Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

akili zako unadhani status ya MEMBE unaweza kulinganisha na JIWE lako INTAPRENYUUUWAAA?
 
..jiwe angekuwa serious dhidi ya ufisadi asingekubali kuungana na watu kama rostam azizi,babu seya, madabida,..

..kinachowaponza maraisi wetu ni kofia ya uenyekiti wa ccm.

..hiki chama hakiwezi kujiendesha bila nguvu na rasilimali za MAFISADI.

..Utakuta Raisi anaingia na spidi ya kupambana na ufisadi lakini spidi hiyo inaishia njiani.

..Kila Raisi alikuja na moto wake ambao ulizimika miaka 2 au 3 wakiwa madarakani.

..Mzee Mwinyi [ fagio la chuma],

..Mzee Mkapa [ ripoti ya Warioba / kumshtaki Nalaila Kiula na Dr.Mlingwa]

..Mzee Kikwete [ kumshtaki Mramba na Yona].

..Magufuli [ kumkamata Rugemalira].

..Sidhani kama Magufuli atakuwa tofauti na watangulizi wake. Dalili zimeshaanza kujionyesha

Cc BAK, Nguruvi3, Pascal Mayalla
Mkuu Babu Seya mwache Kama alivyo alionewa Sana
 
Ahh HAKUNA Cha kudadavua..Akili Kubwa na ukiweza kuunganisha dots UTAELEWA.
Nikidadavua,itakuwa rahisi kujulikana na kudakwa.

Ila Membe HAWEZI kuwa Rais coz Ile Nguvu na "Backups" Hawana Na Hata Yye na kambi Yake wanajua Hilo na ndiyo maana Wana pambana wapate Backup na Mara ya mwisho ilikuwa juzi na jana ambapo walikuwa wanapanga mkakati..

Kama unakumbuka "Mshua" majuzi alikuwa sauz unadhani alienda kufata Nini?
UMEAHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MUSIBA ALIKUWA ANAMCHAFUA MEMBE???

JIBU KATUMWA. MEMBE BADO HAJATANGAZA NIA KUCHUKUA FOMU YA KUOMBA KUGOMBEA URAIS lakini mmeanza kuweweseka.

SIKU MEMBE AKITANGAZA NIA ITAKUWAJE??

ANZENI KUVAA PAMPASI KABISA MAANA SIKU AKITANGAZA LAZIMA MTAJINYEA KABISA.

MEMBE KAMWE USIRUDI NYUMA
 
Magufuli na Membe wote ni CCM,
Atakayepata atatumikia Ilani ya CCM,
Atakayeshinda asimuchukie mwenzake - kwa kuwa kila washindanapo wawili lzm mmoja aibuke mshindi

CCM Kwanza 2019
 

Ni kweli kwa kazi kubwa aliyofanya mh. Rahisi kwa mda mfupi kama vile kununua ndege kwa mafungu,ujenzi wa reli, mradi wa umeme, Barabara za juu,elimu bure,kuzima bunge live, kuzuia vurugu za mikutano ya Kinshasa n.k anahijitaji pinged kubwa hiyo kwa Janeiro ningependa rahisi amwachie member agombee urais 2020 ili yeye akagombee huko mbinguni awe rais wa malaika ameeen
 
Lakini si tunachujio letu la ndani ?
Je nani atampitisha membe
Na itawezekana vipi ccm kuwa na wagombea wawili at once
Yaani mnamaanisha magu wamteme kwenye kura za maoni? Siyo rahisi kihivyo!!
 
Aisee tulipata mkosi mkubwa mno kuwa na Rais wa ajabu na katili kiasi hiki, ameanzisha vita asiyoweza kushinda, eti anawachukia wazungu,, 2020 mataifa makubwa yataungana kuhakikisha anatoka madarakani mtu katili kabisa huyu
Unafikiri hayo mataifa makubwa wanakupenda sana wewe "black people" kuliko raia wake? unadhani watakuja tu bila return yoyote? waafrika wamalize matatizo yao wenyewe.
 
Back
Top Bottom