Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

N
Usipende kusema bila kutafiti. Hoja zako mara nyingi zinakosa msingi kwani ni za kufikirika na siyo halisi.
Jiulize, Kama kweli upinzani umezimwa kwanini ccm wawatumie polisi kuwaghasi wapinzani? Rejea ya juzi morogoro Kwa maarifa zaidi.
Ndugu yangu lazima ufahamu ya kuwa kila kitu lazima kifuate utaratibu tuliojiwekea, kwa hiyo lazima uzingatie Sheria na kufuata utaratibu ikiwa utataka kwenda mahali fulani na kufanya shughuli za kisiasa ili hata Kama Ni suala la ulinzi ijulikane Ni vipi litakavyo ratibiwa kwa ajili ya usalama wako binafsi na eneo utakapokuwepo bila kuingiliwa na watu wa makundi mengine ya kisiasa
 
Nitajie sheria inayozuia vyama vya siasa Tanzania kufanya mikutano ya kisiasa. Usidhani unajibizana na wajinga wenzako hapa.
 
Wapumbavu na wajinga ni wengi,bahati mbaya Wewe ni miongoni mwao.

Kiongozi anayepeleka fedha nyingi za Tanganyika huko kwao Mwanakwereke anawezaje kuumaliza upinzania !.
 
Wapumbavu na wajinga ni wengi,bahati mbaya Wewe ni miongoni mwao.

Kiongozi anayepeleka fedha nyingi za Tanganyika huko kwao Mwanakwereke anawezaje kuumaliza upinzania !.
Acha kuleta ubaguzi hapa nchini, Tanzania Ni moja, watanzania ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja, ukiiendekeza akili yako katika ubaguzi utajikuta hata upeo wako na uwezo wako wa kufikiri unashuka siku Hadi siku
 
Hakuna kiongozi yoyote wa CCM anaweza kuumaliza upinzani, maana ccm sio chama cha kizazi hiki. Unapoona CCM inategemea vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi, ujue zama zake zimeisha. Huenda hizo ziara zanazojaza wanafunzi, na kuzoa watu kwa nguvu ya vyombo vya dola zinakuhadaa. Wapinzani wakianza kuongea na wananchi utaishia kuona kitu ambacho kila mwanaccm hataki kukiona.
 
Tanzania ingekuwa moja tusingetenga ajira za WaZanzibar TRA,BOT...... Haya mambo kayaanzisha Mama.
Acha kuleta ubaguzi hapa nchini, Tanzania Ni moja, watanzania ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja, ukiiendekeza akili yako katika ubaguzi utajikuta hata upeo wako na uwezo wako wa kufikiri unashuka siku Hadi siku
 
Acha kuleta ubaguzi hapa nchini, Tanzania Ni moja, watanzania ni wamoja na sote tunasonga mbele kwa pamoja, ukiiendekeza akili yako katika ubaguzi utajikuta hata upeo wako na uwezo wako wa kufikiri unashuka siku Hadi siku

Nenda ww mtu wa bara kanunue ardhi Zanzibar uone kama unakubaliwa, au kagombee uongozi Zanzibar kama unakubaliwa. Kisha uje ulete mrejesho kuhusu ubaguzi.

Na kwa taarifa yako wazanzibari hawautaki muungano, labda wanaccm walioko madarakani maana wana maslahi na huu muungano fake.
 
Naona mapokezi makubwa anayoendelea kuyapata mh Rais wetu mpendwa katika ziara zake yamewachanganya Sana mpaka mnawaita watu wazima wanafunzi, ndio maana watanzania wamewatupa mkono wapinzani maana mnadharau Sana nyie na kujiona mnaelewa kila kitu
 
Serikali ya CCM itaendeleaa kuuenzi na kuulinda muungano wetu adhimh na wakipekee kwa nguvu zake zote zidi ya watu wachache Kama wewe mnaotamani uvunjike kwa maslahi yenu, watanzania tunajivunia muungano wetu na tutaendelea kuishi kwa umoja mshikamano na upendo miongoni mwetu
 
andiko lolote linalobeba na kuiwakilisha CCM jua Ni kero kwa raia ....
Mnatumia miguvu mingi kuilinda CCM huku nchi inaungua.
#BUMMERS😤
 
andiko lolote linalobeba na kuiwakilisha CCM jua Ni kero kwa raia ....
Mnatumia miguvu mingi kuilinda CCM huku nchi inaungua.
#BUMMERS😤
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo ,CCM ndio chama kilichobeba Sera na ajenda za kugusa maisha ya watanzania Ndio maana CCM Inaendelea kuaminiwa na mamilioni ya watanzania
 
Naona mapokezi makubwa anayoendelea kuyapata mh Rais wetu mpendwa katika ziara zake yamewachanganya Sana mpaka mnawaita watu wazima wanafunzi, ndio maana watanzania wamewatupa mkono wapinzani maana mnadharau Sana nyie na kujiona mnaelewa kila kitu

Tuchanganyanywe na mafuriko fake. Labda hujui uelewa wetu.
 
Acha porojo zisizo na tija, jibu kama mtu wa bara anaruhusiwa kununua ardhi Zanzibar, ama kugombea uongozi Zanzibar. Nitajie kama mtu wa bara anaweza kwenda kugombea urais wa Zanzibar. Ukijibu hayo utakuwa na Utetezi wa maana sio hizo porojo za kizee za kulinda muungano usio na maana yoyote
 
Nenda uwanjani ndio utajuwa ukweli wa mambo na utakwenda kuwasimulia wenzio hapo ufipa

Mimi ni mgeni na hayo mafuriko ya kuzoa majobless huko vijijini, na kuagiza wanafunzi wajae kwenye hizo hafla? CCM imeshakuwa outdated, ndio maana inalazimisha promo zisizo na mpango, lakini ikifika wakati wa uchaguzi mnaishia kunajisi uchaguzi.
 
Napenda kukwambia tu kuwa watu wanahudhulia kwenye mikutano ya mh Rais kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kubebwa, wanafanya hivi kwa kuwa Wana matumaini makubwa Sana na mh Rais pamoja na ccm
 
Sasa wewe kwa fikra zako rafiki yangu Tindo tukisema watu wore twende visiwani Zanzibar hivi tutatosha kweli? Pia katika kuungana kila watu huwa wanakuwa na aina ya muungano wao kulingana na historia zao pamoja na mambo mengine ili kuleta amani na utulivu katika muungano, Nenda kasome kitabu Cha uongozi wetu na hatima ya Tanzania,kilichoandikwa na baba wa Taifa
 
Napenda kukwambia tu kuwa watu wanahudhulia kwenye mikutano ya mh Rais kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kubebwa, wanafanya hivi kwa kuwa Wana matumaini makubwa Sana na mh Rais pamoja na ccm

Nimekuuliza hapo juu kama kuna mtu wa bara anaruhusiwa kununua ardhi Zanzibar, au kugombea cheo chochote huna majibu umebaki unaleta porojo. CCM haina mvuto wa kujaza watu bila kutumia hela na vitisho. Hao wengine ni majobless na wanafunzi wanaoshurutishwa kuhudhuria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…