Nimekimbia na kujificaha!Kuita watanzania wanaopigana kila siku na ufisadi kule Tanzania kuwa ni wasaliti wakati wewe umekimbia na kujificha huku ukisubiria wenzako walime kisha ujitokeze kuvuna.
Zitto yeye amesema(while quoting Dr Mtei) Kuwa hao watu walishuka kwenye treni!
Hajasema kuwa ni Traitors!
Like i said hiyo ni definition yake yeye na maybe Mzee Mtei!
Yangu mimi ni kuwa hawa watu ni Traitors wa maendeleo ya Mtanzania!
Mushi, kama Voice of Reason, YNIM, alivyosema, iue hii ishu mtu wangu.
Ulichokisema wengine tumekuelewa.
Nakubaliana na ushauri wenu wakuu!Mushi, kama Voice of Reason, YNIM, alivyosema, iue hii ishu mtu wangu.
Ulichokisema wengine tumekuelewa.
Nimekimbia na kujificaha!
Kwi kwi kwi!
Nakubaliana na ushauri wenu wakuu!
Naona tukutane baadaye!
Nasubiri New Orleans VS Spurs!
Nakubaliana na ushauri wenu wakuu!
Naona tukutane baadaye!
Nasubiri New Orleans VS Spurs!
.......duh, kumbe ulikuwa unashindana!!!!! kaaaaaaaaaazi kweli.
kwahiyo wewe hoja zako zilikuwa za nguvu!!??? you must be delusional and hallucinating @ the same time!! goodluck.
.......if you're in that state of D+H then wewe ni "mtambo." LOL...sorry, but its a fact.
nimeiita fact kwasababu ni fact........effexor can do the trick!!!
Traitors ni
a. wale Watanzania ambao wamekaa tu na kusubiri wengine wahangaike kuleta mageuzi.
b. Ni wale wanaokaa bila mchango wowote katika mabadiliko ya kisiasa nchini petu.
c. Ni wale wanaokaa na kulaumu wenzao na kusubiri wakosee wawaseme. Ni wale ambao wanadhani siasa ni tamu na hivyo wanasiasa tunafaidi ilihali tunarisk maisha na hata kutojiendeleza.
d. Traitor ni Mtanzania asietambua harubu tupatayo wanasiasa wa upinzani! Harubu tuipatayo tunapoenda vijijini kuongea na watanzania na kulala mahala ambapo mushi huwajahi lala.
Nimerudi kuangalia alichosema Zitto kuhusu "wasaliti". Nimegundua kuwa hakusema "watanzania ni wasaliti" au "wananchi ni wasaliti". Kumbe amequalify! Naamini ametoa sifa nne za mtu anayeamini kuwa ni msaliti. Kama mtanzania yumo kwenye makundi hayo basi ni msaliti. Well, nadhani he is right.
NB: Nimeondoa maneno mengine ya hoja yake kufanya iwe rahisi kwa watu kuona alichosema Zitto hasa.
Mgaya hayo mashitaka makubwa ndio hayo hayo Zitto kayafanya. Pointi yako inakufunga. Zitto ndio kaita wananchi wasaliti. Ndo maana nikasema hayo matamshi ya Zitto ni sawa na kujinywesha sumu katika jamii ya watu wanao fuatilia vitu. Kumbe hata wewe wajua ni mashitaka makubwa!