wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Ni mtazamo wako mkuu wala hakuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyama havina succession plan kwa sababu wanajifunza kutoka ccm, vyama havina demokrasia kwa sababu ccm haina demokrasia ndani yake.
Haya ni matatizo yaliyetwa na ccm.
kajishebedua wee kasahau hapa,
Membe ataruhusiwa kuchukua fomu 2020?
hau nafasi ya mwenyekiti wa fisiem ni ya kisultani?
Leo umeamka na matatizo yako, ngoja nikuache usije ukaniharibia siku yangu
Chuki zako tu dhidi ya Mbowe na wachaggaWatanzania ndio wanaotaka mabadiliko sio Mbowe anayejenga mabadiliko.
Watanzania wanataka Demokrasia ijengwe kuanzia Chini mpaka juu.
Mbowe ameinajisi Demokrasia.
Ni bora JPM aendelee kuzuia ujinga huu wa kuandaa vyama vya kiukoo vinavyopaka matope kabila zima la wachaga kwa maslahi ya kakundi ka watu wakiongozwa na Mbowe.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
NB. Hili ni bandiko la maswali, kama una majibu ya maswali haya karibu, ukiwa huna, nakushauri jipitie tuu kimya kimya, sio lazima kuchangia kila thread.
- Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
- Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani, mfano tunaelekea uchaguzi wa 2020, Chadema ina wabunge wa majimbo ambao wengine wame deliver na wengine hawaja deliver, hivyo uchaguzi wa 2020, wengi wanakwenda kupigwa chini na CCM!. Kwanini hakuna succession plan ya ndani kuwapima kukubalika na kuwapiga chini kabla kwa kusimamisha more able candidates wanaokubalika zaidi?.
- Vingi ya Vyama vya Upinzani, Vina Uongozi wa Kisultani, na sio Chadema pekee, Mzee Cheyo wa UDP, Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, etc. Kwanini hakuna grooming mechanism to groom their future leaders?.
- Hivyo jee hata uongozi wa Mhe. Freeman Mbowe ndani ya Chadema, ni kama Usultani fulani?.
- Jee Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hiyo 18 Dec, ni uchaguzi kweli au ni uchaguzi kiini macho tuu?, kama utakavyokuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, tayari mshindi anajulikana!. Hivyo ni uchaguzi wa kukamilisha tuu taratibu kuonekane demokrasia amechukua mkondo wake? au ni uchaguzi kweli?.
- Kuna msemo, " no one is indispensable", no matter how good one is, huwa anafikia kiwango cha mwisho wa uwezo wake, ndio maana katiba unaweka ukomo wa uongozi, hata katiba ya Chadema ya 1992 ilikuwa na kipengele hicho, kwenye katiba ya 2006, kipengele hicho cha ukomo, kiliyeyuka, just vanish into thin air, bila kujadiliwa popote!. Jee kipengele hiki kiliyeyukaje?
- Waliokiweka kipengele hicho kwenye katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao, kwa vile ile katiba ya 2006 kipengele hicho hakikuondolewa, bali kilijiondokea tuu chenyewe, kuondoka huku kwa kipengele hicho kuna maana gani kwa Chadema?.
- Je ni kwa kutokuwepo kwa kipengele hicho, cha ukomo ndiko kunatoa fursa ya usultani kwenye uongozi wa vyama vya siasa yenye Usultani, Jee Chadema nacho ni chama cha kisultani?, kuna Usultani?.
- Mkimfanyia Mhe. Mbowe a quick assessment tangu alipoitoa Chadema alipoingia kwenye uongozi mpaka hapa alipoifikisha Chadema, jee hakuna kweli wana Chadema wenye kuona mbali ambao wanao ona trends za Mhe. Mbowe kuwa japo amekifanyia mengi, makubwa na mazuri Chadema, lakini pia amefikia kiwango chake cha mwisho wa uwezo wake kwa Chadema kuhitaji kupata fresh blood?.
