Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Anzeni kwanza huko kwenu CCM!!
 
Pumbavu we shoga, kwani upinzani hauwezi kumobilise maandamano ya watanzania wote? Pumbavu kabisa. Mbwa shenzi.
Wewe ni CCM kindakindaki si uhamasishe wana CCM wenzenu, leo ndo mnaona upinzani wa muhimu baada ya kuona aliyeingia haangalii maslahi yenu,

Kipindi upinzani unakanyagwa na haki zao kudhulumiwa mbona hamkujitokeza kwa yule mungu wenu kwamba anaonea muandamane aache hayo mambo??

Wewe ni mnafiki unayetaka kutumia mgongo wa wenzako kwa maslahi yako kwenye kundi lako la CCM
 
Kama huna akili kwa nini usikae kimya kuliko kujiabisha?
 
WaTz gani Unaowazungumzia?
Hawa hawa Ambao Wana Tabia ya Kuandamana wakiwa nyuma Ya Keyboard?
Hawa ni Sikio La Kufa, huwa halisikiagi dawa...!
Mange Kimambi alijaribu kuanzisha maandamano akashindwa...Akaja Uncle Lisu Akagonga Mwamba...! Hawa washazoea Kuandamana kwa Kutumia Keyboard Lakini mabarabarani Hawaji ng'o...!!
Kama si hurka yetu, waache hata keyboard ina nguvu la muhimu lazima tuonyeshe hasira zetu Kwa huyu Bibi fisadi. Ki ukweli Kwa kauli hii ikitokea kuandamana mi nitakuwa chambo.
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.

Kwa maandamano ya kwenye keyboard za simu mko vizuri
 
Nilikuwa na imani sana na rais SSH, lakini kwa sasa matumaini yangu yote yameyeyuka. Watz tumeingia cha kike. Yahani waziwazi anahalailisha wizi wa mali ya umma. Rais SSH ni dhaifu sana na hafai kuendelea kutuongoza. Juzikati amewatema baadhi ya mawaziri
Baadae anajishitukia na kujihisi vibaya na kujibalaguza kwa kuwapa kazi sisizo na muundo wa kiserikali na kuwaingiza hata ktk mikutano ya cabinet kweli??

Yahani ni udhaifu uliopindukia na kufuja fedha za umma
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Wapinzani hawapo kwa ajili ya maslahi ya Watanzania bali wapo kwa maslahi yao binafsi, wanapodai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni kwa ajili ya kuwanufaisha wao kwenye chaguzi na masuala mbali mbali ya kisiasa. Jambo hilo alilotamka SSH ni fedheha kwa taifa lkn kwa kuwa halina maslahi kwa wapinzani ndo maana huwasikii wakiongea lolote bali wapo kimya maana na wao ni wapigaji tu kama akina January na Rizimoko
 
Tumeshawasoma wapinzani, wengi ni waoga na hawana akili. Mkithibutu kuingia barabarani mtaona cha mtema kuni.
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.

Katika mambo yatakayo mshushia HADHI huyo mama ni pamoja hiyo baraka aliyoitoa kwa mawaziri kufanya ufisadi bila kuvimbiwa. Ni aibu, ni aibu, ni aibu kubwa kwa kiongozi kama yeye kutamka tena hadharani jambo lile.
 
Picha namba mbili Vile maCCM yanajifanya kuwa hayajasikia kuwa Rais ameagiza nchi itafunwe na mafisadi👇😁😁😁
1
L9P.jpg
2
O4.jpg
 
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.

Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa na viongozi wa CCM huku wakijimegea wanavyotaka.
Mpaka akili zitukae sawa ndo tutajua cha kufanya.
 
JF imekuwa na wapumbavu wengi sana siku hizi, mmojawapo wewe mleta mada, kazi kudandia visentensi kwenye hotuba ya dakika zaidi ya 30 na kuzitafsiri kwa brain cells zenu zilizojaa makande
 
Back
Top Bottom