganishi
 
Muwe mna Mshauri vizuri, wadanganyika ndio wapiga kura siyo wa huko nje anako enda kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…