Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

H
Hisia zako tu. Toa vivid examples ili tukuelewe.
 
Hata wewe ni mpumbavu hutumii sense kufanya good judgement.
mimi ni mpumbavu sawa nakubali. ila wewe ni mwerevu sana kwa kuwa umeishiwa hoja na kuanza viroja vya matusi - hautofautiani kabisa na huyo unayemtetea!

ninyi ndiyo mnayoishushia hadhi JF siku hizi ninyi!
 
Hivi unadhani nini kitatokea kama mtu mwengine akatumia neno hilo hilo kwa raisi?kwakisingizio tu chakutotekeleza majukumu katika utendaji kazi wake ni nini kitatokea?lugha zakutweza na kudharaulisha hazifai kutoka kinywani pa kiongozi zipotaratibu zakuwajibisha watu katika utumishi wa umma bila kutweza utu wa mtu na katiba inasema wazi binadamu wote ni sawa wanastahili heshima na katika hili hakuna exception lakini ukilichukulia suala hili kishabiki utaliona sawa kabisa.
 


!
!
Aliyewateua Wapumbavu Ni Mpumbavu Wa Kwanza.
 
Kasome katiba ibara ya 33 ndio utajua Rais ni nani. Pia soma ibara ya 35(1) ya katiba ya JMT juu ya utendaji kazi wa majukumu ya maafisa wa serikali. Wote wanafanya kazi kwa niaba ya rais. Ndio boss wao.
 
Kwa upumbavu huenda yeye anaongoza kwa maamuzi, maneno na matendo yake
 
chagu wa malunde,
Yeye mwenyewe mbona anafanya madudu kibao. Lakini hataki kukosolewa

Ebu punguzeni kujikomba bna
Na wewe punguza chuki

Au na wenyewe wachukie kama unavyochukia wewe, maisha hayapo hivyo unavyotaka hata siku moja.

Usilazimishe kila mtu awe na chuki,kwani wewe ulivyoanza kumchukia kuna mtu alikufosi mkuu kuanza kumchukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…