Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko mukide kabisa. Afya nako usiseme na kila nyanja ya kiuchumi imewekwwa sawa.
Ndio maana huwezi kusikia Zitto,Mbowe Mbatia au Mdee wanapiga kelele.
Mama anaupiga mwingi