Upinzani utakuwa na pande mbili zilizo rasmi, ambazo ni “Radical” pamoja na “Moderate” wings!

Upinzani utakuwa na pande mbili zilizo rasmi, ambazo ni “Radical” pamoja na “Moderate” wings!

Kuna watu maridhiano hawataki kuyasikia kwa sababu yataondosha ulaji wao

Haya makundi nufaika yako serikalini na kwenye vyama.

Kuna vitengo vinavyoratibu mauaji kuteka , kutesa, kuzuia harakati za wapinzani, ikitokea maridbiano yakawepo watapoteza uhalali na kazi yao pia vivyo hivyo upande wa opposition.

Sasa wasiojulikana watakula wapi ikiwa maridhiano yatafanyika
Huu ndo ukweli mkuu.
 
jmushi1 ,

..inabidi kupata maelezo toka kwa Mbowe kwamba maridhiano anayoyataka yanahusisha nini.

..what if yanahusisha mambo kadhaa ikiwemo wote walioumizwa kupata HAKI yao?

..pia rejea interview ya TL aliyoifanya akiwa Nairobi hivi karibuni. TL amebainisha kwamba tatizo siyo maridhiano / mazungumzo bali mnaridhiano kuhusu nini na mnaridhiana na nani.
Hapo sasa kwa kiasi kikubwa, itategemea na mapokeo ya rais, maamuzi na hatma yake.
 
Kwanza tukubaliane jambo moja, uamuzi wa CDM kushiriki sherehe za uhuru halikuwa wazo la mtu mmoja Mbowe pekee, yalikuwa ni maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu. Sasa unaposema ndani ya CDM kuna mgawanyiko ningependa uoneshe vizuri huo mgawanyiko upo kati ya nani na nani au kundi la wakina nani dhidi ya wakina nani, kwasababu unachojaribu kuonesha hapa ni kwamba CDM kuna mgogoro, wakati yale maamuzi yalikubaliwa na members wa KK, sasa sijui hizo taarifa umezipata toka chanzo kipi za mgogoro.

Halafu, hili suala la kuwa radical hivi kweli kwenye nchi yetu hii linaweza kuwa implemented?, waje viongozi wa kisiasa hapa waseme kesho hakuna kwenda kazini, tunagomea jambo fulani, kwa waajiriwa wa serikalini aje kiongozi wa serikali aseme ambae hatakwenda kazini hana kazi, wangapi wana uthubutu huo wa kutokwenda kazini?!, haya majina tunajipachika sijui radicals, sijui nini, ili kujiliwaza tu!, nchi yetu bado sn kwa siasa hizo, either ukae nao meza moja, au ugome kukaa nao, wao ndio wanaamua, tusijidanganye.

Until katiba mpya.
Nadhani lingeshakuwa implemented kitambo tu. Mbona hata uchaguzi mkuu uliopita, Lowassa ilibidi apotezee vijana wasiingie kitaa na kuleta sintofahamu kuhusiana na goli la mkono lile la Nape.
 
Kuna watu maridhiano hawataki kuyasikia kwa sababu yataondosha ulaji wao

Haya makundi nufaika yako serikalini na kwenye vyama.

Kuna vitengo vinavyoratibu mauaji kuteka , kutesa, kuzuia harakati za wapinzani, ikitokea maridbiano yakawepo watapoteza uhalali na kazi yao pia vivyo hivyo upande wa opposition.

Sasa wasiojulikana watakula wapi ikiwa maridhiano yatafanyika
Vitega uchumi vyao vinaweweseka ni bora wajiandae kupandishwa vizimbani naongelea hao (Wasiojulikana) nyavu zimeanza kuwasogelea.
 
Kwani mbowe alijipeleka mwenyewe? Hata lissu alisema wako tayari muda wowote kukutana Na serikali.upinzani sio vita.siasa za uhasama hatuzitaki.
...siku zote chadema walituaminisha haki haiombwi kwa watawala..kwa unyonge walioufanya mbowe na kamati kuu yake wameua hamasa ya upinzani kusimamia hoja zao...ilianza kupinga ufisadi na kuutetea 2011-2015 sasa imekuja kuomba maridhiano kwa mtu alievuruga uchaguzi wa mitaa na kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba...
 
Tuonyeshe woga wake umeuona kwenye nini? Ni hatari sana (kama sio ujinga) kujadili jambo lililopita uwezo wako wa ufahamu. Haina tofauti na mtu asiye na elimu yeyote ya dini kujadili na kubishana juu ya maandiko matakatifu.
Mbowe ni mwoga wa kiwango cha SGR. Unaombaje maridhiano na mtu ambaye kila siku anajinasibu kuwa lengo lake ni kuua vyama vya upinzani ikiwemo CDM? Yaan unaomba maridhiano na mtu aliyekuelekezea bunduki kichwani? Hayo ni maridhiano au KUOMBA POOO?
 
Kuna wenye kuandika kingereza kirefuuuu humu lakini wanashindwa kuelewa kwa nini imekuwa au imesemwa ilivyosemwa na uongozi wa Chadema. Wenye kizungu kirefu wapo kumlaumu Mbowe kama ndiye aliyeamua. Mbowe amezungumza kama Kiongozi si maamuzi yake binafsi.
Kile Chadema wamefanya ni kuiambia ccm na Wananchi 'tuliomba maridhiano wakakaa kimya msishangazwe kwa yajayo' Ni kujipanga kwa yajayo. Chadema sio wajinga ni mbinu tu ya kupata wanachokusudia. Wanasema ukila na kipofu usimshike mkono... Maamuzi yale lazima yana baraka za TL.

