Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Mushi, kama Voice of Reason, YNIM, alivyosema, iue hii ishu mtu wangu.

Ulichokisema wengine tumekuelewa.
 
Kuita watanzania wanaopigana kila siku na ufisadi kule Tanzania kuwa ni wasaliti wakati wewe umekimbia na kujificha huku ukisubiria wenzako walime kisha ujitokeze kuvuna.
Nimekimbia na kujificaha!
Kwi kwi kwi!
 
Zitto yeye amesema(while quoting Dr Mtei) Kuwa hao watu walishuka kwenye treni!
Hajasema kuwa ni Traitors!
Like i said hiyo ni definition yake yeye na maybe Mzee Mtei!
Yangu mimi ni kuwa hawa watu ni Traitors wa maendeleo ya Mtanzania!

Wewe ndio Traitor namba moja... mpaka uwe kule msitari wa mbele ukipigania haki za watanzania ndio hiyo label itakuacha.
 
Mushi, kama Voice of Reason, YNIM, alivyosema, iue hii ishu mtu wangu.

Ulichokisema wengine tumekuelewa.
Nakubaliana na ushauri wenu wakuu!
Naona tukutane baadaye!
Nasubiri New Orleans VS Spurs!
 
Nimekimbia na kujificaha!
Kwi kwi kwi!

Yaani umejificha mbali kabisa na uwanja wa mapambano kama republicans kina Cheney wanaowaita wale wanajeshi wanaopinga vita ya Iraq kuna ni waoga wakati wao ndio walikimbia vita wakati walipotakiwa kupigana.
 
Traitors ni

a. wale Watanzania ambao wamekaa tu na kusubiri wengine wahangaike kuleta mageuzi.

b. Ni wale wanaokaa bila mchango wowote katika mabadiliko ya kisiasa nchini petu.

c. Ni wale wanaokaa na kulaumu wenzao na kusubiri wakosee wawaseme. Ni wale ambao wanadhani siasa ni tamu na hivyo wanasiasa tunafaidi ilihali tunarisk maisha na hata kutojiendeleza.

d. Traitor ni Mtanzania asietambua harubu tupatayo wanasiasa wa upinzani! Harubu tuipatayo tunapoenda vijijini kuongea na watanzania na kulala mahala ambapo mushi huwajahi lala.

Nimerudi kuangalia alichosema Zitto kuhusu "wasaliti". Nimegundua kuwa hakusema "watanzania ni wasaliti" au "wananchi ni wasaliti". Kumbe amequalify! Naamini ametoa sifa nne za mtu anayeamini kuwa ni msaliti. Kama mtanzania yumo kwenye makundi hayo basi ni msaliti. Well, nadhani he is right.

NB: Nimeondoa maneno mengine ya hoja yake kufanya iwe rahisi kwa watu kuona alichosema Zitto hasa.
 
Nimerudi kuangalia alichosema Zitto kuhusu "wasaliti". Nimegundua kuwa hakusema "watanzania ni wasaliti" au "wananchi ni wasaliti". Kumbe amequalify! Naamini ametoa sifa nne za mtu anayeamini kuwa ni msaliti. Kama mtanzania yumo kwenye makundi hayo basi ni msaliti. Well, nadhani he is right.

NB: Nimeondoa maneno mengine ya hoja yake kufanya iwe rahisi kwa watu kuona alichosema Zitto hasa.

Hivi hapo juu ni nani mnataka kum classify?
Mimi classification yangu ya wasaliti hii...
1)Wale wasioamini kuwa viongozi mafisadi wakamatwe.
2)Wale wote watakaofanya kama yale yaliyofanywa na kina Kaborou
3)Wale wote watakaofanya mambo ambayo ni kinyume na matarajio ya wananchi wanyonge
4)Wale wote watakaokubaliana na CCM huku wakipingana na wenzao wa upinzani kama walivyofanya Marando na Kabuye
 
Nimeshaweka wazi kuwa naiheshimu kazi ya Mh Zitto kwa kila hali!
Ila sitaki kurudia rudia kuwa nina wasiwasi kutokana na historia ya wasaliti waliopita kama kina Kaborou!
Sasa ndio maana hatutaki anything similar to that happen!
Tunajua kuwa imani tuliyokuwa nayo wakati ule ya mabadiliko...Ni the same situation kama sasa!
Kashfa alitoa mrema za ufisadi back then na usingekaa uamni kuwa eti CCM itarudi madarakani!
Kinyume chake Marando na kina Laswai wakairudisha madarakani kwa kudai Mrema ni kichaa!
Kwa kudai eti wao ni wazalendo wenye kujali maslahi ya taifa!
Wapi?
 
wakati mwingine jaribu kujibu maswali yako wewe mwenyewe. Naona huwezi kuandika bila kuuliza swali.
 
Mgaya hayo mashitaka makubwa ndio hayo hayo Zitto kayafanya. Pointi yako inakufunga. Zitto ndio kaita wananchi wasaliti. Ndo maana nikasema hayo matamshi ya Zitto ni sawa na kujinywesha sumu katika jamii ya watu wanao fuatilia vitu. Kumbe hata wewe wajua ni mashitaka makubwa!

Kuhani kama hukujua Mushi alitaka sana Zitto atamke maneno kama haya ili aonekane anawasaliti wananchi, mimi ni mwananchi na nikweli nasema WANANCHI TU WASALITI KWA KUTAKA KUONEKANA TUNA NIDHAMU KUMBE HATUNA ISIPOKUWA WAOGA KWA KISINGIZIO CHA AMANI NA UTULIVU:UOGA NDIO UNALETA USALITI; KAMA SISI SIO WASALITI TUJITOKEZE LEO TUANDAMANE KUSHINIKIZA MABADILIKO YA KATIBA; BALALI KUKAMATWA; NA HIZO RIPOTI ZIFANYIWE KAZI:
 
Hapana Lunyungu ni kweli kwamba watu wana mtu wao wanayempenda lakini hawakatazwi kumpenda mtu lakini taratibu wanazozitumia ndizo zinazotutia shaka maana inapofikia mtu anataka kujilipua na tena anatangaza hadharani hilo ni tatizo kubwa na kwa kweli ni lazima achukuliwe hatua kali
 
Back
Top Bottom