- Swali la mwisho na la msingi sana ni, jee kuendelea kwa Mhe. Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema, kwenye era hii ya changing political dynamism ya siasa za Tanzania chini ya JPM na CCM imara, Mwendelezo huu wa Uenyekiti wa Mhe. Mbowe, Jee Utakinua Zaidi Chadema kuliko hapo kilipofika, Au Utakiangamiza na sasa Chadema kinaelekea Kwishney?.
Natanguliza shukrani.
Nawatakia Chadema maandalizi mema uchaguzi na wengine wote Jumapili Njema.
Paskali
Rejea
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa...www.jamiiforums.com
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Mkuu Kwa hoja zako hizi hakika Pascal ameelewa kuwa huu si wakati wa majaribio ya kuchagua kiongozi mkuu wa chama Kwa matakwa ya CCM. Aangalie demokrasia kubwa inavyofanyika katika uchaguzi WA viongozi wa lands na ajue kuwa hakika cdm ni chama cha kuigwa kinachotakiwa ni #tumehuruyauchaguzi ndio atajua kuwa Nani ni Nani hakika CCM itakuwa chama upinzani Hilo look wazi hata mayalla anajua,jiwe anajua,bashiru anajua,hpolepole anajua periodTanzania bila Mikakati kisiasa vyama vyote vinauwawa ndani ya mwaka mmoja.
1. NCCR mageuzi iliuwawa kwa uzembe kidogo tu kupitia vibaraka wa CCM
2. CUF imeuwawa kupitia mbinu zilezile zilizoiangamiza NCCR mageuzi.....ccm
CCM Inajinadi hadharani kuuwa upinzani tena bila kificho kupitia njia zote haram
A) magoli ya mkono kupitia tume ya uchaguzi nk sio siri ipo wazi kabisa
B) Nguvu za dola, mahakama na bunge, msajili. hakuna siri tunaona
Mahakama
Viongozi wote muhimu vyama vya upinzani wanabambikiwa kesi au kufungwa au kusumbuliwa hovyohovyo kila siku kuripoti mahamani, mahakimu wameacha kutenda haki....... kiongozi awe teyari kubeba msalaba huu.
Dola
Mawaziri, wakuu wa mikowa, wilaya, idara na taasisi mbalimbali, Wanatoa adhabu na mapingamizi kwa wanasiasa mashuhuri wa upinzani kila siku.
- kukamatwa na polisi bila sababu za msingi
- kuwekwa mahabusu bila sababu za msingi
- kupigwa na kunyanyasana bila sababu za msingi -kutekwa ama kupotezwa..... kiongozi aweteyari kwa haya.
Bungeni
Bunge kimekuwa kikao cha ccm, wapinzani wasiongee, wasitoe hoja, nikuzomewa, kulazimishwa kufuta au kutolewa nje, kufungiwa kutokuhudhuria vikao bila sababu za msingi nk... .kiongozi aweteyari kupoteza haki zake ilikubakia mtiifu kwa wanachama na wapenzi wake.
Msajili
Yeye nikiranja wa CHADEMA na ACT hajishughulishi na ccm, wala matawi ya ccm
UDP
TLP
Kwa msajili makosa hufanywa na wafuatao na viongozi wake wanawindwa kuadabishwa popote muda wowote....
- CUF asili
- CHADEMA
- ACT
Katiba ya jamhuri haiwahusu CCM kabisa, ndio maana majuzi katibu mkuu ccm katishia hadharani kumfukuza kazi msajili ..... Msajili amenyamaza kimyaaa maana aliyesema sio zito, maalim wala mbowe.... wangeona cha mtema kuni.
Serikali,
Tunashudia maajabu sana viongozi wa kisiasa kutoka upinzani wakirejea kwa kasi ccm wengine wakipewa madaraka mfano kafulila, waitara, katamba nk
Hitimisho.
Vyama vya upinzani havihitaji kuonja sumu kwa kujipendekeza ilikuwafurahisha ccm ilikuweka viongozi wa kitaifa wasioeleweka vema.
