Upinzani utakuwa na pande mbili zilizo rasmi, ambazo ni “Radical” pamoja na “Moderate” wings!

Wewe kwa maoni yako ulitaka chadema wamfanyeje rais baada kuvuruga “uchaguzi wa mitaa”?
...wasishilikiane nae kwa chochote kile ili dhamira zao zakutaka kuona upinzani unafutika wazani zimefanikiwa..kisha upinzani uitishe mikutano kila kata wamshitaki kwenye mahakama ya umma. Wananchi ambao ni umma utatoa hukumu...hii mbinu iliwai kufanyika 2011 kudai katiba mpya ikamlazimu kikwete kukubali kwa shingo upande ata sasa inawezekana...usihofu wingi wa polisi hapo tutawakumbusha misingi ya kazi zao kulinda raia na mali zao sio kugombana na raia.. ikumbukwe rais na serikali ni waajiriwa wetu tunao wajibu wa kuwakumbusha majukumu yao tuliowapa...sikubaliani na mbowe kwenda kuomba maridhiano ili afanye mikutano ya kisiasa iyo ni haki ya vyama vyote inayolindwa na katiba yetu sio hisani ya mtu yoyote...kususa na kutoa matamko kisha kuomba poo iyo ni mbinu ya kuishiwa pumzi
 
Waliomuua Akwilina wanajulikana na mkuu wao alishakiri hadharani. Hata hivyo, mauaji yenye muonekano kama hayo si mara yake ya kwanza kutokea Tanzania. Kumbuka yaliyotokea Nyororo Mufindi mbele ya aliyekuwa RPC wa Iringa, ya kuuawa kinyama David Mwangosi.
Hata hivyo, tukio lile na mengine yenye sura kama hiyo, yaliyotokea wakati ule hayakuwa sababu Kunyoosha mikono juu mithili ya kibaka aliyebananishwa na FFU. Bali, tulishuhudia kuongezeka kwa ari zaidi na nguvu miongoni mwa wanachadema wakiongozwa na Kamanda Dr. Slaa na ndg. Mbowe(sio huyu wa sasa). Na hiki ndichokipindi CHADEMA ilijipatia umaarufu na uungwaji mkono miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii. Matokeo yake tuliyaona kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, (japo japo wapo Mapopoma walioaminishwa na kukubali kuwa matokeo ya uchaguzi wa 2015 kwa chadema ni matokeo ya kugeuzwa kwa ndege angani).
Sasa kutokana na siasa hizi za kujipendekeza kwa wasiowapenda na wauaji wenu, mtayaona matokeo yake 2020. Sawa, najua soon viongozi wa chama wataitwa Ikulu kunywa JUICE, lakini tukumbushane tuu kuwa 2020 iko around the corner, tutatoa hesabu kwa hiki mnachoomba leo.
...kweli mbowe yule wa kina Dr slaa sio uyu wasasa kawa mdebwedo.. wanataka maridhiano yakuitwa ikulu kunywa juice na kuhakikishiwa majimbo yao bila kujali mpaka sasa serikali za mitaa vijiji ziko chini ya ccm! Binafsi nimeanza kuamini nchi hii hatuna wapinzani bora tukajifunze Uganda
 
Zitto is a diabolical opportunist.

I would rather discuss ideas than people.

Zitto alitaka maridhiano kwanza, sasa anayakataa.

Nakubaliana na position yake ya sasa.

Huwezi kufanya makubaliano na mtu aliyekuwekea bastola kichwani.

Ili mfanye makubaliano ya maana, kwanza aweke bastola pembeni, mkae wote sawa, muongee kama watu sawa.

Sasa Mbowe anataka kufanya makubaliano na mtu aliyemuwekea bastola kichwani, hayo ni makubaliano au ni woga tu?

All in all, meza ya mazungumzo kutatua mgogoro wowote ule ndiyo njia nzuri zaidi na yenye tija....

Yes, mnayejadiliana naye aweza kuwa alikutishia kukuchapa risasi na mpaka mnaingia ktk mazungumzo akawa bado amebeba bunduki yake mkononi....

Through the process ya kuingia ktk mazungumzo ya kumaliza tofauti zenu, moja ya sharti litakuwa;

".......weka bastola/bunduki yako chini tuyazungumze......"

For sure, mimi sielewi kwanini baadhi ya watu wanaipinga njia hii ya kumaliza mgogoro wa kisiasa tulionao Tanzania kwa sasa....

