Upinzani utakuwa na pande mbili zilizo rasmi, ambazo ni “Radical” pamoja na “Moderate” wings!

Unamuomba Magufuli maridhiano yapi?, Mtu asiyeamini katika Demokrasia wala asiyeheshimu katiba aliyoapa kuilinda na
Mtu aliyetangaza nia ya kuumaliza upinzani waziwazi kabla 2020?
Dawa pekee ambayo Magufuli anaweza kuielewa ni presha nje na ndani ya nchi siyo appeasement!

Yaani wagombea wako hawana hata mwezi wametendewa ukatili na unyama wa kuenguliwa kibabe halafu wewe ukaombe maridhiano kwa dhalimu, maridhiano gani?

Katika current state, CHADEMA hawana kete zozote za kuleta kwenye meza ya mazungumzo zaidi ya kubeg for mercy

Kamati kuu ya CHADEMA iko short sighted
 
Na mimi nimeona hivyo hivyo.

CHADEMA wamepigwa mpaka wameomba poo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto is a diabolical opportunist.

I would rather discuss ideas than people.

Zitto alitaka maridhiano kwanza, sasa anayakataa.

Nakubaliana na position yake ya sasa.

Huwezi kufanya makubaliano na mtu aliyekuwekea bastola kichwani.

Ili mfanye makubaliano ya maana, kwanza aweke bastola pembeni, mkae wote sawa, muongee kama watu sawa.

Sasa Mbowe anataka kufanya makubaliano na mtu aliyemuwekea bastola kichwani, hayo ni makubaliano au ni woga tu?
Lissu amerudi, a game changer indeed! I don’t wanna discuss people either.

But you were right. Lakini nilisema siku Lissu akitua tuu nchini, siasa zinabadilika papo hapo.
 
Unamuomba Magufuli maridhiano yapi?, Mtu asiyeamini katika Demokrasia wala asiyeheshimu katiba aliyoapa kuilinda na
Mtu aliyetangaza nia ya kuumaliza upinzani waziwazi kabla 2020?
Dawa pekee ambayo Magufuli anaweza kuielewa ni presha nje na ndani ya nchi siyo appeasement!

Yaani wagombea wako hawana hata mwezi wametendewa ukatili na unyama wa kuenguliwa kibabe halafu wewe ukaombe maridhiano kwa dhalimu, maridhiano gani?

Katika current state, CHADEMA hawana kete zozote za kuleta kwenye meza ya mazungumzo zaidi ya kubeg for mercy

Kamati kuu ya CHADEMA iko short sighted
Ndiyo maana nilisema kutakuwepo na kambi mbili mkuu. Kwani si kweli?
 
Lets wait and see.
By the way. I do not like the state of affairs in the country. Just so I am clear.

Sometimes stating a fact can be misconstrued as schadenfreude or glee in the face of CCMs brutality.

On Lissu, any politics that revolves largely around a person is prone to failure.

If by "game changer" you mean "catalyst", I do agree. By far.

If by "game changer" you mean regime change. That is still a Selassian illusion, to be pursued, but never attain. Not this year.

MLK Jr. famously said "the arc of the moral universe is long, but it bends towards justice".

Many people overlook a key word in that quote.

The word is "long".

Giru of Gangstarr said "It's a long way to go, if you don't know where you're going".

Sadly, a lot of Tanzanians do not know where they are going.

I don't think we have critical mass.

This rocket hasn't reached escaoe velocity. I see failure to launch already.

Nevertheless, that does not mean some progress can't be made.

Every failure is an opportunity to learn.

The question is, is the opposition making the same mistakes over and over again?

Einstein said, I am paraphrasing, doing the same thing and expecting different results is the definition of insanity.

Take one example. Say the opposition wins the election and Magufuli manipulates a an epic charade to steal votes. And he is announced president in a hurried declaration that cannot be challenged in court.

What will the opposition do?
 
Ulisema CHADEMA wamepigwa hadi wameomba pooo! Ndiyo nikasema “lets wait and see”

Same on game changing.
 
Take one example. Say the opposition wins the election and Magufuli manipulates a an epic charade to steal votes. And he is announced president in a hurried declaration that cannot be challenged in court.

What will the opposition do?
Lissu has pointed out that in that event he will take his people to the streets. How many he will manage to get is anybody's guess.
 
Wasn't that the rhetoric every past election year?

What has actually changed this year?

If the opposition was quelled into submission, to the extent that it could not even hold its constitutionally guaranteed rallies per right of assembly clauses, for almost five years, how is it going to act any different now?
 
Chadema wanatakiwa kuwa makini sana... kuungana na act kunaweza kuwa na effect kubwa...

Inawezekana lengo la maalim ni kushika dola(upande wa zanzibar) then baadae ajitoe ktk muungano zanzibar iwe huru(hili ni tamanio la wazanzibar wengi)... hii ni ngumu sana kwa tiss kuruhusu...

Kwa hiyo km wataungana... manake chadema piga ua hawatapita bara hata kama kwe box wana kura nyingi.
 
Back
Top Bottom