Nimara 1000 bora kubakia na viongozi walewale wanaoleweka, wanajithamini nakuthamini mahitajio ya mioyo ya watanzania ilikuhakikisha vyama havipasuliwi na ccm kupitia
Dola
Bunge
Mahakama
Msajili
Upinzani unahita viongozi
1. shupavu
2. Wavumilivu
3. Wazalendo wa kweli
4. Wasio na tamaa kudukuliwa
5. Waliojitoa ....kufa, kupotezwa au mateso
6. Wanaona na kuthamini kiu na matarajio ya watanzania nyuma yao.
Vigezo vya kufakamia bora viongozi badala ya viongozi bora huu sio muda wake maana aliyepo juu lengo moja tu kuuwa upinzani.
Sumu haionjwi
No need of a Succession Plan with this situations of defection from opposition parties to CCM. there is a need of keeping the die hard only who can not be easily be bought ''cheap politicians do not have a stand'
Nitawashawishi Wabunge wote wa Chadema na watu wa makabila yote isipokua ukoo wake tu Mbowe ambaye anajiita mmachame japo ni bandia, waachane kabisa na Chadema ya Ukoo wa Mbowe kwa maslahi ya Mbowe . Wasihatarishe Ubunge wao kwa manufaa ya Mbowe aliyesema hadharani kuwa wote ndani ya Chadema ni wasaliti.Chuki zako tu dhidi ya Mbowe na wachagga
Yani hii chadema imepoteza mwelekeo kama ccm,kwa maneno ya kolimba ccm hii si ya mwalimu.Huwa wanasema damu ni nzito kuliko maji, Mzee Mtei hawezi kupindua kwa kaka wa Hai hata kidogo.
Akitaka kuongea anakumbuka kwamba aliyesimama mbele yake ni mume wa binti yake aliyemletea wajukuu duniani.
Matokeo yake ile CHADEMA ambayo Marehemu Julius Nyerere alizikubali sera zake, sio hii ya sasa kwani kimaadili imeshapoteza muelekeo.
Hizi zinaitwa akili mgandoVyama havina succession plan kwa sababu wanajifunza kutoka ccm, vyama havina demokrasia kwa sababu ccm haina demokrasia ndani yake.
Haya ni matatizo yaliyetwa na ccm.
Tatizo wengi wao ni wahuni tu na hawana shughuli za kufanya zaidi ya kushinda hapa JF na kuwa speaker za mwenyekiti wao,tunawajua.Kuwambia chadema ukweli lazima utukanwe sijui kama walisha ambiwa matusi ndio hoja au ndio suruhisho la tatizo lao
Uandishi wa the so called waandishi wa Tanzania!Wanabodi,
Hili ni bandiko la maswali yenye facts
NB. Hili ni bandiko la maswali, kama una majibu ya maswali haya karibu, ukiwa huna, nakushauri jipitie tuu kimya kimya, sio lazima kuchangia kila thread.
- Jee kuna ubishi kuwa Upinzani Tanzania Unamatatizo?. Ni matatizo gani na usaidiweje?.
- Vyama vingi vya Upinzani Havina Succession Plan, kwanini vyama hivyo havina succession plan na sio tuu kwenye uongozi wa ndani, hata kwenye ubunge na udiwani, mfano tunaelekea uchaguzi wa 2020, Chadema ina wabunge wa majimbo ambao wengine wame deliver na wengine hawaja deliver, hivyo uchaguzi wa 2020, wengi wanakwenda kupigwa chini na CCM!. Kwanini hakuna succession plan ya ndani kuwapima kukubalika na kuwapiga chini kabla kwa kusimamisha more able candidates wanaokubalika zaidi?.
- Vingi ya Vyama vya Upinzani, Vina Uongozi wa Kisultani, na sio Chadema pekee, Mzee Cheyo wa UDP, Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, etc. Kwanini hakuna grooming mechanism to groom their future leaders?.
- Hivyo jee hata uongozi wa Mhe. Freeman Mbowe ndani ya Chadema, ni kama Usultani fulani?.
