Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Kwenye kura itakuwa tofauti trust me.
Hawa watu ni wajanja, wanajua kwa sasa huyu jamaa amekamata mpini wa kisu ambacho wanayajua makali yake.
Ila make no mistake watakapokikamata wao wakati wa kura!
Sawa
ngoja tuone
 
Najua marafiki wake wengi wako kule kwenye uzalendoni ambako ndio wale wale walioshusha matanga wamejipeleka humo nafikiri tuu akijidanganya ajipeleke huko hapo atakuwa amejishusha hadhi sana na siasa kwake ndio mwisho natabiri hili kutokea
 
Nop! Lissu ni muhimu sana kwenye zoezi la ku 'get our house in order'. Watu kama Lissu na Mdude can give a lot of inspiration when we want to build a winning team again!

Winning is about team work more than one man thing!
Tundu Lissu tupa huko,member tena
 
Yani ndugu zangu wapinzani hapa ndipo mnaniacha hoi! Kwa nini usilimie jembe lako unategemea la jirani yako. Andaeni Viongozi kama mna nia ya dhati ya kuliongoza Taifa.

Mnakuwa bendera fuata upepo alivuma lowasa mkambeba, Amevuma bembe mnamtaka! Hamjifunzi kupitia makosa tu? Kwa staili hii sahauni na wala msiwe na ndoto ya kuliongoza hili Taifa.
 
Product yoyote ya ccm haifai wamesaliti wananchi vya kutosha. Safari hii upinzani wasimamishe mtu wao waachane na wale mercenaries.
 
Sio kama hatuna viongozi wa kuongoza taifa ila hatuna viongozi watakaokubaliwa na mfumo!
Yani ndugu zangu wapinzani hapa ndipo mnaniacha hoi! Kwa nini usilimie jembe lako unategemea la jirani yako. Andaeni Viongozi kama mna nia ya dhati ya kuliongoza Taifa. Mnakuwa bendera fuata upepo alivuma lowasa mkambeba, Amevuma bembe mnamtaka! Hamjifunzi kupitia makosa tu? Kwa staili hii sahauni na wala msiwe na ndoto ya kuliongoza hili Taifa.
 
War is more about a strategy and knee jerk reaction isn't one!
Product yoyote ya ccm haifai wamesaliti wananchi vya kutosha. Safari hii upinzani wasimamishe mtu wao waachane na wale mercenaries.
 
Back
Top Bottom