King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vipi mother anataka kutoa Pdf nini unataka kulikatia denge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaajiliwa na mtu kuandika hapa labda Kama wewe umeajiliwa kufanya kazi hiyo ya ukosoaji wa kila kitu kinachofanywa na serikali hiiWanoajiriwa kama Chawa wa hiki Chama ni Mbumbumbu Pro.
Ndugu yangu lazima ufahamu ya kuwa kila kitu lazima kifuate utaratibu tuliojiwekea, kwa hiyo lazima uzingatie Sheria na kufuata utaratibu ikiwa utataka kwenda mahali fulani na kufanya shughuli za kisiasa ili hata Kama Ni suala la ulinzi ijulikane Ni vipi litakavyo ratibiwa kwa ajili ya usalama wako binafsi na eneo utakapokuwepo bila kuingiliwa na watu wa makundi mengine ya kisiasaUsipende kusema bila kutafiti. Hoja zako mara nyingi zinakosa msingi kwani ni za kufikirika na siyo halisi.
Jiulize, Kama kweli upinzani umezimwa kwanini ccm wawatumie polisi kuwaghasi wapinzani? Rejea ya juzi morogoro Kwa maarifa zaidi.
Nitajie sheria inayozuia vyama vya siasa Tanzania kufanya mikutano ya kisiasa. Usidhani unajibizana na wajinga wenzako hapa.N
Ndugu yangu lazima ufahamu ya kuwa kila kitu lazima kifuate utaratibu tuliojiwekea, kwa hiyo lazima uzingatie Sheria na kufuata utaratibu ikiwa utataka kwenda mahali fulani na kufanya shughuli za kisiasa ili hata Kama Ni suala la ulinzi ijulikane Ni vipi litakavyo ratibiwa kwa ajili ya usalama wako binafsi na eneo utakapokuwepo bila kuingiliwa na watu wa makundi mengine ya kisiasa
Wapumbavu na wajinga ni wengi,bahati mbaya Wewe ni miongoni mwao.Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,
Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,
Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe
Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio
Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,
Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake
Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,
Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Acha kuleta ubaguzi hapa nchini, Tanzania Ni moja, watanzania ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja, ukiiendekeza akili yako katika ubaguzi utajikuta hata upeo wako na uwezo wako wa kufikiri unashuka siku Hadi sikuWapumbavu na wajinga ni wengi,bahati mbaya Wewe ni miongoni mwao.
Kiongozi anayepeleka fedha nyingi za Tanganyika huko kwao Mwanakwereke anawezaje kuumaliza upinzania !.
Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha , Ni Rahisi Sana kuumaliza, kuudhoofisha , kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya Jambo fulani, Hii Ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga Sera Wala ajenda Wala hoja zenye kugusa hisia za watanzania, hauna vitu vyenye kugusa maisha ya Watanzania hasa wanyonge Kama ifanyavyo CCM miaka yote kuwagusa watanzania wanyonge,
Upinzani wa Tanzania Ni Kama mkanda uliokatika katika ambao hauwezi kupita kwenye rukusi na kufunga suluali, Hauna unachokisimamia Wala kupigania, hauna malengo ya muda mfupi wa Kati na muda mrefu, Hauna hata mikakati ya miaka mitano, Hata kuandaa mgombea Urais tu hauwezi, maana Ni upinzani unakwenda na mdundo wa vijana wake, Ni upinzani unaokwenda kimizuka, Ni upinzani unaokwenda kiharakati harakati kwa kila Jambo, Ni upinzani ambao hauelewi unataka Nini na unapigania Nini zaidi ya kuona kapu la Ruzuku yao likituna,
Ni upinzani unaodaka na kusubili vimatukio vya mpito tu ili uende navyo, Ndio sababu tukio likizimwa kimaridadi na serikali hii shupavu ya mama Samia unaona nao wanapoteana na kuzima, kwa hiyo Ni Rahisi Sana kuwachezesha ngoma wanachama wa kawaida Hadi Mwenyekiti wao Taifa Ndugu Mbowe
Hapa ndipo Rais wetu mpendwa Mama Samia gwiji wa Siasa, mwana mikakati aliyeiva, kiongozi shupavu, mwanadiplomasia nguli, mwenye macho ya kuona mbali, Sauti na mikono ya kupenya popote, Mwenye Akili kubwa na upeo wa mbali, Mtulivu na mwenye kwenda na muda na kusubiri wakati sahihi, mwenye Shabaha na maono ya Mbali,Anayejuwa mbinu na mikakati ya kiuongozi , Rais aliyepikwa ,aliyeiva kimbinu na kimkakati, Mwamba usiyoteteleka Wala kuteteleshwa na mtu yoyote yule, Jemedari shupavu aliyefuzu mafunzo ya kila aina, Tumaini na Tagemeo la watanzania aliyewaweza wapinzani na kuwamaliza upinzani ambao siku zote umekuwa ukitegemea vimatukio
Hakika Rais Samia ameuumbua Sana upinzani wa Tanzania, ameonyesha kuwa Tanzania hakukuwa na upinzani Bali wababaishaji waliokuwa wanategemea mianya kupata ajenda zao, Upinzani umeonyesha kuwa ulikuwa Ni Kama mti uliokosa mizizi, Ni gari lisilo na injini japo limepakwa Rangi nje, Ni mwisho wa upinzani Sasa,
