Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ninaangaliaga zile picha pale jangwani sina hamu mm jamaniKama tulivyoenda na lowasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaangaliaga zile picha pale jangwani sina hamu mm jamaniKama tulivyoenda na lowasa
SawaKwenye kura itakuwa tofauti trust me.
Hawa watu ni wajanja, wanajua kwa sasa huyu jamaa amekamata mpini wa kisu ambacho wanayajua makali yake.
Ila make no mistake watakapokikamata wao wakati wa kura!
Halafu akarudi nyumbaniKama tulivyoenda na lowasa
Mama ako je?Hivi huwa hamna watu wa kugombea
Upinzani Wa bongo unatia kinyaa
Duh...hapana, nampenda Membe lakini asije tufanya kama Lowasa!
Inabidi usmini tuuNinaangaliaga zile picha pale jangwani sina hamu mm jamani
YaaniHalafu akarudi nyumbani
Sawa MkuuSoma line ya mwisho ya thread
Tundu Lissu tupa huko,member tena
Yani ndugu zangu wapinzani hapa ndipo mnaniacha hoi! Kwa nini usilimie jembe lako unategemea la jirani yako. Andaeni Viongozi kama mna nia ya dhati ya kuliongoza Taifa. Mnakuwa bendera fuata upepo alivuma lowasa mkambeba, Amevuma bembe mnamtaka! Hamjifunzi kupitia makosa tu? Kwa staili hii sahauni na wala msiwe na ndoto ya kuliongoza hili Taifa.
Sio kama hatuna viongozi wa kuongoza taifa ila hatuna viongozi watakaokubaliwa na mfumo!