Upinzani ndani ya Kanisa Katoliki - Maaskofu wapinga kauli ya Papa, Poland, Kenya na Malawi wapinga

Kama wanapingana na Vatican je kuna haja ya Africa kuwa na dini zetu zitakazoheshinu utamaduni wetu?
Binafsi natamani tungekuwa kama wenzetu wa KKKT. Hawa ndugu zetu wako huru sana na Kanisa lao.

Kwa upande wa Katoliki, tuna uwezo wa kujitegemea kwa 100%. Maana kwa sasa Kanisa Katoliki Afrika/Tanzania halitegemei msaada wowote ule wa maana kutoka Vatican.

I wish tungejitenga tu. Halafu baada ya kukitenga, yangefanyika maboresho ya kueleweka ndani ya Kanisa. Yakiwemo yale ya kuwaruhusu Maaskofu/Mapadre wetu kuoa, huku watawa wa kike wakiolewa na wale wa kiume nao wakioa.
 
Ila Hili Jambo Jambo Naona Linachukua Sura Mpya Sasa Yaani Pole Pole
 
Binafsi natamani tungekuwa kama wenzetu wa KKT. Hawa ndugu zetu wako huru sana na Kanisa lao.

Kwa upande wa Katoliki, tuna uwezo wa kujitegemea kwa 100%. Maana kwa sasa Kanisa Katoliki Afrika/Tanzania halitegemei msaada wowote ule wa maana kutoka Vatican.

I wish tungejitenga tu. Halafu baada ya kukitenga, yangefanyika maboresho ya kueleweka ndani ya Kanisa. Yakiwemo yale ya kuwaruhusu Maaskofu/Mapadre wetu kuoa, huku watawa wa kike wakiolewa na wale wa kiume nao wakioa.
Ee Tate, EeZumbe

Suala Usemacho Ni Zuri Ingawa Ugumu Upo Ila Ikitokea Hivyo Ni Wazi Yapo Mambo Yatakuwa Na Mipaka Maana Kwanza Hatitalazimishwa Kwa Lolote Ambalo Hatulipendi
 
Kwamba njia nzuri ya kukomesha mauaji ya albino au ufedhuli wa panyaroad ni kutoongelea mambo hayo? Kukomesha ukeketaji ni kutoongelea madhara ya ukeketaji? 🤣😂 Hiyo solution alipendekeza Profesa Ndumilakuwili nini? 😆😂

Acha tuwaamshe Wakatoliki waliolala. Yaani wanapelekwa kuangushwa shimoni nasi tusiwape tahadhari?
Haa
 
Tubakie nayo kuliko kukubali ushoga?
 
Yes haya mambo ya kupangiwa Siyo
Ee Tate, EeZumbe

Suala Usemacho Ni Zuri Ingawa Ugumu Upo Ila Ikitokea Hivyo Ni Wazi Yapo Mambo Yatakuwa Na Mipaka Maana Kwanza Hatitalazimishwa Kwa Lolote Ambalo Hatulipendi
 
Kwamba njia nzuri ya kukomesha mauaji ya albino au ufedhuli wa panyaroad ni kutoongelea mambo hayo? Kukomesha ukeketaji ni kutoongelea madhara ya ukeketaji? 🤣😂 Hiyo solution alipendekeza Profesa Ndumilakuwili nini? 😆😂

Acha tuwaamshe Wakatoliki waliolala. Yaani wanapelekwa kuangushwa shimoni nasi tusiwape tahadhari?
Lazima wasemwe, eti "kanisa takatifu katoliki la mitume " Leo hii linasema tubariki wapenzi wa jinsia moja ni UPUMBAVU wa kiwango cha lami
 
Naona upo nje ya mada mkuu. Ulawiti na ubakaji wa Mapadri ni changamoto za mtu binafsi sawa na Shehe au Ostadhi kubaka na kulawiti watoto Madrassa. Hakuhusini na uislam ila ni kwa mtu binafsi na hivyo ulawiti wa Mapadri hauhusiani na Kanisa wala sio justification ya kuruhusu ushoga Kanisani.

