Upotoshaji wa makusudi dhidi ya wale wanaoitwa machawa kwa kuwa tu wanatofautiana nanyi kifikra

Mkuu nikuambie Tu ukweli ww ni moja ya watu smart kichwa Lakn

dini imekufanya umekua mpumbavu

Over and out
i will not explain or argue with u coz u won't change
 
Mods mrekebishieni title huyu chawa wa chooni isomeke "Upotoshaji Wa Makusudi Dhidi Ya sisi Machawa Kwakuwa Tu tunatofautiana Nanyi Kifikra,Ahsante,ngoja sass ndio nisome chawa limeropoka nini
 
Hilo la kufurahia Mauaji halijifichi Kwa Chawa wote wasio na akili timamu kama wewe. Nakukumbusha maneno yenu;
1.Mkiandamana tena mtafuyekwa.
2.Polisi wamefundishwa kuua Kwa hiyo msiwalaumu Kwa kuua.
3.Vita haichagui kama kuna waliouawa na hawakuwa kwenye maandmano hicho ni kuhelehele Chao walipaswa kuwa ndani.
4.Unalalamika watu kuuawa mbona wewe hujafa au unatype ukiwa kuzimu.
Nk NK NK.
Kauli zenu zimejaa kejeli na dhihaka Kwa marehemu na ndugu zào.
Kila anayeongelea Mauaji mnatoka kama mbogo kumshbulia utadhani wnaon
...Wakaishia kuuliwa kama Kuku....!
Bado mnajiona ni watetezi wa Amani na siyo Wauaji? Sentensi hiyo haiwezi kutolewa na Mtu asiye Sadist.
 
Serekali haijatumia nguvu kubwa kudhibiti Nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali, serekali ilitumia nguvu sahihi inayoendana na uhalifu uliofanyika, katika hili hakuna huruma kama kuna nyumbu yoyote anafikiria kufanya uhalifu wa aina ile tena atapokelewa vilevile atakavyokuja, atavuna mavuno sawa na uhalifu atakaoufanya.

Katika hilo hakuna huruma, Amani ya nchi hii italindwa kwa gharama yoyote.
 
Nyie majamaa mnazingua sehemu moja. Hamsikilizi watu wanataka nini.

Watu wanataka utawala bora. Mkitaka muwashawishi kuhusu amani waelezeni hiyo amani italeta vipi utawala bora au kama itapatikana sambamba na utawala bora.
 



sisi hauwezi kutuita chawa kwakuwa hatuna chama Ila tumepewa nafasi Kama mabalozi wa Amani.


Sisi hatufanyi Kazi Kama chawa hatumsifu MTU au kumtukana MTU

Ila ni mabalozi wa Amani

Sisi tuliwaambia kuwa vijana baada ya yalitokea 29/10 msithubutu kuandamana tena kwakuwa mkijaribu mnaweza kupata maddhara makubwa Sana zaidi ya yale ya 29/10


Sasa baadhi ya wanaJF hawataki tuseme hili swala wanataka vijana waingie barabarani tena


Swali tuwaache hawa Nyumbu bila kkuwapa tahadhari na Elimu ili waishie kuuliwa tena au tuwaambie waíngie barabarani kama wanavyotaka baadhi ya wazee wa JF?


Kumbuka

Hapa
👇🏾
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210.png
    478.6 KB · Views: 9
Wewe ngisi hiyo amani unayolialia nayo masaa 24 je ni nani unadhani anaitowesha?,tuanzie hapo kwanza
 
Hivi kweli unawasha VPN kuja humu JF kuwazodoa watu wanaopinga utekaji, upotezwaji, mauaji na uchaguzi mbovu usiozingatia democracy ?!.

Wewe ndiyo utakuwa huna hoja. Ukizingatia serikali yako imezifungia networks nyingi ili tu, wananchi waendelee kuwa mazoba !!
 
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi
 
Home boy kuwa balozi wa amani sio kuandika tu na kuonya watu.

Kuwa balozi wa amani ni zaidi ya hivyo.Maana yangu ni kwamba balozi wa amani lazima kuhimiza uwajibikaji katika jamii,haki,uwazi na ukweli,kupinga dhuluma,kupinga unyanyasaji,kupinga rushwa ya aina yoyote hile,kupigania uhuru wa habari(nyenzo kubwa katika kumkomboa mtu kifikra na kupata amani ya kweli) na mengineyo

Tofauti na hapo utaitwa chawa tu maana madai ya watu mengi yamejikita kwenye hivyo vitu pale vinapofanyika kinyume
 
Njia ya uhakika ya kuwapambania GEN Z ni kuhakikisha , tunawazuia kufanya vurugu na maandamano ili wasiuliwe na kupata ulemavu au kuishia magerezani Kama sisi tulivyoishi na kuwaona wajukuu na wao wanabidi kuishi sisi watu wazima tuache ubinafsi mbona watoto wetu tunawalinda na hawakuuliwa ile trh 29/10 iweje tupende kuona watoto wa wenzetu tukiwatuma barabarani wazazi tukatae hii dhambi
 
Mbona unawaza sana maandamano? kwani nani kakwambia kuna maandamano.

Kitu ambacho kila mtu hataki kusema ni kuwa; waliochochea maandamano ya tarehe 29 ni wanajeshi, tena hawa wa JWTZ.(ndio walikuwa mstari wa mbele kuwapa watu hamasa hata ambao hawakuwa na mpango na maandamano)

Huu ndio ukweli,asilaumiwe sijui Mange,mtoto wa Sarungi,bali mkuu wa majeshi lawama hizi ni zake kwa kusimamia jeshi hovyo na kukosekana nidhamu jeshini.Ninajua baadhi ya maeneo ambayo jeshi lilikuwa likipita tu nikuwapa mizuka watu ambao hata hawakuwa na mpango ni hivyo vitu.
 


Okay Asante
 
Dhahir Shahiri hawana hoja tena wapo mufilisi, hawana pakushikia,wanachofanya ni kutaka kupata public sympath,kwamba tuonekane wabaya wenye roho mbaya

Halafu waonekane wasafi kwakuwa wameguswa sana na yale yaliyotokea

Ni spana tu mpaka wateme bungo
 
Dhahir Shahiri hawana hoja tena wapo mufilisi, hawana pakushikia,wanachofanya ni kutaka kupata public sympath,kwamba tuonekane wabaya wenye roho mbaya

Halafu waonekane wasafi kwakuwa wameguswa sana na yale yaliyotokea

Ni spana tu mpaka wateme bungo


Hakika ukiona mtoto analia Sana ujue kiboko kimeuingia
 
Hakuna spana mnayopiga, mnaandika urojo wa propaganda tu, hao waliouwawa wangekua ndugu zenu kweli mgekua mstari wa mbele kudai uwajibikaji kwa waliofanya hayo mauaji.
Tunajua mnalipwa kutetea Serikali hii haramu iliyojaa damu za watanganyika, laana ya damu hii mtaibeba milele.
 
Mnarudia hayo hayo kwakuwa hamna hoja,ukicha haya mnayotupakizia hamna hoja yenye mashiko
Wewe una hoja gani ya kuhalalisha mauaji ya raia mpaka majumbani kwao? Una hoja gani ya kuhalalisha utekaji? Una hoja gani ya kuhalalisha wamasai kufukuzwa kule ngorongoro? Una hoja gani kuhalalisha wizi wa rasilimali unaofanyika kila kukicha? Amani mnayoitaka ni kwamba hamtaki kukosolewa wala kuambiwa ukweli, ndo maana kila mkosoaji anaonekana ni mhaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…