Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

Tindo lini ulilipwa au kulazimishwa kwa vitisho kwenda kwenye mkutano wa CCm au wa mh Rais? Nachofahamu Ni kuwa watu wanakwenda kwa hiyari yao kabisa
 
Umesema hakuna ubaguzi, kisha unasema ardhi ya Zanzibar haitoshi! Kwani lazima wazanzibari wabaki huko, si waje huku bara maana wanaruhusiwa kumiliki Ardhi? Je hayo ya madaraka na kupiga kura, wao wanaweza kuchukua madaraka huku na kupiga kura, lakini sio kinyume chake. Huo sio muungano bali ni utapeli wa kijinga.
 
Tindo lini ulilipwa au kulazimishwa kwa vitisho kwenda kwenye mkutano wa CCm au wa mh Rais? Nachofahamu Ni kuwa watu wanakwenda kwa hiyari yao kabisa

Unauliza au unapigia jibu mstari? Mimi sio rahisi nilipwe au kulazimishwa kuhudhuria hayo maigizo maana najitambua na kujiamini. Lakini kinachofanyika nakifahamu na kukiona.
 
Tindo nilitaka kukuelezea kwa urefu lakini kwa ufupi naomba ukasome kitabu Cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania
 
Sasa Kama wewe hulipwi na huwa huendi Basi Tambua kuwa mafuriko unayoyaona katika mikutano ya mh Rais ni watu wanaokwenda kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kulipwa
Unauliza au unapigia jibu mstari? Mimi sio rahisi nilipwe au kulazimishwa kuhudhuria hayo maigizo maana najitambua na kujiamini. Lakini kinachofanyika nakifahamu na kukiona.
 
Hivi umeolewa na umezaa watoto?Mmeo ana kazi sana.
Acha lugha za dharau na ukakasi, hata hivyo Mimi Namheshimu kila mtu ikiwemo wewe na ndio maana unaona simtukani mtu humu jamvini maana naamini hata Kama tunatofautiana kimtizamo tunaweza kukosoana bila kutukanana na kudhalilishana utu wetu
 
Acha ujinga.Umeolewa?
 
Upinzani utakaoiua CCM utatoka ndani ya CCM yenyewe.

Makundi yameachwa kukua na hayadhibitiki Kwa sasa.

Ni zamu ya MAPAKA kukwaruana yakigombea chakula Kwa sahani.

Usipoteze muda kuogopa VIVULI vya wapinzani, hangaika na Mazombie ndani ya chama chenu.
 
Upinzani utakaoiua CCM utatoka ndani ya CCM yenyewe.

Makundi yameachwa kukua na hayadhibitiki Kwa sasa.

Ni zamu ya MAPAKA kukwaruana yakigombea chakula Kwa sahani.

Usipoteze muda kuogopwa VIVULI vya wapinzani, hangaika na Mazombie ndani yenu
Ccm Ni moja ,wanaccm ni wamoja na chama ni kimoja na Hakuna mkubwa ndani ya CCM, Kama unasubiri kupasuka na kugawanyika kwa CCM unajichelewesha Sana ndugu yangu na utakuwa Ni sawa na unasubiri meli airport Jambo ambalo hutafanikiwa kuliona labda uende bandarini
 
Hoja zako zingetafutiwa heading nzuri zinaqualify kuanzisha Uzi Ili wenye akili tuuchambue.

Lucas hajui kujenga hoja, ni matokeo ya mifumo ya ELIMU duni ilochafuliwa.
 
Hoja zako zingetafutiwa heading nzuri zinaqualify kuanzisha Uzi Ili wenye akili tuuchambue.

Lucas hajui kujenga hoja, ni matokeo ya mifumo ya ELIMU duni ilochafuliwa.
Hoja gani alizoziandika hapo? Huoni ameshindwa hata kuweka Aya ili ziwe katika mpangilio mzuri? Hata hivyo nimeshamjibu vizuri tu kwa lugha Rahisi na yakueleweka
 
Tindo nilitaka kukuelezea kwa urefu lakini kwa ufupi naomba ukasome kitabu Cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania

Sina muda wa kusoma vitabu vya CCM maana vitaishia kunitia ujinga. Nyie mnatakiwa mtolewe madarakani kwa machafuko, kisha tukae na Zanzibar tuchague muungano wenye tija kwa pande zote. Lakini sio huu muungano wa kuweka wazanzibari kwenye bunge la bara, lakini hakuna ruhusa ya wabunge wa bara kwenye bunge la Zanzibar.
 
Hakuna mtanzania wakuleta machafuko katika nchi hii kwa uroho wenu nyie wapinzani, watanzania Wana Imani kubwa Sana na CCM kutokana na kuwa imekuwa sikivu na yenye masikio yakisikiliza kila sauti, CCM ndio mdomo wa wanyonge , Ndio sababu imeendelea kuwepo madarakani muda wote
 
Sasa Kama wewe hulipwi na huwa huendi Basi Tambua kuwa mafuriko unayoyaona katika mikutano ya mh Rais ni watu wanaokwenda kwa hiyari yao wenyewe bila kulazimishwa Wala kulipwa

Waliolipwa nawajua na mbinu za kushurutisha wafanyakazi wa umma pamoja na wanafunzi huwa naona sana. Na huwa tunawadhihaki wanaoburuzwa na kuishia kuona aibu. Kwasababu ya kuwa na mafuriko fake, hii hupelekea wakati wa uchaguzi kushuhudia chaguzi za kihayawani ili CCM kutangazwa washindi kwa shuruti.
 
Hata ije tume ya uchaguzi kutoka marekani bado CCM itashinda kwa kishindo tu, Sasa nyie huwa mnawaza Nani awaunge mkono wakati hata Sera zenu hazieleweki?
 
Ipo madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola, na ushahidi wa hayo upo wazi. Hakuna wa kuleta machafuko kwa sasa kwasababu ya uoga wa wananchi kutekwa na kuuwawa, lakini iko siku isiyo na jina, hiki chama kichovu kitakaa pembeni.
 
Ipo madarakani kwa kutegemea vyombo vya dola, na ushahidi wa hayo upo wazi. Hakuna wa kuleta machafuko kwa sasa kwasababu ya uoga wa wananchi kutekwa na kuuwawa, lakini iko siku isiyo na kina, hiki chama kichovu kitakaa pembeni.
Wewe usiyemuoga mbona hukuitikia wito wa Lisu kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…