mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nakuja PM kumwaga sera,Ila wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje πππ
Dah kumbe Bora Moyo kuuma, Kuliko kungatwaπππ National Anthem, mshamba_hachekwi ππIla wanaume wa jf mmeteseka sana mwezi huu poleni sana....Kuna aliyeng'atwa na mkewe sijui anaendeleaje πππ
Furaha moyoniπππnakuja PM kumwaga sera,
At your own risk πnakuja PM kumwaga sera,
Aje na iPhone 13 na sio tu chipsiππAt your own risk π
endelea kusogea kwa wakala taratibu, nakuja unipe nambaAt your own risk π
tulia wewe wajuba tufanye namnaFuraha moyoniπππ
Namba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuuendelea kusogea kwa wakala taratibu, nakuja unipe namba
Hebu mfundishe huyu naona anafkiri me mtoto wa chuo πAje na iPhone 13 na sio tu chipsiππ
USIOGOPE kuibiwaπ, Mimi wakala nipo hapa hapa ππ@mshamba_hachekwiNamba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuu
Nitaipata bila makato ππUSIOGOPE kuibiwaπ, Mimi wakala nipo hapa hapa ππ@mshamba_hachekwi
ntumie kapicha kwanza nijitathmini najilipua kiasi ganiNamba ya wakala natembea nayo kichwani we Sema suuu
π₯΄π₯΄π₯΄ kuna kupasuka moyo na bandamaDah kumbe Bora Moyo kuuma, Kuliko kungatwaπππ National Anthem, mshamba_hachekwi ππ
Ya nini sasa unataka uitume kwa babuntumie kapicha kwanza nijitathmini najilipua kiasi gani
mkia upo??Ya nini sasa unataka uitume kwa babu
Nina mpaka Western Union ππ, so asiogope tuta ifikisga salamaππNitaipata bila makato ππ
We wa busara Ume gundua nini? mshamba_hachekwi huyu new come ana wengeππNa kukataliwa nako hadi mtangaze!
Vijana wa hovyo sana!