Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Are you sure?Nilipe mb zangu. Nimehangaika kusoma upuuzi tu
Wanapigia wapi kelele wakati midomo imefungwaKwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko mukide kabisa. Afya nako usiseme na kila nyanja ya kiuchumi imewekwwa sawa.
Ndio maana huwezi kusikia Zitto,Mbowe Mbatia au Mdee wanapiga kelele.
Mama anaupiga mwingiView attachment 2400374
Policccm wamewanyamazisha na kuwawezesha kupaza sauti kwa maspika wavaamajani mabichi ya pamba🏃
Chagu bado upo kwenye kusifu na kuabudu ?!. Hawajakukumbuka. Too bad !!Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko mukide kabisa. Afya nako usiseme na kila nyanja ya kiuchumi imewekwwa sawa.
Ndio maana huwezi kusikia Zitto,Mbowe Mbatia au Mdee wanapiga kelele.
Mama anaupiga mwingiView attachment 2400374
Jaduong ukweli lazima uwekwe wazi.Chagu bado upo kwenye kusifu na kuabudu ?!. Hawajakukumbuka. Too bad !!
Wapinzani waongelee majukwaa yapi ?. Ikiwa kila platform ilinyakuwa na marehemu dictator !!. Huku unayemsifia naye anaogopa mikutano ya vyama shindani !
Makubwa si madogo
sweeping statments "" anaongea sana kwasababu mfupi"" mara nyingi haya ni maneno yanayotoka vinywani mwa watu wasiopenda kushughulisha bongo zao.
Ulitaka wazungumzie kwenye platform gani na mikutano ya vyama imezuiliwa na Bunge limebaki kuwa kusanyiko la vilaza wa CCM? Hivi una akili timamu au hilo bichwa ni birika la kuhifadhia makamasi tu?Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.