Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

akili zako unadhani status ya MEMBE unaweza kulinganisha na JIWE lako INTAPRENYUUUWAAA?
 
Mkuu Babu Seya mwache Kama alivyo alionewa Sana
 
UMEAHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MUSIBA ALIKUWA ANAMCHAFUA MEMBE???

JIBU KATUMWA. MEMBE BADO HAJATANGAZA NIA KUCHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS lakini mmeanza kuweweseka.

SIKU MEMBE AKITANGAZA NIA ITAKUWAJE??

ANZENI KUVAA PAMPASI KABISA MAANA SIKU AKITANGAZA LAZIMA MTAJINYEA KABISA.

MEMBE KAMWE USIRUDI NYUMA
 
Magufuli na Membe wote ni CCM,
Atakayepata atatumikia Ilani ya CCM,
Atakayeshinda asimuchukie mwenzake - kwa kuwa kila washindanapo wawili lzm mmoja aibuke mshindi

CCM Kwanza 2019
 
Ni kweli kwa kazi kubwa aliyofanya mh. Rahisi kwa mda mfupi kama vile kununua ndege kwa mafungu,ujenzi wa reli, mradi wa umeme, Barabara za juu,elimu bure,kuzima bunge live, kuzuia vurugu za mikutano ya Kinshasa n.k anahijitaji pinged kubwa hiyo kwa Janeiro ningependa rahisi amwachie member agombee urais 2020 ili yeye akagombee huko mbinguni awe rais wa malaika ameeen
 
Lakini si tunachujio letu la ndani ?
Je nani atampitisha membe
Na itawezekana vipi ccm kuwa na wagombea wawili at once
Yaani mnamaanisha magu wamteme kwenye kura za maoni? Siyo rahisi kihivyo!!
 
Aisee tulipata mkosi mkubwa mno kuwa na Rais wa ajabu na katili kiasi hiki, ameanzisha vita asiyoweza kushinda, eti anawachukia wazungu,, 2020 mataifa makubwa yataungana kuhakikisha anatoka madarakani mtu katili kabisa huyu
Unafikiri hayo mataifa makubwa wanakupenda sana wewe "black people" kuliko raia wake? unadhani watakuja tu bila return yoyote? waafrika wamalize matatizo yao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…