Uchaguzi 2020 Upinzani ukimweka Membe itakuwa tofauti kubwa na ilivyokuwa kwa Lowassa! Watashinda

Uchaguzi 2020 Upinzani ukimweka Membe itakuwa tofauti kubwa na ilivyokuwa kwa Lowassa! Watashinda

"Mungu (ni) fundi" akimaanisha "never say never". Mambo yanaweza kubadilika kwa namna ambavyo wengi hatukutarajia. Tumuachie Mungu tu.
Mkuu,maneno yako ni 'kuntu'
Mara nyingi mambo hubadilika wakati wa majigambo
 
Pamoja na hoja zako hapo Mwisho ulipo malizia kuwa CCM itashinda kwa mbinde? nafikiri wewe ni Mgeni kwa wapiga kura wa Tanzania. Pamoja na kwamba sifuatilii sana masuala ya siasa; kwa sasa sioni mtu kutoka upinzani anayeweza kupata kura za Uraisi zaidi ya 20% ila baada ya hii miaka tano huenda nafasi ikatokea japo hatujui huenda wengine wakaibuka!!
Kasome thread Na. 61 kakueleza vizuri sana ndugu. Huijui kesho yako! Death is around the corner!
 
Back
Top Bottom