Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Binafsi natamani tungekuwa kama wenzetu wa KKKT. Hawa ndugu zetu wako huru sana na Kanisa lao.Kama wanapingana na Vatican je kuna haja ya Africa kuwa na dini zetu zitakazoheshinu utamaduni wetu?
Kwa upande wa Katoliki, tuna uwezo wa kujitegemea kwa 100%. Maana kwa sasa Kanisa Katoliki Afrika/Tanzania halitegemei msaada wowote ule wa maana kutoka Vatican.
I wish tungejitenga tu. Halafu baada ya kukitenga, yangefanyika maboresho ya kueleweka ndani ya Kanisa. Yakiwemo yale ya kuwaruhusu Maaskofu/Mapadre wetu kuoa, huku watawa wa kike wakiolewa na wale wa kiume nao wakioa.