Salimu si chochote niamini mimi ndiyo.maana hakuna anaye jua misimamo jake kuhusu taifa .....hakuna anacho kemea au anacho shauri kinacho julikana .....Lah! hivi ni wewe kweli!
Mbona ni kama umewehuka ghafla; au umekwisha bugia chimpumu ndio ukaja tena hapa na kuweka uchafu?
Ukiniambia wewe unalijali taifa lako kwa akili unazoonyesha kwa mwandiko tu hapa nitakwambia kuwa hupo mbali na ushetani.
Taifa lolote haliwezi kuwa na watu wa aina yako kama unavyoionyesha kwa maandishi haya hapa.
Sasa kama wewe unawaona waTanzania wenye dini ya kiislam wote katika mlengo huo;; wewe kweli tupe heshima ya kuwa mTanzania mwenye kutolea mfano kwa uzalendo kwa taifa hili? Wewe unayo tofauti gani na hao waislam wanaojiona dini yao ni muhimu zaidi ya utaifa wao kwa nchi hii. Mbona wote mmo kwenye chungu kimoja!
Unaitwa naninvile? Ngoja nikalilijina 'Lwiva' nisije nikakosea tena kumpa heshima mtu asiye istahili kabisa.
Hovyo Kabisa.
Nilihisi MIZANIA TZ alikuwa na maana hiyo, lakini sikutaka kumlisha maneno.ccm ndo wanaung'ang'ania muungano na wanahakikisha hauvunjiki, tutapima vizuri huu utawala wa kizenji ukushaondoka
tanganyika ilikufa kwa amri ya mwalimu nyerere ~ Lissu
Nilihisi MIZANIA TZ alikuwa na maana hiyo, lakini sikutaka kumlisha maneno.
Ukweli ulivyo sasa hiyo CCM iliyokuwa inautaka muungano huo, haipo tena; sasa hivi kuna kivuli cha CCM chenye malengo tofauti kabisa na yale ya mwanzo.
Kwa hiyo siyo sahihi kuendelea kutumia sababu ile ile kueleza hali iliyopo sasa.
Huo mstari wa maneno unaoueleza wewe kuwa ni maneno aliyo sema Tundu Lissu, naomba unitajie aliyasema lini/wapi na maudhui yake yalikuwa ni nini.
Siyo sahihi kwamba Mwalimu Nyerere ndiye aliyetoa amri ya kuiua Tanganyika. Haya ni maneno ya upotoshaji, na siamini kuwa Tundu Lissu aliyasema maneno hayo kwa sababu za kupotosha watu.
Heshima sama mkuu 'Lax'.katika bunge la katiba Lissu ndo alisema maneno hayo akimaanisha mwalimu nyerere aliivika tanganyika joho la tanzania kwa amri , hapa ilikua kwenye kulalamikia muundo wa muungano maana zanzibar wanakatiba na raisi , ila huku tanganyika vitu hivyo vipo kwa jina la tanzania (na wakati huohuo tanzania ni muunganiko wa tanganyika na zanzibar)
article mwananchi
video link youtube japo quality ya video ni hafifu sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=4Yvp-8AKWgc
Mkuu 'Lax', utanisamehe kidogo nikirudi hapa haraka hivi.katika bunge la katiba Lissu ndo alisema maneno hayo akimaanisha mwalimu nyerere aliivika tanganyika joho la tanzania kwa amri , hapa ilikua kwenye kulalamikia muundo wa muungano maana zanzibar wanakatiba na raisi , ila huku tanganyika vitu hivyo vipo kwa jina la tanzania (na wakati huohuo tanzania ni muunganiko wa tanganyika na zanzibar)
article mwananchi
video link youtube japo quality ya video ni hafifu sana
View: https://www.youtube.com/watch?v=4Yvp-8AKWgc
shukrani mkuu, nimejikuta naendelea kusikiliza muendelezo wa mjadala jinsi ulivokua naimani nitajifunza mengi -- haya mambo ya muungano yanamalalamiko mengi mazitoMkuu 'Lax', utanisamehe kidogo nikirudi hapa haraka hivi.
Nilipo andika niliyo weka hapo juu kukushukuru kwa kuleta ushahidi, sikuwa nime sikiliza hiyo video uliyo iwasilisha.
Nimeisikiliza sasa, na sina lolote ninalohoji katika aliyo yasema Tundu Lissu kwenye video hiyo.
Lililo wazi kutokana na hiyo video ni dhihirisho la wazi kuhusu uwezo mkubwa alio nao huyu mtu katika uchambuzi wa mambo, na uwasilishaji wake. kilicho wazi ni kuwa msema kweli. Hana tabia ya kuvunga vunga mambo kama ilivyo zoeleka na kuwa tabia wa viongozi wa nchi hii. Tazama vizri sura za viongozi hao waliomo humo ndani ya Bunge hilo, utadhihirisha wazi unafiki ulio wajaa, hata wanapo ambiwa ukweli.
Mwalimu Nyerere, kama Tundu Lissu hakuwa na tabia za kuvunga vunga jambo kama hakubaliani nalo; kama anavyo fanya Tundu Lissu; pengine tofauti inaweza kuwa kwenye njia za uwasilishaji tu wa maneno yanayotumika tu basi.
Nikushukuru tena kwa kuiweka hiyo video hapa. Natumaini itatazamwa na wasomaji wengi wa mada hii fikirishi kuhusu muungano wetu huu ulioingia dosari kubwa sana.
HahahaahTar 28 tunakusubiri
Lililo wazi sasa hivi, kamwe hatuwezi kuendelea na muungano wa aina hii. Hili halikuwa lengo la muungano uliotarajiwa kuwepo kati yetu.shukrani mkuu, nimejikuta naendelea kusikiliza muendelezo wa mjadala jinsi ulivokua naimani nitajifunza mengi -- haya mambo ya muungano yanamalalamiko mengi mazito
naam, hii hali ni yakuibadilishaLililo wazi sasa hivi, kamwe hatuwezi kuendelea na muungano wa aina hii. Hili halikuwa lengo la muungano uliotarajiwa kuwepo kati yetu.
Mkuu Tanganyika iamke kwani imelala??? Si bora ingekuwa imelala, wewe Tanganyika ilishukufa kitambo, tena kwa kunyongwa!!!Mimi naweza kufa lakini wajao nyuma watafukua wajue tatizo lilikoanzia!
Tanganyika lazima iamke ipiganie chake!
Kifo ni usingizi kusubiria kiyama... Huko huko Tanganyika iliko... Iamke!Mkuu Tanganyika iamke kwani imelala??? Si bora ingekuwa imelala, wewe Tanganyika ilishukufa kitambo, tena kwa kunyongwa!!!
Nimetumwa na nani!?..mimi ni mtanzania veteran,nawajua watz vizurigallow bird kumbe wewe ndio mmoja mliotumwa kuzima mashambulizi mitandaoni..kwa njia ya kugawa watu kidini..unalipwa sh ngapi
Kwamba hili nalo litapita na hakuna chenye kitatokea😄😄Nimetumwa na nani!?..mimi ni mtanzania veteran,nawajua watz vizuri