Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

Leo umeamka na matatizo yako, ngoja nikuache usije ukaniharibia siku yangu

Nasikia wewe Ni CHADEMA Na hata akili yako inaanza CHadema kabla ya kiruhusu utashi uandike. Hii ya kipengele cha Katiba kuyeyuka medulla Oblangata yako inasemaje. Tafadhali usitaje chama kingine kama CHADEMA yako ya kichwani itaruhusu kujibu. Mi Sina chama ila napenda wapiga kazi sio porojo.
 
Chuki zako tu dhidi ya Mbowe na wachagga
 

Mayalla. Nimesoma tafakari yako yenye maswali magumu, ukipata majibu nje ya matusi na Yale ya Fallacy za kutaja mambo ya CCM nitag. Lakini Kwanini katika hoja zako unakuwa mwoga lazima utaje kitu kinachohusu CCM au Serikali ili upunguze makali ya hoja. Ukitaka Vijana wa humu wakue waruhusu kujenga hoja kimantiki na kubaki kwenye Thema. Unadili na watu wengi ambao hawaelewi nchi Ni More than itikadi za kisiasa. Watu hawajadili hoja, wanatanguliza maslahi ya akili zao zilizojaa uvyama. Ni dalili mbaya sana na kwa hali kama Hii tungepata Rais mlegevu Amani ingetoweka kabisa huko.
 
Succession plan za asilia 99 ya vyama vya upinzani wanazo CCM. Tatizo CHADEMA inataka kuivuruga hiyo succession plan ya chama iliyotengenezwa na CCM kwa maslahi ya CCM.
 
Mkuu Kwa hoja zako hizi hakika Pascal ameelewa kuwa huu si wakati wa majaribio ya kuchagua kiongozi mkuu wa chama Kwa matakwa ya CCM. Aangalie demokrasia kubwa inavyofanyika katika uchaguzi WA viongozi wa lands na ajue kuwa hakika cdm ni chama cha kuigwa kinachotakiwa ni #tumehuruyauchaguzi ndio atajua kuwa Nani ni Nani hakika CCM itakuwa chama upinzani Hilo look wazi hata mayalla anajua,jiwe anajua,bashiru anajua,hpolepole anajua period
 
Chuki zako tu dhidi ya Mbowe na wachagga
Nitawashawishi Wabunge wote wa Chadema na watu wa makabila yote isipokua ukoo wake tu Mbowe ambaye anajiita mmachame japo ni bandia, waachane kabisa na Chadema ya Ukoo wa Mbowe kwa maslahi ya Mbowe . Wasihatarishe Ubunge wao kwa manufaa ya Mbowe aliyesema hadharani kuwa wote ndani ya Chadema ni wasaliti.

Abaki peke yake kama ataweza kukijenga Chama.
Mwakani kama atapata hata mbunge mmoja Kaskazini nitajua kuwa yeye ndiye anayeijenga Chadema

Alfonce Mawazo alipigania Chama kwa nguvu zote mpaka akauawa lakini hathaminiki anaitwa Msaliti.

Tutaona huo ujenzi wa Chama utatoka kwenye mfuko wa Mbowe..
 
Yani hii chadema imepoteza mwelekeo kama ccm,kwa maneno ya kolimba ccm hii si ya mwalimu.
 
Uandishi wa the so called waandishi wa Tanzania!
 
Succession planning is a process for identifying and developing new leaders who can replace old leaders when they leave, retire or die. Succession planning increases the availability of experienced and capable employees that are prepared to assume these roles as they become available. Taken narrowly, "replacement planning" for key roles is the heart of succession planning.

Maelezo yako yanafit hapo?
 
Yeah. Nilisoma kitabu cha Peter's Principle.. Katika kitabu hiki mwandishi anabainisha kuwa kiongozi ukomo wa uwezo wa kiongozi. Mtu yeyote hata awe mahiri kiasi gani atafikia ukomo wa ufanisi mda fulani yaani peak level of competence within the same position he/she holds. Hapo mtu tunasema amekuwa incompetent
However circumstances may determine such condition.
Mfano Mazingira ya siasa kwa sasa yanamwondoa kiongozi competent na kumfanya aonekane incompetent.
Mbowe alikuwa anaenda vizuri na ni very competent na ccm wanajua hilo. Katika mazingira ya sasa kila siku mashtaka, ununuzi wa wapinzani, usaliti nk.hata aseme anageuka more militant haitasaidia maana mitutu mingi zaidi itaelekezwa kwake.
Kuhusu kutengeneza warthi hilo lipo. Mfano ni hili la kumpa nafasi Lissu la kuwa makamu mwenyekiti.

Bado Mbowe ni competent na kwa mazingira haya miaka mitano mingine itatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…