Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

kuna mda unaona kabisa unatumika, unakaa huna hili wala lile inaingia text au apiga anasema rafiki nmemiss hiki mara twende kule na kwakuwa una interest nae unamsikiliza na kutimiza.
Yaani!
Lakini nayo ni njema.kuna enjoy fulani hivi unaipata unapo kuwa unasumbukia jambo hata kama hautaki fanikisha.
Binadamu bila kusumbuka maisha hayajawa mazuri,huwa hatupendi utulivu kabisa yaani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mkuu usikate tamaa. We tongoza na tongoza tena na tena mpaka uje upate positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…