Upotoshwaji unaoendelea kufanywa na baadhi ya Wafamasia kumpotosha Waziri wa Afya

Hongera kwa hoja mujarabu Prof Koboko .

Mimi sielewi kwa nini serikali inaacha hawa wanaoitwa wafamasia watibu mgonjwa badala ya kumpa dawa alizoandikiwa na daktari. Kwa kweli siwaelewi serikali kwa kushindwa kulisimamia hili.
Nchi imekaa kitapeli sn kuanzia juu kushuka chini
 
Professor nchi zingine wanafanyaje? eg Marekani, U.k n.k?
 
Nimeishia hapo mwanzoni

Ulitakiwa kujikita kwenye kuelimisha, hakika uzi ungekua murua

Matokeo yake naona mashambuliizi makali,kejeli na makasiriko...

Uzi umepoteza mantiki mapema mno.
 
Dosage: as directed by Physician, who is physician? Why not Pharmacist?

Naomba hili swali lipatiwe majibu ya kina.
Naambatanisha picha.View attachment 2230485

MAKUNDI YA DAWA ZA BINADAMU 👇👇

1. Prescription Only Medicines ..(Cheti cha daktari kinahitajika )..hizo zenye "Dose;As directed by Physician".
2. Pharmacy Only Medicines(Cheti cha daktari hakihitajiki).
3. General Sale Medicines(Cheti cha daktari hakihitajiki)..hizi utazikuta hata dukani kwa mangi/mpemba n.k. mfano DAWA TATU/ACTION/HEDEX/PANADOL & PANADOL EXTRA/GLUCOSE /COFTA/TUMBOCID/ MOSQUITO (spray and repperants),CASTROL OIL/GLYCERINE/MEDICATED SOAPS /TOOTH PASTE n.k.
 
Hongera kwa hoja mujarabu Prof Koboko .

Mimi sielewi kwa nini serikali inaacha hawa wanaoitwa wafamasia watibu mgonjwa badala ya kumpa dawa alizoandikiwa na daktari. Kwa kweli siwaelewi serikali kwa kushindwa kulisimamia hili.

MAKUNDI YA DAWA ZA BINADAMU 👇👇

1. Prescription Only Medicines ..(Cheti cha daktari kinahitajika )..hizo zenye "Dose;As directed by Physician".
2. Pharmacy Only Medicines(Cheti cha daktari hakihitajiki).
3. General Sale Medicines(Cheti cha daktari hakihitajiki)..hizi utazikuta hata dukani kwa mangi/mpemba n.k. mfano DAWA TATU/ACTION/HEDEX/PANADOL & PANADOL EXTRA/GLUCOSE /COFTA/TUMBOCID/ MOSQUITO (spray and repperants),CASTROL OIL/GLYCERINE/MEDICATED SOAPS /TOOTH PASTE n.k.
 
Hebu lead sasa ili sisi tunafuatilia tuelewe?
Huwezi kuelewa huyo jamaa ni mpotoshaji

Na watu wa anatomy naturally wako very narrow maana hata mifumo hawaijui

Hawa interactions nawagonjwa wala watunga sera

Msomeni huyo jamaa Kwa akili

Hajui anachoongea
 
Ukishaona kwenye kada yako huridhiki, unalazimisha sana kufanya majukumu ya kada nyingine. Kuna Mambo matatu.

1- Huijui vizuri kada yako.

2- Kada yako ni dhaifu kiasi kwamba huna Cha kufanya au unachofanya hakina umuhimu.

3- Inferiority complex
 
Duh!

Hivi kweli ilikulazimu, na hadhi yako ya u-Profesa, kuandika haya? Mbona huonyeshi kuwa tofauti na huyo unayejibishana naye?

Mimi nitaendelea kukusoma katika andiko lako hili huko chini. Lakini kutokana na lile bandiko lako la mwanzo kabisa humu JF; inaonyesha dhahiri unayo mapungufu makubwa katika uelewa wako wa fani ya Famasia, na unaonyesha dhahiri kuwa na kasumba ya kudhani kwamba ukiwa na hadhi ya utabibu, basi wewe ndiye unayejua kila kitu kuhusiana na matibabu ya mgonjwa. Hii ni dhana potofu, tena inakuwa potofu zaidi inapotolewa na mtu mwenye kujitambulisha kuwa na elimu (kama ni kweli) kama wewe.
 
Na unahisi Kwann baadhi ya Dawa ikaamuliwa kutolewa na Daktari tu?.
 
Mkuu, niseme wazi wewe ni mjinga (ignorant), unahitaji kufundishwa uelewe, na nadhani kuna umuhimu wa kufanya hivyo kwa vile unazidi kuwachanganya watu.

Nitatumia andiko lako hili kukufundisha. Vuta subira, sasa hivi nina mengine mengi yananizonga.

Tutakutana baadae.
 
1.Kwanini cheti cha daktari kihitajike na sio cheti cha Mfamasia ambaye ndiye manasema mtaalamu wa dawa?
 
Sasa huyu mpumbavu Koboko aache wivu
 
Huwezi kuelewa huyo jamaa ni mpotoshaji

Na watu wa anatomy naturally wako very narrow maana hata mifumo hawaijui

Hawa interactions nawagonjwa wala watunga sera

Msomeni huyo jamaa Kwa akili

Hajui anachoongea
Mpingeni kwa hoja ili sisi tunaofuatilia tuone huo upotoshaji wake uko wapi,maana alianza na Uzi wa kwanza,alipoona kelele zimekuwa nyingi amerudi tena kujibu na kusisitiza zaidi kile alichokisema
 
Huwezi kuelewa huyo jamaa ni mpotoshaji

Na watu wa anatomy naturally wako very narrow maana hata mifumo hawaijui

Hawa interactions nawagonjwa wala watunga sera

Msomeni huyo jamaa Kwa akili

Hajui anachoongea
Ujinga mtupu umeandika.

Wewe badala ya kujikita katika hoja, unatanguliza porojo ??.

Yaan Mtu kafanya, MD, MMED, alafu unainua pua yako , Et 'Hawana interaction na wagonjwa ?".

Hilo Bichwa lako, kafugie minyoo .
 
Acha wivu wa kijinga unaongea upumbavu mtupu. What is happening in some of our emerging markets like Tanzania is a glocalized practice or a particularised case, we need to use pharmacists in medical stores uko kwa pharmacies ,get away with ur South Africa case study, we aren't mature as them and job abundance isn't like tanzania, If pharmacy came about with unconscious cannibalism and academic slaves and their masters should be another discourse for debate. As it stand the MDs the incompetent MDs you are not winning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…