Hivi kweli tunataka tumalize tofauti zetu through physical confrontations?

Mimi naunga mkono MEZA YA MAZUNGUMZO a.k.a MARIDHIANO dhidi ya njia nyingine yoyote so long as tunakubali kuwa TANZANIA TUNA MGOGORO WA KISIASA!!
 
Kwani kinyume cha mazungumzo ni lazima kiwe physical confrontation?

Magufuli gubegube ana incentive gani ya kufanya mazungumzo na mtu weak kama Mbowe?

Kwenye uchaguzi CCM watashinda, na hata wakishindwa kura wataiba.

Mtu kasema atapiga mpaka shangazi za wapinzani, unafanya naye mazungumzo ili iweje? Aiambie mahakama ikuachie usifungwe hela?

Why are you trying to talk reasonable politics to an unreasonable person?
 
Kwa maoni yangu, upinzani sasa utakuwa na sera ya “carrot and stick”.

Kwenye siasa, mambo hubadilika. Hata Maghufuli jana alikiri hilo pale alipokuwa akizungumzia kuhusu misamaha kwa wale waliokuwa wanashitakiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi. Alisema kabisa “nyakati hubadilika”, na “kila mwaka una mambo yake”

Zitto alikuwa kwenye nafasi ya tofauti kwenye nyakati unazozitolea reference.

Ninapozungumzia upinzani, Nina wajumlisha wote Zitto na Mbowe kama watu wenye lengo moja lakini tofauti iko kwenye namna ya kudeal na ukandamizaji wa kidemokrasia unaozungumziwa.
Magufuli mtu kasema atawapiga mpaka shangazi za wapinzani.

Mpinzani anayekubali maridhiano naye bila kuombwa radhi, hajitambui, hajielewi na hajithamini.

Akipewa nchi anaweza kuwa kiongozi mbovu kuliko huyo Magufuli.

Sasa kiongozi aliyeshindwa kumtetea shangazi yake ataweza vipi kutetea Watanzania asiowajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...kweli mbowe yule wa kina Dr slaa sio uyu wasasa kawa mdebwedo.. wanataka maridhiano yakuitwa ikulu kunywa juice na kuhakikishiwa majimbo yao bila kujali mpaka sasa serikali za mitaa vijiji ziko chini ya ccm! Binafsi nimeanza kuamini nchi hii hatuna wapinzani bora tukajifunze Uganda

Sio kweli, Mbowe wa juzi ama miaka ile still bado ni yuleyule....

Hata wakati wa Dr W.P. Slaa kama GS wa CHADEMA kipindi cha Rais Kikwete mazungumzo ya kuweka sawa tofauti za kisiasa kati ya wenye mamlaka ya kiserikali na vyama vilivyo nje ya serikali yalifanyika mara kwa mara.....

Nadhani kinacho wachanganya baadhi yenu na kudhani kuwa huu utakuwa ni udhaifu wa kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani, ni eti yeye ndiye anaomba maridhiano badala ya serikali...

Hii mimi nakataa, haiwezi kuwa weakness.

After all, hivi ni nani anaweza kuthibitisha kuwa wakati wa Jakaya Kikwete mazungumzo kama yalipokuwa yanafanyika facilitator alikuwa ni nani?

Well, let's assume kuwa serikali ndiyo ilikuwa inawaomba wapinzani wakae kuyazungumza...

If so, then what's wrong kwa sasa mambo kuwa vice versa, kwamba, upande wa pili uombe?

Tusiombe kuzungumza baada ya physical confrontation ku - fail wakati huohuo tukitibu negative effects za mapambano ya jino kwa jino....

Hata hivyo, binafsi najua serikali hii na kariba ya kiongozi (Rais) tuliye naye ambaye kwake si ishu kukabiliana na mgogoro wowote kwa kutumia nguvu (physical confrontations), kulipokea ombi hili la KUB na kulifanyia kazi ni almost impossible kama siyo 50/50...!!

Mimi nadhani njia ya kutatua mgogoro wowote, popote na katika level yoyote kwa kukaa na kuzungumza kwa pande mbili zinazotofautiana ni nzuri sana na yenye tija zaidi....

Labda tukubaliane na tuseme kuwa Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa unaohitaji kama taifa tukae pamoja na turidhiane, lakini kama tunakubaliana kuwa tuna mgogoro, basi Bw. Freeman Mbowe yuko kwenye right track kuwaasa watanzania turidhiane kwa manufaa ya nchi na taifa letu....
 