- Jee Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema hiyo 18 Dec, ni uchaguzi kweli au ni uchaguzi kiini macho tuu?, kama utakavyokuwa Uchaguzi Mkuu wa 2020, tayari mshindi anajulikana!. Hivyo ni uchaguzi wa kukamilisha tuu taratibu kuonekane demokrasia amechukua mkondo wake? au ni uchaguzi kweli?.
- Kuna msemo, " no one is indispensable", no matter how good one is, huwa anafikia kiwango cha mwisho wa uwezo wake, ndio maana katiba unaweka ukomo wa uongozi, hata katiba ya Chadema ya 1992 ilikuwa na kipengele hicho, kwenye katiba ya 2006, kipengele hicho cha ukomo, kiliyeyuka, just vanish into thin air, bila kujadiliwa popote!. Jee kipengele hiki kiliyeyukaje?
- Waliokiweka kipengele hicho kwenye katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao, kwa vile ile katiba ya 2006 kipengele hicho hakikuondolewa, bali kilijiondokea tuu chenyewe, kuondoka huku kwa kipengele hicho kuna maana gani kwa Chadema?.
- Je ni kwa kutokuwepo kwa kipengele hicho, cha ukomo ndiko kunatoa fursa ya usultani kwenye uongozi wa vyama vya siasa yenye Usultani, Jee Chadema nacho ni chama cha kisultani?, kuna Usultani?.
- Mkimfanyia Mhe. Mbowe a quick assessment tangu alipoitoa Chadema alipoingia kwenye uongozi mpaka hapa alipoifikisha Chadema, jee hakuna kweli wana Chadema wenye kuona mbali ambao wanao ona trends za Mhe. Mbowe kuwa japo amekifanyia mengi, makubwa na mazuri Chadema, lakini pia amefikia kiwango chake cha mwisho wa uwezo wake kwa Chadema kuhitaji kupata fresh blood?.
- Swali la mwisho na la msingi sana ni, jee kuendelea kwa Mhe. Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema, kwenye era hii ya changing political dynamism ya siasa za Tanzania chini ya JPM na CCM imara, Mwendelezo huu wa Uenyekiti wa Mhe. Mbowe, Jee Utakinua Zaidi Chadema kuliko hapo kilipofika, Au Utakiangamiza na sasa Chadema kinaelekea Kwishney?.
Natanguliza shukrani.
Nawatakia Chadema maandalizi mema uchaguzi na wengine wote Jumapili Njema.
Paskali
Rejea
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
Wanabodi, Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa kuwajibishwa, kuadhibiwa hata kufutwa, kutegemeana na tuhuma halisi!. Miongoni mwa masharti ya usajili wa...www.jamiiforums.com
Elections 2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
Wanabodi, Preamble: Chadema ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo jina tuu, ila uendeshaji wake ni wa kidikteta wa hali ya juu!. Katiba yake inavipengele vya kidikteta vinavyokwenda kinyume cha katiba ya nchi!, hii thread ni ya swali tuu, Hivi Chadema ilivyo, bado haijakabidhiwa nchi, inatoa...www.jamiiforums.com
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la tathmini kuhusu upinzani kuweza kuchukua nchi uchaguzi wa 2020. Kwa upande wa huku Tanzania Bara, ulizungumzia upinzani ni unazungumzia Chadema, hivyo hili bandiko kuihusu Chadema, as a representative wa upinzani kwa huku Tanzania Bara, vipi kuhusu Chadema...www.jamiiforums.com
Succession plan ipo CCM. Katoka Mwinyi kamuachia Mkapa, katoka Mkapa kamuachia Kikwete katoka Kikwete kamuachia Magufuli, akitoka Magufuli atamuachia mwingine.
Mbowe ana mwaka wa 15 kakiHkalia kiti, anaelekea mwaka wa 20, hapo ndipo haipo succession plan.
Na succession plan ya CCM inashuka mpaka kwa vijana, Mwalimu Nyerere aliwalea kina Mkuchika, Chiligati na Kikwete.
Wao wanawalea kina Makonda, Hapi, Herry James na wengine watakaowaandaa wadogo zao siku zijazo.