Hilo la Ushoga, litaenda leta mpasuko huko Roman na kuinua wana matengenezo wengine kama akina Luther. Kwa Umri wangu wa kuishi duniani na wa kutumika kwangu kanisani na wa kumjua kwangu Mungu, hakuna kitu kisicho na sababu chini ya jua hilo limeachwa hadharani ili lilete matengenezo mapya ndani ya Catholic. Sisi Waprotestant yetu macho mkuu.
Chanzo chake ni kujifanya hawataki kuoa ilhali ni marijali!! Watafanya mambo mawili aidha kupiga punyeto au ndio hao wanafanya kisirisiri
 
Kwasababu anaenda kinyume
Mnasema ikisema Roma, Hakuna mtu mwingine kupinga haya kashasema mwenye kanisa lake huo ndio msimamo rasmi wa kanisa waliobaki mnabwabwaja
 
Binafsi natamani tungekuwa kama wenzetu wa KKT. Hawa ndugu zetu wako huru sana na Kanisa lao.

Kwa upande wa Katoliki, tuna uwezo wa kujitegemea kwa 100%. Maana kwa sasa Kanisa Katoliki Afrika/Tanzania halitegemei msaada wowote ule wa maana kutoka Vatican.

I wish tungejitenga tu. Halafu baada ya kukitenga, yangefanyika maboresho ya kueleweka ndani ya Kanisa. Yakiwemo yale ya kuwaruhusu Maaskofu/Mapadre wetu kuoa, huku watawa wa kike wakiolewa na wale wa kiume nao wakioa.
😀😀Kanisa Katoliki la Tanzania
 
Kwanini watanzania mambo mazito hivi mnapenda matamko yatolewe haraka
Uzito uko wapi hapo
Jambo hili pia lakuona zito kwenye kulitolea tamko
Ndio maana kondoo wanakua na maswali mengi
Nimekaa pembeni nangojea kanisa jipya kuanzishwa
Niwakumbushe tu waislam kauli mbiu yetu ile ile laaa ilaha illa llah muhammadan rrasuulu llah
 
PAPA (POPE) ni mtu muhimu katika kuhakikisha utawala wa shetani unaimarika duniani. Yuko kwenye mfumo wa utawala wa shetani duniani. wengi hawana habari, wanapuyanga tu!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Baada ya SATAN pale juu, tuliona zinafatia 13 EVIL SATANIC BLOODLINE FAMILIES. Shetani anazitumia kurule the World, sio binadam wa kawaida japo tunawaona ni watu. Ni malaika wa shetani na uzao wao waliozaa na binadam, wengine wakatokea kuwa reptile species na tunaishi nao humu humu.

Baada ya hizi familia Kuna NGAZI ya MAPAPA inafatia ambao wako WATATU
1. GRAY POPE
2. BLACK POPE
3. WHITE POPE
Karibu tuone wasifu wao angalau Kwa ufupi[emoji116]
 
Hao mapope wawapi? Namjua Francis pekee
 
TEC hawawezi kamwe kuunga mkono jambo la aina hiyo. Maana haliendani na mila, desturi na tamaduni zetu. Na hata Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwaichi, alitoa tamko kwa upande wake ya kwba jambo kama hilo haliwezi kutokea.

Hivyo tusubiri kwenye salamu za Chritsmas hiyo kesho tarehe 24/12/2023. Naami tamko rasmi kuhusu msimamo wa Kanisa Katoliki Tanzania, litatolewa.
Ila kuna watu walidai tuna akili ndogo kuamini waraka wa papa umeruhusu kubahashiana...waje waseme poland,kenya na malawi wanapinga mini,maana wakatoliki wa tz wanajifanyaga wanna akili kuliko wengine
 
Wanajitoa fahamu, hawaelewi hata wanachokisema
 
Back
Top Bottom