Baada ya chairman Mbowe kumtaka mh rais kufanya mchakato wa maridhiano, upinzani ghafla umegawanyika zaidi. Wako wana chadema wanaokubalina, na wako wasiokubaliana na hatua ya mwenyekiti wao kuomba maridhiano ya kitaifa.

Kuna wanachadema ambao wamechukizwa, na wengine wakiungana na Zitto kwenye kulaani uamuzi wa Freeman. Wengi wao wanajiuliza ni kwa vipi wasahau yale waliyofanyiwa? haswa wamekuwa wakimtaja Tundu Lissu.

kwa maoni yangu, maamuzi ya rais baada ya ushauri huo wa chairman Mbowe, yana umuhimu mkubwa sana kwenye mustakabali wa huko tunakoelekea kama Taifa. Ni wazi bado wale ambao ni radical bado watakuwepo, lakini hawatakuwa na ushawishi mkubwa endapo maridhiano yatakuwepo.

Kwasababu upande ambao ndugu Zitto yumo, sina shaka na Tundu Lissu pamoja na watanzania wengi tu wako upande huo. Kina Tundu Lissu wao ndo wamekuwa kama sadaka kwa wengine. Wao pamoja na maridhiano, wanataka “justice”. ”And justice delayed equals justice denied”

kusipokuwepo na maridhiano yanayohusisha pande zote, basi tutakuwa tumefungua ukurasa mpya kwenye siasa za Tanzania. Yani sasa kutakuwepo na Kundi la “radicals” kwenye upinzani, ambalo hapo awali halikuwa na wapenzi wengi.Radicals ni wale wenye misimamo mikali zaidi. Wale ambao wako tayari kupinga kwa njia za tofauti na maridhiano. Mfano maandamano, migomo nk.

Wamarekani weusi nao walitumia njia hizo kwa kupitia MLK ambaye alikuwa moderate, pamoja na Malcom X ambaye alikiwa radical. Tofauti zao ilipokuja kwenye kudai haki, wengi tunazifahamu. Martin Luther King yeye alipendelea maridhiano na njia za amani(maandamano ya amani nk), wakati Malcom yeye alisema ni haki by any means hata kwa mapigano.

Haya ni maoni yangu. Baada ya kuwasoma members wengi humu ambao hapo awali walikuwa na mtizamo unaofanana, na sasa hawakubaliani kutokana na kauli za Mbowe Vs Zitto. Nina imani kuwa baada ya hili “vumbi” kutulia, watapata wasaa wa kuona ni wapi waelekee. Pia kina wale wapambe wa rais ambao wanataabika sana. Wao wanasema Mbowe ameomba Poo! Na wanamshauri rais akazie hapo hapo aachane na mambo ya maridhiano! Hao ni kama mafisi tu. Wengi wanaomzunguka rais wanalinda matumbo yao tu by any means!

Tusubiri response ya Maghufuli, halafu na ya Lissu.
Inaonekana wewe Zito umemjua juzi, huyo siyo radical na hajawahi, kamwambie aandamane mabomu yamlilie kama atakubali, enzi zile yupo Chadema wenziye walikuwa wakipanga maandamano yeye anaingia mitini hafu anakuja kuwaponda kwenye mitandao. Na kama unadhani ZZK atakuja siku moja aandamane apigwe mabomu unapoteza muda huyo jamaa ni mwanasiasa wa kwenye mitandao, ground msahau
 
Kwani kinyume cha mazungumzo ni lazima kiwe physical confrontation?

Magufuli gubegube ana incentive gani ya kufanya mazungumzo na mtu weak kama Mbowe?

Kwenye uchaguzi CCM watashinda, na hata wakishindwa kura wataiba.

Mtu kasema atapiga mpaka shangazi za wapinzani, unafanya naye mazungumzo ili iweje? Aiambie mahakama ikuachie usifungwe hela?

Why are you trying to talk reasonable politics to an unreasonable person?

1. It's true, the guy (Mr President) is "gubegube" na mtu wa shari kwa kiwango kikubwa...

2. However, Mbowe kuwa ni weak na hawezi kukaa meza moja ya mazungumzo na Mr Gubegube Magufuli sikubaliani nawe.

Kwa sababu Nation Reconciliation haiwahusu Magufuli na Mbowe bali inatuhusu wote ukiwemo wewe....

