Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Anzeni kwanza huko kwenu CCM!!Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Wewe ni CCM kindakindaki si uhamasishe wana CCM wenzenu, leo ndo mnaona upinzani wa muhimu baada ya kuona aliyeingia haangalii maslahi yenu,Pumbavu we shoga, kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote? Pumbavu kabisa. Mbwa shenzi.
Kama huna akili kwa nini usikae kimya kuliko kujiabisha?Wewe ni CCM kindakindaki si uhamasishe wana CCM wenzenu, leo ndo mnaona upinzani wa muhimu baada ya kuona aliyeingia haangalii maslahi yenu,
Kipindi upinzani unakanyagwa na haki zao kudhulumiwa mbona hamkujitokeza kwa yule mungu wenu kwamba anaonea muandamane aache hayo mambo??
Wewe ni mnafiki unayetaka kutumia mgongo wa wenzako kwa maslahi yako kwenye kundi lako la CCM
Tokea lini nikawa CCM mwenzako?Siamini kama ni wewe kamanda mwenzangu. Hii busara umeitoa wapi?
Yes Fool. Peleka masaburi yakokaandamaneFool
Kama huna akili kwa nini usikae kimya kuliko kujiabisha?Wewe ni CCM kindakindaki si uhamasishe wana CCM wenzenu, leo ndo mnaona upinzani wa muhimu baada ya kuona aliyeingia haangalii maslahi yenu,
Kipindi upinzani unakanyagwa na haki zao kudhulumiwa mbona hamkujitokeza kwa yule mungu wenu kwamba anaonea muandamane aache hayo mambo??
Wewe ni mnafiki unayetaka kutumia mgongo wa wenzako kwa maslahi yako kwenye kundi lako la CCM
Ahaaa, mimi niwe Ccm?Tokea lini nikawa CCM mwenzako?
Kama si hurka yetu, waache hata keyboard ina nguvu la muhimu lazima tuonyeshe hasira zetu Kwa huyu Bibi fisadi. Ki ukweli Kwa kauli hii ikitokea kuandamana mi nitakuwa chambo.WaTz gani Unaowazungumzia?
Hawa hawa Ambao Wana Tabia ya Kuandamana wakiwa nyuma Ya Keyboard?
Hawa ni Sikio La Kufa, huwa halisikiagi dawa...!
Mange Kimambi alijaribu kuanzisha maandamano akashindwa...Akaja Uncle Lisu Akagonga Mwamba...! Hawa washazoea Kuandamana kwa Kutumia Keyboard Lakini mabarabarani Hawaji ng'o...!!
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Ndugu kwa nini unapenda kutukana wenzio...kama hujafurahishwa na hoja zao si uwapuuze na kuacha kusoma maoni yao....Fool
Ambaye hana akili ni wewe mnafiki,, acha unafiki,Kama huna akili kwa nini usikae kimya kuliko kujiabisha?
Wapinzani hawapo kwa ajili ya maslahi ya Watanzania bali wapo kwa maslahi yao binafsi, wanapodai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa ajili ya kuwanufaisha wao kwenye chaguzi na masuala mbali mbali ya kisiasa. Jambo hilo alilotamka SSH ni fedheha kwa taifa lkn kwa kuwa halina maslahi kwa wapinzani ndo maana huwasikii wakiongea lolote bali wapo kimya maana na wao ni wapigaji tu kama akina January na RizimokoBila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
halafu utakuta ni moja kati ya vijana wanaotegemewa na CHADEMA.Pumbavu we shoga, kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote? Pumbavu kabisa. Mbwa shenzi.
Mpaka akili zitukae sawa ndo tutajua cha kufanya.Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
we kibwengo kwanini ccm msioorganize iwe wapinzani??Pumbavu we shoga, kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote? Pumbavu kabisa. Mbwa shenzi.