Upinzani wa Tanzania Hauta simama Tena, Hautashamiri Tena, Hautatusumbua Tena, Hautaaminika Tena, Hauta kuwa na mvuto Tena, Haitakuwa Kama 2015, Hautatubabaisha Tena, Hautatulaza macho Tena, Hautavuna Tena wanachama wetu, Hautapata Tena wanachama wenye akili na wenye kujitambua, Hakuna Atakaye toa hela zake kuwapa upinzani Tena, Hakuna Atakaye tokwa jasho kuutetea upinzani tena maana ulishatoka katika mioyo ya watanzania, ulishapuuzwa na vijana ambao ndio ilikuwa nguzo yake kuu, ilikuwa ndio ngao yake kuu na Tumaini lake
Lakini Sasa CCM chini ya Nahodha shupavu Rais Samia ,vijana Wana Imani na matumaini makubwa Sana na Rais wetu mpendwa, vijana wameyaelekeza macho yao kwa mama Samia, watanzania wameamua kuwa bega kwa bega na mama Samia, watanzania wameamua kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono mama Samia, watanzania wanamuona Rais Samia Kama mama yao, kiongozi wao, mlezi wao, mzazi wao ndio sababu unaona namna mh Rais Samia anavyoheshimima na kila mtanzania, anapendwaa na kukubalika na kila mtanzania, anasikilizwa na kufuatiliwa na kila mtu,
Rais Samia songa mbele mama yetu,chapa kazi ,tutumikie watanzania, tuhudumie watanzania, tunakuamini, Tunakutegemea,tuna Imani na wewe, usikatishwe Tamaa na wachache maana tunao kuunga mkono Ni mamilioni ya watanzania, Tunazidi kukuombea Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania,
Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Acha kuleta ubaguzi hapa nchini, Tanzania Ni moja, watanzania ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja, ukiiendekeza akili yako katika ubaguzi utajikuta hata upeo wako na uwezo wako wa kufikiri unashuka siku Hadi siku

Hakuna kiongozi yoyote wa CCM anaweza kuumaliza upinzani, maana ccm sio chama cha kizazi hiki. Unapoona CCM inategemea vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi, ujue zama zake zimeisha. Huenda hizo ziara zanazojaza wanafunzi, na kuzoa watu kwa nguvu ya vyombo vya dola zinakuhadaa. Wapinzani wakianza kuongea na wananchi utaishia kuona kitu ambacho kila mwanaccm hataki kukiona.
Serikali ya CCM itaendeleaa kuuenzi na kuulinda muungano wetu adhimh na wakipekee kwa nguvu zake zote zidi ya watu wachache Kama wewe mnaotamani uvunjike kwa maslahi yenu, watanzania tunajivunia muungano wetu na tutaendelea kuishi kwa umoja mshikamano na upendo miongoni mwetuNenda ww mtu wa bara kanunue ardhi Zanzibar uone kama unakubaliwa, au kagombee uongozi Zanzibar kama unakubaliwa. Kisha uje ulete mrejesho kuhusu ubaguzi.
Na kwa taarifa yako wazanzibari hawautaki muungano, labda wanaccm walioko madarakani maana wana maslahi na huu muungano fake.
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo ,CCM ndio chama kilichobeba Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania Ndio maana CCM Inaendelea kuaminiwa na mamilioni ya watanzaniaandiko lolote linalobeba na kuiwakilisha CCM jua Ni kero kwa raia ....
Mnatumia miguvu mingi kuilinda CCM huku nchi inaungua.
#BUMMERS😤
Naona mapokezi makubwa anayoendelea kuyapata mh Rais wetu mpendwa katika ziara zake yamewachanganya Sana mpaka mnawaita watu wazima wanafunzi, ndio maana watanzania wamewatupa mkono wapinzani maana mnadharau Sana nyie na kujiona mnaelewa kila kitu
Nenda uwanjani ndio utajuwa ukweli wa mambo na utakwenda kuwasimulia wenzio hapo ufipaTuchanganyanywe na mafuriko fake. Labda hujui uelewa wetu.
Serikali ya CCM itaendeleaa kuuenzi na kuulinda muungano wetu adhimh na wakipekee kwa nguvu zake zote zidi ya watu wachache Kama wewe mnaotamani uvunjike kwa maslahi yenu, watanzania tunajivunia muungano wetu na tutaendelea kuishi kwa umoja mshikamano na upendo miongoni mwetu
Nenda uwanjani ndio utajuwa ukweli wa mambo na utakwenda kuwasimulia wenzio hapo ufipa
Napenda kukwambia tu kuwa watu wanahudhulia kwenye mikutano ya mh Rais kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kubebwa, wanafanya hivi kwa kuwa Wana matumaini makubwa Sana na mh Rais pamoja na ccmMimi ni mgeni na hayo mafuriko ya kuzoa majobless huko vijijini, na kuagiza wanafunzi wajae kwenye hizo hafla? CCM imeshakuwa outdated, ndio maana inalazimisha promo zisizo na mpango, lakini ikifika wakati wa uchaguzi mnaishia kunajisi uchaguzi.
Acha porojo zisizo na tija, jibu kama mtu wa bara anaruhusiwa kununua ardhi Zanzibar, ama kugombea uongozi Zanzibar. Nitajie kama mtu wa bara anaweza kwenda kugombea urais wa Zanzibar. Ukijibu hayo utakuwa na Utetezi wa maana sio hizo porojo za kizee za kulinda muungano usio na maana yoyote
Napenda kukwambia tu kuwa watu wanahudhulia kwenye mikutano ya mh Rais kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kubebwa, wanafanya hivi kwa kuwa Wana matumaini makubwa Sana na mh Rais pamoja na ccm