3. Pia, sikujua kuwa kauli ya Mbowe inalenga yeye kufutiwa mashtaka na kesi mbalimbali polisi...!!!???

4. Kama maridhiano katik situation hii siyo option na vivyo hivyo physical confrontations; then wewe ndiye useme IPI ni option sahihi kutatua mgogoro uliopo....
 
Unaweza kuingia katika makubaliano na kichaa yeyote yule?

Au inabidi unayeingia naye kwenye makubaliano awe na muelekeo wa kuingia kwenye makubaliano?

Magufuli mwenyewe hana makubaliano na Magufuli.

Leo anakwambia anapiga vita rushwa, kesho anakwambia trafiki kupewa hela ya kupiga brashi viatu poa tu.

Huku anakwambia maendeleo hayajali vyama, kule anakwambia atawapiga mpaka shangazi za wapinzani.

Utakubaliana naye lipi wakati yeye mwenyewe hajakubaliana na yeye mwenyewe?

Anafanya anavyojisikia alivyoamka siku hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kuna Mbowe na timu yao wamebend baada ya kuona wananchi ambao ndiyo mtaji wao mkubwa wameingiwa na woga mkubwa sana kuliko woga walionao kina Mbowe wenyewe.
Surrender is not even the word.

Surrender has some dignity in it.

This is more like bending over backwards to kowtow to a ruthless boss.

Excuse my language.

Let me be hood for a minute.

Now, to Magufuli, Mbowe is his basic bitch.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huko kwenye maridhiano wanataka wakaridhiane nini ?

Mvunja haki si anapaswa kuambiwa kuwa unavuja haki hizi na hizi, huko kwenye maridhiano wanataka wakajadili namna bora ya mvunja haki kuendelea kuzivunja ?
All in all, meza ya mazungumzo kutatua mgogoro wowote ule ndiyo njia nzuri zaidi na yenye tija....

Yes, mnayejadiliana naye aweza kuwa alikutishia kukuchapa risasi na mpaka mnaingia ktk mazungumzo akawa bado amebeba bunduki yake mkononi....

Through the process ya kuingia ktk mazungumzo ya kumaliza tofauti zenu, moja ya sharti litakuwa;

".......weka bastola/bunduki yako chini tuyazungumze......"

For sure, mimi sielewi kwanini baadhi ya watu wanaipinga njia hii ya kumaliza mgogoro wa kisiasa tulionao Tanzania kwa sasa....

Hivi kweli tunataka tumalize tofauti zetu through physical confrontations?

Mimi naunga mkono MEZA YA MAZUNGUMZO a.k.a MARIDHIANO dhidi ya njia nyingine yoyote so long as tunakubali kuwa TANZANIA TUNA MGOGORO WA KISIASA!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza, unajichosha kuwapa darasa watu wasiojua kwamba siasa ni mbinu (technics).
Walichofanya chadema ni kutafuta jukwaa sahii la kuutangazia ulimwengu juu ya ukandamizaji wa demokrasia nchini!.

Ndipo walimu wa mbinu wakijipanga kwa kulitumia jukwaa la maazimisho ya uhuru, ambayo ni siku kubwa kuliko zote kama taifa. Tena wageni kutoka nchi na taasisi mbalimbali za kimataifa wakiwepo, ndio upande wa upinzani ndani ya nchi unapaza kilio chao kwamba kwa mwendo tunaokwenda nao kama taifa sio sahii.

Pia wanafikisha ujumbe kwamba wao licha ya kuwa ni wapinzani lakini hawapendi kuona misingi ya utawala wa sheria inavunjwa kisa madaraka!, hivyo wanaonesha uungwana na kumshauri Rais kwamba yeye kama mkuu wa nchi anayo nafasi ya kipekee ya kuzuia haya yanayoendelea ili kulinda amani na mshikamano ndani ya nchi!.

Hapa Chadema kimbinu wameibuka washindi kwani wamemuumbua baba mwenye nyumba mbele ya wageni wa heshima, kwamba licha ya kujitapa kwamba yeye ni nadhifu na ni bingwa wa kulisha familia lakini ana tabia mbaya ya kuwatomasa watoto wake wa kike usiku!