Read between the lines utaelewa Chadema wanafanya nini na watafanya nini.....
Time will Tell....
 
Mbowe ni mwoga wa kiwango cha SGR. Unaombaje maridhiano na mtu ambaye kila siku anajinasibu kuwa lengo lake ni kuua vyama vya upinzani ikiwemo CDM? Yaan unaomba maridhiano na mtu aliyekuelekezea bunduki kichwani? Hayo ni maridhiano au KUOMBA POOO?
Kuna option ya kujiunga na Zitto mkuu. Otherwise tusubiri tuone hatua ya Maghufuli.

Kama unafahamu kinachoendelea na una nia njema na Taifa, yule mtoto Akwilina nani alimpiga risasi?
 
...siku zote chadema walituaminisha haki haiombwi kwa watawala..kwa unyonge walioufanya mbowe na kamati kuu yake wameua hamasa ya upinzani kusimamia hoja zao...ilianza kupinga ufisadi na kuutetea 2011-2015 sasa imekuja kuomba maridhiano kwa mtu alievuruga uchaguzi wa mitaa na kuzuia mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba...
Wewe kwa maoni yako ulitaka chadema wamfanyeje rais baada kuvuruga “uchaguzi wa mitaa”?
 
Vitega uchumi vyao vinaweweseka ni bora wajiandae kupandishwa vizimbani naongelea hao (Wasiojulikana) nyavu imeanza kuwasogelea.
Kuna watu ambao fursa zao zinatokana na chuki miongoni mwa wananchi. Wachawi nao humo humo!😀
 
..woga wa Kwanza kupiga magoti kuomba maridhiano wakati wenzako wanaongoza mitaa na vijiji nchi nzima woga wa pili kuomba maliziano baada ya kuona maji yamezidi unga kisutu!..ikumbukwe lisu kapigwa lisasi mchana kweupe lakini hakuna ata mtuhumiwa aliekamatwa kavuliwa ubunge kibabe wakisema hawajui aliko alafu bado mwenyekiti anaenda kuomba maridhiano kisa aponyeshe Jimbo lake!!! Usiwe mpumbavu wa kusifia kila kitu mbowe kakosea kabisa huo ndio ukweli
Hilo jimbo wewe ndo unalitaka?
 
Kwa hiyo kila kitu kufanikiwa kinategemea huruma ya Rais?
Maoni yako yanalindwa na Katiba ya Jamhuri na Katiba ya Chadema ila ni vizuri kuyapa maridhiano a chance halafu ndio utie neno ila kunung'unika sidhani kama kutajenga zaidi ya kubomoa.
 
Ukweli japo mchungu nikuwa mbowe kaweka silaha chini amesalim amri kitu ambacho magufuli alikitaka na ndio hicho mbowe kakionnyesha maskin anadhani et magu atawaita kuzungumza asahau
 
Naona kuna wanaotaka kutuaminisha kuwa Mbowe ame surrender mimi nafikiri ukweli ni tofauti kabisa. Only time will tell.
Surrender is not even the word.

Surrender has some dignity in it.

This is more like bending over backwards to kowtow to a ruthless boss.

Excuse my language.

Let me be hood for a minute.

Now, to Magufuli, Mbowe is his basic bitch.
 
As I said, only time will tell.
 
Sioni kama kuna shida kuomba maridhiano, ni jambo zuri japo sioni kama anayeombwa maridhiano anahitaji hicho kitu. Mbowe na wenzie ni vizuri wakaaweka time limit ili kusipokuwa na progress zozote hatua zingine zichukuliwe, this maridhiano issue need not to detain us much.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna option ya kujiunga na Zitto mkuu. Otherwise tusubiri tuone hatua ya Maghufuli.

Kama unafahamu kinachoendelea na una nia njema na Taifa, yule mtoto Akwilina nani alimpiga risasi?
Waliomuua Akwilina wanajulikana na mkuu wao alishakiri hadharani. Hata hivyo, mauaji yenye muonekano kama hayo si mara yake ya kwanza kutokea Tanzania. Kumbuka yaliyotokea Nyororo Mufindi mbele ya aliyekuwa RPC wa Iringa, ya kuuawa kinyama David Mwangosi.
Hata hivyo, tukio lile na mengine yenye sura kama hiyo, yaliyotokea wakati ule hayakuwa sababu Kunyoosha mikono juu mithili ya kibaka aliyebananishwa na FFU. Bali, tulishuhudia kuongezeka kwa ari zaidi na nguvu miongoni mwa wanachadema wakiongozwa na Kamanda Dr. Slaa na ndg. Mbowe(sio huyu wa sasa). Na hiki ndichokipindi CHADEMA ilijipatia umaarufu na uungwaji mkono miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii. Matokeo yake tuliyaona kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, (japo japo wapo Mapopoma walioaminishwa na kukubali kuwa matokeo ya uchaguzi wa 2015 kwa chadema ni matokeo ya kugeuzwa kwa ndege angani).
Sasa kutokana na siasa hizi za kujipendekeza kwa wasiowapenda na wauaji wenu, mtayaona matokeo yake 2020. Sawa, najua soon viongozi wa chama wataitwa Ikulu kunywa JUICE, lakini tukumbushane tuu kuwa 2020 iko around the corner, tutatoa hesabu kwa hiki mnachoomba leo.
 
Back
Top Bottom