Sasa kama baba mwenye nyumba ataendeleza undava huku anaendelea kujitapa kwa watu, basi na nyinyi kama familia mnamwaga mboga tu.
Bwege ni bwege tuu, hujui hata kinachoendelea ndani ya chama chenu na serikali baada ya hoja ya Mbowe kuwekwa mezani.
Viongozi wastaafu, waliopo madarakani na washauri wakuu wa siasa za nchi hii sasa hivi wana mijadala muhimu sana watengeneze opportunity hii kwa manufaa zaidi hasa baada ya mahusiano ya serikali na taasisi mbalimbali za kimataifa kubaki ya kibiashara tuu (mikopo isiyo na nafuu ya huruma) tofauti na zamani.
Utashangaa siasa za Tanzania kuchukua mkondo mwingine kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi hatuko kwenye Mgogoro wowote wa kisiasa kinachotakiwa ni haki kutendeka na siyo haki zivunjwe halafu mvunja haki akapigiwe magoti.

This is nonsense
Sio kweli, Mbowe wa juzi ama miaka ile still bado ni yuleyule....

Hata wakati wa Dr W.P. Slaa kama GS wa CHADEMA kipindi cha Rais Kikwete mazungumzo ya kuweka sawa tofauti za kisiasa kati ya wenye mamlaka ya kiserikali na vyama vilivyo nje ya serikali yalifanyika mara kwa mara.....

Nadhani kinacho wachanganya baadhi yenu na kudhani kuwa huu utakuwa ni udhaifu wa kiongozi mkuu wa chama kikuu cha upinzani, ni eti yeye ndiye anaomba maridhiano badala ya serikali...

Hii mimi nakataa, haiwezi kuwa weakness.

After all, hivi ni nani anaweza kuthibitisha kuwa wakati wa Jakaya Kikwete mazungumzo kama yalipokuwa yanafanyika facilitator alikuwa ni nani?

Well, let's assume kuwa serikali ndiyo ilikuwa inawaomba wapinzani wakae kuyazungumza...

If so, then what's wrong kwa sasa mambo kuwa vice versa, kwamba, upande wa pili uombe?

Tusiombe kuzungumza baada ya physical confrontation ku - fail wakati huohuo tukitibu negative effects za mapambano ya jino kwa jino....

Hata hivyo, binafsi najua serikali hii na kariba ya kiongozi (Rais) tuliye naye ambaye kwake si ishu kukabiliana na mgogoro wowote kwa kutumia nguvu (physical confrontations), kulipokea ombi hili la KUB na kulifanyia kazi ni almost impossible kama siyo 50/50...!!

Mimi nadhani njia ya kutatua mgogoro wowote, popote na katika level yoyote kwa kukaa na kuzungumza kwa pande mbili zinazotofautiana ni nzuri sana na yenye tija zaidi....

Labda tukubaliane na tuseme kuwa Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa unaohitaji kama taifa tukae pamoja na turidhiane, lakini kama tunakubaliana kuwa tuna mgogoro, basi Bw. Freeman Mbowe yuko kwenye right track kuwaasa watanzania turidhiane kwa manufaa ya nchi na taifa letu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kuna Mbowe na timu yao wamebend baada ya kuona wananchi ambao ndiyo mtaji wao mkubwa wameingiwa na woga mkubwa sana kuliko woga walionao kina Mbowe wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi kazi yao ni kuongoza.

Viongozi, hususan wa upinzani, walitakiwa kuwatoa wananchi woga.

Kama wameshindwa hilo, wameshindwa kazi muhimu ya uongozi. Ni bora wajiuzulu uongozi kuliko kuomba maridhiano yasiyo kichwa wala mguu.

Kwanza kwa nini Mbowe anang'ang'ania kuongoza miaka yote hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza, unajichosha kuwapa darasa watu wasiojua kwamba siasa ni mbinu (technics).
Walichofanya chadema ni kutafuta jukwaa sahii la kuutangazia ulimwengu juu ya ukandamizaji wa demokrasia nchini!.

Ndipo walimu wa mbinu wakijipanga kwa kulitumia jukwaa la maazimisho ya uhuru, ambayo ni siku kubwa kuliko zote kama taifa. Tena wageni kutoka nchi na taasisi mbalimbali za kimataifa wakiwepo, ndio upande wa upinzani ndani ya nchi unapaza kilio chao kwamba kwa mwendo tunaokwenda nao kama taifa sio sahii.

Pia wanafikisha ujumbe kwamba wao licha ya kuwa ni wapinzani lakini hawapendi kuona misingi ya utawala wa sheria inavunjwa kisa madaraka!, hivyo wanaonesha uungwana na kumshauri Rais kwamba yeye kama mkuu wa nchi anayo nafasi ya kipekee ya kuzuia haya yanayoendelea ili kulinda amani na mshikamano ndani ya nchi!.

Hapa Chadema kimbinu wameibuka washindi kwani wamemuumbua baba mwenye nyumba mbele ya wageni wa heshima, kwamba licha ya kujitapa kwamba yeye ni nadhifu na ni bingwa wa kulisha familia lakini ana tabia mbaya ya kuwatomasa watoto wake wa kike usiku!

Sasa kama baba mwenye nyumba ataendeleza undava huku anaendelea kujitapa kwa watu, basi na nyinyi kama familia mnamwaga mboga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anayehitaji kutangaziwa mpaka leo kwamba Tanzania serikali haiheshimu utawala wa sheria na inakandamiza demokrasia, hakutaka na wala hahitaji kujua hilo.

Anayetaka au kuhitaji kujua hilo, hana haja ya kusubiri sikukuu ya uhuru.

Alichofanya Mbowe ni kumpa Magufuli legitimacy tu, sasa hivi Magufuli anaweza kusema mimi napendwa mpaka na wapinzani wangu, wananiomba nifanye nao maridhiano.

Wakati huo huo, Mbowe huko CHADEMA katengeneza mgawanyiko usio wa lazima.

Kina Tundu Lissu wanajiuliza, niende kufanyaje maridhiano na watu walioamrisha nipigwe risasi?
 
Unaizungumzia dunia gani? Dunia ni watu na watu ndio sisi tunaosema Mbowe kasaliti Kambi. Nilishangaa sana members wa KK walivyokuwa wanasukumana ili wapeane mkono na JPM. Kwel nimeamin JPM n baba lao
 
Anayehitaji kutangaziwa mpaka leo kwamba Tanzania serikali haiheshimu utawala wa sheria na inakandamiza demokrasia, hakutaka na wala hahitaji kujua hilo.

Anayetaka au kuhitaji kujua hilo, hana haja ya kusubiri sikukuu ya uhuru.

Alichofanya Mbowe ni kumpa Magufuli legitimacy tu, sasa hivi Magufuli anaweza kusema mimi napendwa mpaka na wapinzani wangu, wananiomba nifanye nao maridhiano.

Wakati huo huo, Mbowe huko CHADEMA katengeneza mgawanyiko usio wa lazima.

Kina Tundu Lissu wanajiuliza, niende kufanyaje maridhiano na watu walioamrisha nipigwe risasi?
Mkuu una hakika na usemacho? Umesoma kauli ya Lissu kuhusu jambo hilo? Itafute utaona how wrong upo katika hili.
Lakini pia hilo la Mbowe kumuomba Magufuli wafanye maridhiano kalisemea wapi? Mwanza? Sijasikia, Ila nilichosikia ni kuwa nchi inahitaji maridhiano kwani kuna watu wana lalamika na wengine wanaumia. Hakusema naomba maridhiano.
Serikali ikiacha ubabe na kuheshimu sheria, katiba na kanuni tayari hayo ni maridhiano kwani hakuna atakaye lalamika tens.

Unaelewa tofauti ya Lissu na "Kina Lissu" ?

Maridhiano anayataka na nani? Na serikali inayoongozwa na gubegube Magufuli?

Mbowe made himself Magufuli's bitch right now.

Mbowe kasema, direct quote.

"”Rais una nafasi ya kipekee kuweka historia ya maridhiano katika taifa letu kwani kuna wengine wanalalamika wanaumia. Rais tumia nafasi hii ukaliweke taifa katika hali ya utengamano,” amesema Mbowe.

Hakumuomba rais maridhiano hapo?

Mbowe anajua kwamba watawala hawa concede power kwa kuombwa, bali kwa mapambano?

Anategemea kumuomba Magufuli maridhiano halafu Magufuli aone huruma?

Ndiyo matarajio ya Mbowe?

Magufuli akimpuuza atafanya nini?
 
Hivi huko kwenye maridhiano wanataka wakaridhiane nini ?

Mvunja haki si anapaswa kuambiwa kuwa unavuja haki hizi na hizi, huko kwenye maridhiano wanataka wakajadili namna bora ya mvunja haki kuendelea kuzivunja ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuomba mtu maridhiano mpaka kama alikuwa anakudharau kabla, baada ya kumuomba anakudharau square.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom